baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

    Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua. ===== Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali isiyotimiza wajibu wake wa Kikatiba tunaiwajibishaje? Hapo ni baada ya kuiba kura kama dhambi ya kuu ya kwanza

    Kila kinachofanywa na serikali yetu pendwa ni utekelezaji yakinifu wa ilani ya chama kilichopo madarakani. Wananchi ndiyo wanaoiweka serikali madarakani kwa kuchagua chama kitakachoiendesha. Lakini haki hiyo imepokwa kikatiba kwa sababu Katiba ya sasa inaelezea uwezo na utaratibu wa wananchi...
  3. JamiiForums Tanzania Uongozi wa simba msisubirie fursa iwafuate itafuteni- Yanga walikua na mpango wa kupeleka mashabiki south baada tu ya draw ya robo

    Nimeona mashabiki wa simba wanalalamika sana kwamba Yanga inapendelewa kitu ambacho mashabiki wengi wa simba hawakitambui fursa inatafutwa haikufuati Yanga kabla ya mechi ya mzunguko wa kwanza vs mamelodi tayari walishakuwa na mkakati wa baadhi ya mashabiki wachache kwenda south afrika na...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel imebidi liondoke kwa mara nyengine kutoka hospitali ya Alshifa baada ya hasara kubwa

    Hospitali ya Alshifa ndiyo iliyokuwa hospitali kubwa na ya rufaa kwa jimbo zima la Gaza ambalo wakati huo pamoja na mzingiro jimbo hilo lilikuwa na hospitali nyingi za kisasa zenye madaktari bingwa. Mnamo mwezi Novemba mwaka jana hospitali hiyo ilikuwa ni uwanja mkubwa wa kivita ambapo jeshi la...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

    Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi. Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao. Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea mtoto na kumuacha...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Lile kundi lililokuwa linafurahia uteuzi na utendaji wa Makonda ktk nafasi ya uenezi, linasemaje baada ya utenguzi?

    Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao. Nataka kupata majibu ktk maswali haya. 1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa? 2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya teuzi mpya Makonda kapanda cheo au kashuka?

    Kutoka kwenye Ukatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha. Je cheo cha Paul Makonda hapo kimepanda au kimeshuka?
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo anachekelea sana vita ijayo, baada ya kuletewa Jembe!

    Itakuwa ni rasmi, baada ya trh 04.04.2024 jembe PCM anatinga chuga city, maskani ya machalii wa afrikani Geneva. 'Wasiempenda kaja' wenye roho mbaya naye huyo hapo anaingia mjini, iwe kashushwa cheo au kapanda ila ndiye yeye, mara mama kakosea, wengine huko wanasema ooh kamalizwa na msoga gang...
  9. JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani. Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya Ramadhan idd ni moja tu, hakuna kitu inaitwa idd pili! Kwenye idd ya kuchinja ndipo penye siku tatu za baada ya idd

    Salaam wandugu, Niliwahi kuandika jambo hili kuiomba serikali na kuishauri na leo narudia tena kwa nia ya kukujuza wewe usiyejua ujue kabisa utaratibu ulivyo. Mwishoni kama ada sitaacha kuishauri na kuiomba Serikali itekeleze jambo Ni kwamba wengi wetu tumezoea tangu mashuleni mwezi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

    Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema.... Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu...
  12. JamiiForums Tanzania Ziara za Deng Xiaoping baada ya kupokea kijiti cha Mao. Hivi viongozi wetu huwa wanaenda kuzurura tu huko nje ?

    Hebu mtazame hapa huyu mwamba Deng Xiaoping katika ziara zake baada ya kuipokea China iliyokuwa imechoka vibaya katika miaka ya mwisho ya Mao. Deng alifanya ziara muhimu kwa wakati ule kwa majirani zake waliokuwa wamewaacha China mbali sana kama Thailand, Singapore, Japan, Malaysia tazama...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali lipeni mshahara wangu wa Machi

    Serikali kwa tafsiri isiyo rasmi ni viongozi wenye mamlaka ya kutoa maagizo kwa ngazi ya kitaifa. Kazi tumefanya, issue ya error ndogo ndogo kwenye mfumo isiwe sababu ya kutunyima pesa. Kuna watumishi wawili kazini nawajua hawajajisajiri kabisa kwenye huo mfumo lakini mshahara wamepata. Mimi...
  14. JamiiForums Tanzania Kamanda wa NATO atenguliwa kushukiwa kuwa na mahusiano na Russia

    Baada kipigo cha Russia kwenye maficho ya NATO huko Ukraine NATO wameanza kumtafuta mchawi... #BREAKING Polish Lieutenant General Jaroslaw Gromadzinski, a commander of Eurocorps, a joint military group of some EU and NATO states, has been removed from his post after a counter-intelligence...
  15. JamiiForums Tanzania Nimemchukia mno Baba Mdogo baada ya kujimilikisha nyumba na eneo la babu

    Kwa ufupi ni kwamba, babu yangu katika pilikapilika za kutafuta alifanikiwa kumiliki eneo ambalo lipo jirani kabisa na barabara ya lami, baada ya kustaafu katika shughuli za kiserikali basi akaamua kuhamia kijijini ambapo alifanikiwa kununua shamba na akajenga.. kule mjini akajenga pia nyumba...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Msemaji Mkuu wa Serikali awe anachapisha taarifa yake na kurusha kwa umma baada ya kuzungumza na vyombo vya habari

    Tathmini inaonyesha msemaji wa serikali baada ya kuzungumza na waandishi wa habari taarifa yake uishia hapo au wakati mwingine kunukuliwa vibaya. Ili kuweka taarifa na kumbukumbu sawa kwa umma nashauri kuanzia sasa awe anatoa taarifa ya maandishi kwa umma baada ya kuzungumza na wananchi...
  17. JamiiForums Tanzania Poland yatoa mlio baada ya makombora kuingia ndani ya Anga lake

    💬 "We inform that on March 24th, at 4:23 AM, there was a breach of Polish airspace by one of the maneuvering missiles launched tonight by the long-range aviation of the Russian Federation. The strikes targeted towns in western Ukraine. The object entered Polish airspace at the altitude of the...
  18. JamiiForums Tanzania Mdau anaomba miongozo baada ya kukuta hiki kifaa kwenye mkoba wa mpenzi wake

  19. JamiiForums Tanzania Mbinu za kujikwamua WhatsApp ban.

    Tutashare mbinu za kujikwamua na ban humu, kumbuka hii ni cat/ mouse game kwa hiyo sio kila mbinu itafanikiwa kwako. Fanya backup! Baadhi ya hizi njia zitapoteza chat msg/ picha etc so kama ni muhimu kwako fanya backup unvayojua wewe kabla ya kujaribu lolote. Tahadhari na factory reset...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Waziri Bashe na TBS kuhusu Mchele wa msaada toka Marekani, nini kinaendelea?

    Baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Hussein Bashe ambaye ni Waziri wa Kilimo alieleza kuwa waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kwani Tanzania ina hazina ya mchele. Hata hivyo, muda si mrefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…