Sintofahamu imeibuka kwa baadhi ya wanachama wa CCM wa Wilaya ya Babati Mjini Mkoani Manyara, wakilalamikia utaratibu wa ugawaji wa kadi za chama hicho kwa manufaa ya watu wanaotaka madaraka kwenye uchaguzi mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Wanachama hao ambao waligoma kutaja majina...