baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Case Study: Kaka Yangu hana marafiki hata wa kumtembelea, ni super introvertm Baba alimlea kwa namna aliyodhani itamlinda kumbe ni kumletea matatizo

    Na mimi nililelewa kwa staili hii lakini nilipokuja kuona tunaishi tofauti na jamii nilimkaidi mzee na ndio ponea yangu, (nilishaweka uzi huu). Ipo hivi yani, Mzee ni mtu ambae alikuwa anatulea katika mtindo ambao ulitufanya tuwaone watu nje ya familia kama vile hawahitajiki. Kufungiwa ndani...
  2. JamiiForums Tanzania Simulizi niliyopewa na baba yangu kumuhusu Mungu

    Not entertainment
  3. JamiiForums Tanzania Nitawashangaa watoto wa Lemutuz wakigandana huko Marekani na kutelekeza mirathi ya baba yao

    Mi naona Lemutuz alikuwa mjasiriamali mpambanaji kwenye sekta ya social media na matangazo. Sekta ambayo kwa Tanzania na kwa ukubwa wake na mazingira ya matangazo mitandaoni, inaweza kuwa na potential ya kukuingizia sio chini ya free cash flow ya Tsh. 5 hadi Tsh. 6 million kwa mwezi ukiondoa...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto wanaochukua mfanano wa mama zao au wajomba zao; sisi baba zao huwa tunakuwa katika wakati mgumu sana

    Unakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani. Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana. Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?
  5. JamiiForums Tanzania Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    Ukiangalia maisha ya le mutuz aliisha vile alivyotaka yeye aliishi kwa kuipa furaha ya moyo wake kwa gharama yeyote Jamaa alikuwa na nyumba nzuri tu Tabata lakini kamwe alikataa kukaa nje ya mji hata mimi ashampoo ni moja ya wadau ambao napenda kukaa Posta Jamaaa alikuwa na marafiki wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Mke wa Mpangaji mwezangu anasema baba Umut unaringa sana

    Katika harakati zangu za hapa na pale za kusaka elimu, kuna mpangaji mmoja ni mke wa mtu kabisa leo kaamua kufunguka eti mimi naringa sana na mke wangu (mama umut) ni wakaida na mimi skutaka kumlazia damu kwasababu hapo awali sikua na mazoea na mpangaji yeye hapa nilipopanga zaidi ya salamu tu...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Baba ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzaa na binti yake

    Kibaha. Hakimu Mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Yudith Lyimo amemhukumu kifungo cha miaka 40 jela, na viboko 12 mkazi wa ‘Kwa Mfipa’ Kibaha, Fadhiri Msham kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanawe wa kumzaa na kumpa ujauzito. Mbali na adhabu hiyo pia Msham ambaye...
  8. JamiiForums Tanzania Baba yangu hakuwa anawaamini watu. Alianza kunijengea tabia ya ubinafsi na kujitenga, nashukuru nilistuka mapema

    Nahisi mzee aliwahi kufanyiwa matukio kadhaa ya usaliti na walio wahi kuwa marafiki zake ama ni yeye mwenyewe hakuwa anachagua marafiki sahihi na hivyo kutendwa na wenzake. Sote tunajua kwamba watu wapo wazuri na wabaya lakini hii sio sababu ya kumbana mtoto kuwakwepa kabisa watu kwa kumkinga...
  9. JamiiForums Tanzania Mzee Xi Zhongxun (Baba wa Xi Jinping) chanzo cha Special Economic Zones(SEZ) in China 1980

    Upi ni mchango wa Mzee Xi Zhongxun( Baba wa Rais wa sasa wa China Xi Jinping ) katika uanzishwaji wa Special Economic Zones katika kukuza uchumi wa China? Shenzhen, a miracle that began in 1980 Forty years after its establishment as China's first special economic zone, Shenzhen has emerged as...
  10. JamiiForums Tanzania Baba yangu aliwahi kuniambia nikiwaendekeza wanawake katu sitafanikiwa

