Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akifungua Mkutano wa Wadau Kuhusu Udhibiti wa Taka za Plastiki Nchini, kilichofanyika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, Agosti 4, 2026.
Serikali imewakumbusha wadau wote nchini wanaohusika...