Picha: Hali ya Gaza kabla na baada ya Vita

Picha: Hali ya Gaza kabla na baada ya Vita

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
17,143
Reaction score
38,588
Moja kwa moja......

Mji wa Gaza ulikuwa mzuri sana , makosa na ujinga wa Hamas kuingia mkenge kufanya shambulio la kikatili kukazaa Unyama mkubwa zaidi katika zama hizi chini ya IDF

1.
IMG_20261013_155415.jpg


2.
IMG_20261013_155445.jpg


3.
IMG_20261013_155429.jpg


4.
IMG_20261013_155357.jpg


#UziUnaendelea
 
Naaam IDF chini ya Jemedari B'Netanyau Bibi waendelee tu kutoa dozi mpaka pale kizazi chote Cha magaidi kitakapo futika hapo Gaza
 
Kuna uwezekano mkubwa Netanyahu na genge lake walifanya makusudi kuwaruhusu Hamas kuwavamia na kufanya uharibifu ili kupata kisingizio cha kwenda kuiangamiza Gaza!

Kimsingi Hamas walipiga hesabu zao vibaya. Ona sasa walichofanywa na Mayahudi!
Taarifa za kiusalama zinasema hivyo ndio maana hataki uchunguzi wa kina juu ya Oct 7 . Week kabla ya tukio Netanyahu alikuwa na hali mbaya sana ya kisiasa na maandamano na migomo iliratibiwa na raia .

Halafu alipewa warning na Hamas kuwa asipokubali matakwa Yao watakiwasha ila bado hakuimarisha ulinzi , Vilevile Misri na UAE kupitia mashiriks Yao ya Kijasusi waliwapa taarifa kuwa Hamas wamejipanga kufanya shambulio kubwa siku chache kabla ya tukio lakini yote Mzee Netanyahu akapuuza.
 
Miji mizuri mikongwe ya kihistoria inaharibiwa vibaya, vita ni mbaya sana.
Sio Gaza tu hata Iraq , Sryria , Lebanon historical sites nzuri za mwanzo wa Civilization zimeharibiwa vibaya sana na nyingine zimepotea kabisa
 
Back
Top Bottom