Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,360
- 18,644
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM, Baba Levo, amekemea vikali siasa za udini katika kuomba ridhaa kwa wananchi, akisema kuwa siasa za aina hiyo hazina tija katika maendeleo ya jamii.
Baba Levo alitoa kauli hiyo usiku wa kuamkia leo Septemba 21, wakati wa Mkesha wa Maulid Ujiji ambapo alikuwa mgeni rasmi na alishiriki kikamilifu katika tukio hilo.
Baba Levo alitoa kauli hiyo usiku wa kuamkia leo Septemba 21, wakati wa Mkesha wa Maulid Ujiji ambapo alikuwa mgeni rasmi na alishiriki kikamilifu katika tukio hilo.