baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wosia wa baba mkwe

    Hakika nimehudhuria ndoa nyingi ila hii ndoa ya jana ilikuwa ni kiboko sana, baada ya rafiki yetu kuwa mgumu sana kwenye kuoa, hatimaye tulifanikiwa kumshawishi aoe, maana ilikuwa kila siku anasema anajipanga kujitafuta yeye kwanza ili awe na maisha mazuri, tulimshinda kwa hoja ya msingi kuwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Single maza bwana, yaani baada ya kukurudisha kwenye chati ndo umeamua kumrudia baba watoto wako

    Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako. Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako. Bwana...
  3. JamiiForums Tanzania Naona jamii sasa imeamka kumuadhimisha baba katika 'Father's Day'

    Kwa miaka mingi, imekuwa kawaida kuona Mother's Day ikipewa uzito mkubwa, huku Father's Day ikipita kimya kimya kwa watu wengi. Lakini safari hii nimeona jambo tofauti; watu wengi zaidi wamejitokeza kuwapongeza na kuwaenzi baba. Hili ni jambo la kutia moyo. Naam, inaonekana jamii imeanza...
  4. JamiiForums Tanzania Ubusy wa Baba Jinsi unavyopoteza thamani ndani ya familia.

    Baba wengi Sasa hivi wanafanya kazi kwa bidii sana. Wanaondoka alfajiri, wanarudi usiku. Wanahangaika, wanajitaidi, ili familia isikose chochote. Baba hawa wanajenga nyumba, wanalipia karo, wanakidhi mahitaji yote. Kwa macho ya watu huyu ni baba aliyefanikiwa. Lakini ndani ya kuta za nyumba...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hisia zinaniambia Baba Levo ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge

    Katika kesi iliyopangwa kufanyika tarehe 6/7/26//2026 ya kupingwa ubunge wa ' Baba Levo' hisia za ndani kabisa zinaniambia ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je, nimchukie mama au binamu yangu? Nitaanzaje kumuita binamu baba?

    Guys IPO hivi naitaji kushare stori yangu na nyie kwasababu ya mengi kujifunza ndani yake that's true story sio joke nashindwa kuelewa niendelee kumchukia mama au niwachukie wote binamu na mama kwasababu siwezi kumuita binamu baba never story yangu inaanzia 2013 mpaka now mkiwa tiali mtaniambia...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Nyumba Imekosa Baba?

    Kwa haya yanayoendelea mimi kama kijana yananifikirisha kiukweli,ni kama kuna kitu kinamiss sidhani kama tushawahi pitia hali kama hii kabla https://www.facebook.com/share/v/1DccRyaBBW/ https://www.facebook.com/share/v/1EGHcVzfu1/ https://www.facebook.com/share/v/1F3pb91mTn/...
  8. JamiiForums Tanzania Unajichelewesha mwenye mimi kuwa baba wa watoto wako

    Nakuvizia kwenye nyumba za ibada, hutokei Nakupigia simu, hupokei Nakutumia ujumbe wa simu, hunijibu Nakuandikia barua, hunijibu Nakutumia vocha, hunipigii Nakutumia hela ya matumizi, hushukuru Sasa mimi nifanyeje; endelea kujichelewesha mwenyewe, mimi kuwa baba wa watoto wako.
  9. JamiiForums Tanzania Kijana wa Miaka 25 Kuwa Baba wa Kambo wa Mtu wa Miaka 36, Inawezekana Kweli?

    “Mimi ni mvulana wa miaka 25, nina mapenzi na mwanamke wa miaka 55. Tunakaa pamoja na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 36 na mvulana huyu haniheshimu kama baba yake wa kambo. Najaribu kumuelimisha kuhusu maisha lakini hasikii. Tafadhali nisaidie,nifanye nini?” Huyu ni kijana anaomba...
  10. J

    JamiiForums Tanzania vidude muhimu sana kwa akina baba

    Napatikana kibaha ila ulipo unapata tu huduma namba 0712583157 kupiga au whatsapp pia
  11. JamiiForums Tanzania Japo Nilikuwa Simkubali Baba Levo Kwa Uchawa Compared to ZZK, Leo Nimemsikia Bungeni, Kumbe ni Bonge la Kichwa, ni Akili Kubwa!, Nimememkubali Sana!.

