Ni nzuurii saaana mwl usiwe na shaka.Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm
Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kazini
Yeye tayari ni mwl mkongweMkuu kama Haipo Ndani Ya Moyo wako Acha Kupoteza Muda... Soma kitu kinachosisimua Moyo wako Hata kama utaanzia certificate Utashangaa Sana utafika Mbali mno na Itakuwa na Ufanisi Makubwa sana
Mkuu Mimi nilitaka kujua hiyo kozi ni sehemu ya fulsa kwangu kwa sababu mm tyr ni mwalimu,hiyo kozi niliyochaguliwa inatolewa pia udsm na udomMkuu kama Haipo Ndani Ya Moyo wako Acha Kupoteza Muda... Soma kitu kinachosisimua Moyo wako Hata kama utaanzia certificate Utashangaa Sana utafika Mbali mno na Itakuwa na Ufanisi Makubwa sana
Asante mkuuNi nzuurii saaana mwl usiwe na shaka.
Ni wewe tu as long as ni Education na wewe ni mwalimu tayari no problem at all.
All the best
Point of correctionMkuu Mimi nilitaka kujua hiyo kozi ni sehemu ya fulsa kwangu kwa sababu mm tyr ni mwalimu,hiyo kozi niliyochaguliwa inatolewa pia udsm na udom
Asante mkuu
Asante kwa kurekebishwa,ila vp mkuu area of field, priority,na menginePoint of correction
Udsm wanatoa
...Bachelor of Education in Adult Education and Community Education. (Bed- Adult)
Udom
... Bachelor of Education in Adult Education and Community Development (Bed ADEC)
Iae
... Bachelor Degree in Adult Education and Community develooment (BAECD).
Ok nimekupata mkuu,asante sana area of field huwa wapiUnakuwa multprofessional
.... Facilitation (Teaching)
.... Management (Education)
.... communuty Deveploment
.... social work
.... Project planning and Management
Kumbuka
Course zote za Elimu main focus ni
.... Kufundisha
Then vingine ni supporting skills and competences.
1Ulichagua?Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm
Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kazini
Education area of comcentration ni Education as usual.....Ok nimekupata mkuu,asante sana area of field huwa wapi
1Ulichagua?
2.Leongo lako ni lipi? Au kwanini ulichagua?
3.kama hukuchagua leongo lako usome kozi gani?.
1Ulichagua?
2.Leongo lako ni lipi? Au kwanini ulichagua?
3.kama hukuchagua leongo lako usome kozi gani?.
Kwa ufupi ni kozi nzuri sana. Kwa mengineyo unaweza nicheki PM.
Kwa ufupi ni kozi nzuri sana. Kwa mengineyo unaweza nicheki PM.
Sasa mbona hujui kuandika kiongozi? Wewe ni mwalimu kweli au unatutania hapa jukwaani?Niliomba Hy kozi,mm ni mwl
Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm
Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kaziniš¤
Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm
Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kazini
BADILISHA FANI MKUU ILI UJE UPATE RECATEGORIZATION,
USING'NG'ANIE TU EDUCATION,
HAKUNA PROMOTION YA KUONGEZA ELIMU SIKU HIZI.
Sawa mkuu,umelipwa posho gn kwa kuwa mwandishi bora?Sasa mbona hujui kuandika kiongozi? Wewe ni mwalimu kweli au unatutania hapa jukwaani?
Mwalimu gani unaandika fulsa badala ya fursaMkuu Mimi nilitaka kujua hiyo kozi ni sehemu ya fulsa kwangu kwa sababu mm tyr ni mwalimu,hiyo kozi niliyochaguliwa inatolewa pia udsm na udom
Asante mkuu
Baada ya kukosoa,toa na ushauri,usiwe km mdada anayetaka kuposwa, yaani unaingia na kutokaMwalimu gani unaandika fulsa badala ya fursa