baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Moshi: Kijana wa bodaboda apoteza maisha baada kukimbizwa kugongwa na gari la Polisi akihisiwa kubeba mirungi

    Gari ya polisi Rombo yadaiwa kumgonga dereva pikipiki aliyedaiwa kuwa na mirungi nakuondoka na mwili, barabara yafungwa RPC asema barabara ishafunguliwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema barabara ya Rombo na Moshi imefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa zaidi ya saa...
  2. JamiiForums Tanzania Nataka nibadili jina langu JF baada ya watu kulisema sana

    Mzuka wana jamvi ? Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo 1. Ghayo de Nyangwisi 2. Ghayo de Nyambumbu 3...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee Trump amesitisha mashambulizi aliyopanga kufanya Leo baada kujigamba atatoa kichapo leo

    Mzuka wana jamvi ? Babu Trump alijisifu leo Iran itaenda kuwa majivu atapiga vibaya mno lakini ghalfa amePost kuwa amesitisha Hilo. Sasa Trump watu watamchoka kumuona muimba Taarabu ikumbukwe takribani zaidi ya mara 5 kila akisema Leo Iran inakuwa majivu anasema ameombwa na viongozi wa mataifa...
  4. JamiiForums Tanzania Akimbia Hospitali baada ya mkewe ‘singo maza’ kutembelewa na mzazi mwenzie

    Kaka mmoja hapa mtaani alioa mwanamke mwenye Watoto Wawili wa Baba Mmoja, huyo mwanamke Aliachana Na MUME Wake kipindi Watoto Wakiwa Wakubwa tayari wameanza shule, baada ya kuachana na mume wake Akaolewa Na huyu kaka wa hapa mtaani, kaka ana pesa Kiasi. Jana Mke Kaumwa Sana ikapekea akalazwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akibiwa hospitalini na mwanaume wake baada ya kutembelewa na mzazi mwenzie.

    Daaa sijui kwa Nini inakuwa hivi.
  6. JamiiForums Tanzania Umefaidika na nini baada ya kuoa mwanamke mpambanaji/mwenye kipato?

    Ugonile, kumeibuka kasumba ya wanaume kutaka kuoa wanawake wanaojimudu kiuchumi/wenye kazi au biashara inayowaingizia kipato. Vipi wanaleta chochote mezani kama mlivotarajia au tuwaache na maisha yenu?
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya kuamua kwenda kupanga na kujitegemea, chumba chako cha kwanza kilikuwa na muonekano gani?

    Kipindi hicho usikute ata kitanda huna godoro unaweka down nenga .
  8. JamiiForums Tanzania Kuna kitu kinanishangaza. Kwanini watu waliotekwa kisha wakafariki inalazimishwa wazikwe haraka?

    Huu mchezo wa utekaji na kwa mtindo huu unazidi kuwa na nguvu sana. Nilishuudia mkoa X walitekwa watu zaidi ya wanne.Mmoja alipatikana kijiji cha mbele akiwa amefariki ila wanakijiji walipotoa taarifa polisi na polisi ikaamuru kuzikwa haraka bila kuuliza lolote. Ndugu wa marehemu walipojaribu...
  9. JamiiForums Tanzania Je hii ni kweli: Baada ya kutoka Urusi kaenda Oman Ujombani?

    Taarifa za kufuatilia mienendo ya ndege imeonesha Mheshimiwa Rais kaende Oman baada ya kutoka Russia. Je kwanini kaenda huko bila kutoa taarifa? Je ndege ikipata hitilafu na ikatokea ajali huko, watatuambia nini sisi tuliomchagua?
  10. JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kumkana tamko lake la "Yuda", Simai lazima avuliwe uanachama

    Mambo yanaenda kasi sana. Waswahili wanasema mdomo ulikiponza kichwa. Madsi ya mwanasiasa asiyejulikana na wengi kutoka Zanxibar sitwaye Simai Mohammed, umeleta mtafaruku wa kisiasa ndani ya CCM, na hata Bungeni. Madai yake mazito ati kuna Yuda msaliti ndani ya serikali, si tu yamekosea...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

    Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said, amesema mafanikio ya Serikali katika ukusanyaji wa mapato yanaonyesha kuwa Tanzania ipo katika mwelekeo sahihi wa kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akichangia mjadala wa Bajeti ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kadhaa wajeruhiwa baada ya taili za mbele za ndege kupasuka

    Frankfurt, Germany: wafanyakazi kadhaa wa ndege kampuni ya Lufthansa Boeing 787, wapata majeruhi baada ya taili za upande wa mbele wa ndege(nose gear) kupasuka wakati ikiwa imepaki katika geti la airport ya Frankfurt. Lufthansa wamesema wafanyakazi kadhaa wapata majeruhi baada ya tukio lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Taifa tuna hasara kubwa sana kama wanasiasa hawatajifunza baada ya kuwaharibia vijana wa Serengeti boys

    Guys Huyu dada na akili mara mia ya Makonda. kiufupi Makonda ni empty head kabisa sijui huwa anatumia ubongo upi kutekeleza mambo yake. Mara nyingi amekuwa ni mtu wa papara na mipango mibovu mibovu kwa kweli kama Taifa tuna hasara kubwa sana. Acha tu Nchimbi aitwe YUDA maana namba moja...
  15. JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba wa TBC Baada ya Kuchukua Mamilioni ya Kustaafu Sasa Arudi Na Ziara ya URUSI!

    ANAANDIKA AYOU RIOBA , MSTAAFU TBC ANAYEKULA MAFAO KWA MRIJA:- Ziara ya Rais SSH Urusi ni muhimu sana, hasa tukizingatia historia ya mataifa yetu! Ninafahamu fika kwamba ndugu zetu mabeberu watachukia. Tanzania na Urusi zina historia kubwa kimahusiano. Tuna Watanzania wengi waliosomeshwa Urusi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania JF ina raha yake! Unapata habari yoyote unayoihitaki duniani hasa baada ya kifunguliwa/ kuifungua, maana vpn kilikuwa ni kipengere

    ASANTE Maxence Melo and Team! Raha tupu!
  17. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Afufuka: Arudi Nyumbani Baada ya Mazishi

    Mwanajeshi Nazar Dalestskyi alipotea wakati wa shambulizi zito la Urusi huko Donbas mapema 2022 na kuhofiwa kufa, Ndugu walipewa taarifa na kufanya mazishi ya mpendwa wao baada ya vinasaba vya DNA vilivyo chukuliwa kwa mama yske kuonyesha ni maiti yske. Lakini maajabu yametokea 2026 baada ya...
  18. JamiiForums Tanzania Serengeti Boys kufungwa baada ya Siasa na Presha kuingizwa!

    Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO WATCH: TotalEnergies CAF Under-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026 Final. Wakati timu ilipofika...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kawaida mwili kuchoka, kuhisi homa na mafua baada ya kuanza mazoezi ya kukimbia?

    Nauliza tu wakuu nisijekufa bure
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, arejeshwa Gerezani baada ya Kesi ya Mgawanyo wa Mali kufutwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, . Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa walipofika mahakamani waliarifiwa kuwa Lissu alifikishwa kwa ajili ya kesi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…