    Wakuu mmebarikiwa sana, ninyi ni wa juu. Baba yangu aliwahi kuniambia mambo matatu kuhusu wanawake, na nikiwaendekeza katu sitafanikiwa na hakuna jambo taweza lifanya kama nisipokuwa makini. Moja, mwanamke ukshakuwanaye ndani yeye anawaza namna ya kukutawala na kuhakiksha mnakuwa kama ka...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Siku ya Nyerere (Oktoba 14) iwe kielelezo cha uchapaji kazi wa Baba wa Taifa letu na sio alama ya uvivu (Kukaa Nyumbani) wa Mtanzania

    Habari za wakati huu ndugu zangu wote. Kufanya kazi kwa bidii ni jambo muhimu sana ambalo sote tunahitaji maishani mwetu. Haiwezekani kufikia malengo fulani makuu bila kufanya kazi kwa bidii. (Picha kwa hisani ya mtandao wa Google) Kwa maneno mengine ninaweza kusema ya kwamba, mtu asiyefanya...
  12. JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

    Mungu simama nasi, lea nasi baba, tunusuru na hili janga sisi na vizazi vyetu🙏 Viatu vya huyu baba havinitoshi === Marehemu Milembe Suleiman ambaye miaka kadhaa iliyopita alitrend mitandaoni kwa kumvisha pete mwanamke mwenzake ikiashiria anajihusisha na vitendo vya kisagaji, baba yake...
  13. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

    Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa kufikia, Sasa kwenye malezi Baba wa kufikia ndo alikuwa ana muhudumia kila kitu na alikuwa anaishi...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali mnahalalisha uongo kupunguza watoto wa mitaani huku mkiwanyima haki ya kuwajua baba zao halisi

    Mnabariki uongo na dhulma kwa kumbambikizia mtu mtoto asiye wake kisa tu huyo mtu ana pesa. Sasa nyie serikali na huyo kahaba aliyebambikiza mtakuwa mna tofauti gani? Eti kulinda maslahi ya mtoto mamlaka ya serikali inadanganya matokeo ya DNA na kumbambikiza mtoto kwa asiye baba yake kweli...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa Ugomvi wa Kimapenzi, Mama amchoma mwanaye Visu zaidi ya 100, amla Utumbo na Figo

    Wakuu, Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana. Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo sensitive sitaweza kuiweka hapa. Lakini inamuonesha mama akimchoma visu zaidi ya 100 mwanaye mwenye...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Baba adaiwa kuwapa sumu watoto wake watatu

    Dar: Karim Shabani mwenyeji wa Chanika jijini Dar es Salaam, anadaiwa kuwaua watoto wake wawili kwa kuwapa sumu aliyoiweka kwenye juisi, baada ya kutuhumu mtoto wa mwisho aliyezaliwa na mkewe sio wake na hafanani naye. Juma Mohammed ambaye ni msemaji wa familia ya marehemu, amesema Karim...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu mchumba alitaka kumuua baba yangu kisha animalizie na mimi

    Usije ukadhubutu kudate mwanamke toka Kilimanjaro au Arusha. Usidhubutu. Nlipata demu mmoja wa kipare kipindi hicho nataka kuoa. Alikuwa anafanya kazi bank. So mara nyingi nikienda ku deposit mkwanja namtumia yeye. Akawa anaona account yangu imenona. Aka fall in love nayo. Mtoto alikuwa white...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye baba mzazi wa Leroy Sane (mchezaji wa FC bayern aliyegombana na Sadio Mane)

    This is Souleymane Sane, a former Senegalese international player, he represented Senegal in 1994 Afcon, he is the father of Leroy Sané who is representing Germany. He gave his son Leroy because of Claude Leroy was the coach who gave him chance to play for Senegal. Leroy sane... (akiwa na...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Wasafi media na EFM ni watoto wa baba mmoja na mama mmoja matumbo mbalimbali

    EFM na wasafi media wametofautiana tarehe ya kuzaliwa tu lakini baba ni mmoja na mama yao mmoja! Wafanyakazi wanakula kwa bamdogo wanalala kwa shangazi! Mikataba yao ni copy and paste! Mwaka mmoja kulala kwa shangazi, mwaka mwingine tunarudi kwa bamdogo maisha yanasonga cha muhimu ni kuwa na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

    Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini. Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana. Je, niwapi wanaomfata?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…