    Wanabodi, Baada ya kuibuka kwa fani mpya ya uchawa, mimi nimekuwa nikiwaona machawa kama ni majitu fulani majinga zero brain!, nilipoangalia line up ya wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kupitia CCM, kulikuwa na very good big brain, siku ya matokeo ya kura za maoni ya CCM zikitangazwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Umeishi na Mwanamke ndani anakusingizia Ujauzito, wapo Wanawake amesomeshwa akishamaliza kusoma anamuona yule mwanaume hafai

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo) akichangia hoja bajeti ya Wizara ya maendeleo ya jamii leo Juni 1, 2026 Bungeni Dodoma "Huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unalea miezi tisa, anazaa mtoto unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakosana...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Baba levo: Ukisikia vipindi vya redio elimu zinazotolewa ni kama zinawafundisha wanawake waende wakapambane na wanaume kwenye nyumba zao

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo) akichangia hoja bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, kwa mwaka wa fedha 2026/27 leo Juni 1, 2026 Bungeni Dodoma " Wizara hii imejikita zaidi kwenye kutetea wanawake, lakini tunapozungumzia maendeleo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mtoto mdogo akipigana na baba yake

  15. JamiiForums Tanzania Mimi sifanyi maombi yoyote zaidi ya kusali sala ya baba yetu uliye mbinguni kila baada ya lisaa limoja

    mimi ni mkristo nishaamuaga sifanyi maombi yoyote sijui kuombea taifa sijui kuombea mambo mbalimbali mara kulia sijui kunena kwa lugha sijui kusali rozali mimi huwa nasali sala moja tu..ya baba yetu uliye mbinguni na huwa nasubiri ifike saa fulani kamili..07;00,08;00 n.k kwa hiyo kwa siku...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Familia imedhulumiwa mafao ya marehemu baba yetu.

    Wasalam wanaJF Bila shaka mu wazima wa afya kama mimi hapa. Leo bwana nimekuja na jambo linalotesa moyo wangu kwa muda mrefu sana. Familia yetu imedhulumiwa mafao ya marehemu baba yetu. Mzee wangu alifariki mwaka wa 2015 akiwa amebakiza miaka takribani miwili kustaafu. Mimi enzi hizo nilikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Baba Askofu "Mwamakula" alivyokoswakoswa

    'TIKITAKA' ZA DANGOTE AKIELEKEA KENYA! Unamtambulisha msichana hadharani kuwa ni Bibi Arusi wako mtarajiwa kumbe hujafika hata kwa wazazi wake kujitambulisha! Sasa kaamua kuolewa na 'Mnyilemi Kindamba' wa Uchindile anadai wewe ni 'Kapufi Mwanansao' ambaye ni Mfipa wa Kirando hujui hata kuvua...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu upande wa baba.. Una lipi la kuwaambia?

    Ni kweli hawaeleweki? Ni kweli wao wanadhani wana haki zote? Ni kweli wao wanajiona daraja la kwanza? Ni kweli hawaambiliki?
  19. W

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Viongozi wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya vizuri, baadhi ya sehemu hatujafanya vizuri

    Mbunge wa Kigoma mjini akifanya mahojiano na Chief Odemba amesema “Bado kuna baadhi ya Sehemu hatujafanya Vizuri, Viongozi na wanachama wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya Vizuri ili tutibu huo ugonjwa, Lakini kukataa tu kwamba tumeshatisha sana, tumetisha kwenye nini?”
  20. W

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Anayekataa Chadema sio Chama Kikubwa cha upinzani huyo naye kichwa chake kitakuwa kina shida

    Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani Kuu na Chief Odema, Mbunge Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chiponda 'Baba Levo' amesema kuwa anaekataa CHADEMA sio chama kikubwa cha upinzani huyo mtu kichwa chake kitakuwa kina shida. Mimi nakiheshimu sana chama cha CHADEMA kimeleta upinzani nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…