baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya dilema ya muda mrefu sasa yametimia nilichokuwa nakiwaza kimetokea nini kinafuata sijui

    Wakuu nilikuwa na mtanziko wa muda mrefu kuhusu nini ni-priotize katika maisha yangu biashara au ajira au vyote kwa pamoja. Muda wote huo nilikuwa nikifanya biashara ambayo ilinifanikisha kujenga nyumba mbili na kununua viwanja kadhaa mjini (Dar) na mkoani, lakini pia niliweza kutanua wigo kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa za ROT zimenishinda nguvu. Leo hii mtu anabizwa, kesho anatoa pongez, kesho kutwa anatoa pole, siku zijazo wanaungana, siku zifuatazo wanaachana

    Hakuna tumaini la mnyonge katika hili bara la afrika. Its a circous.
  4. JamiiForums Tanzania Vijana Makachu Wafariji Rais Samia Baada ya Msiba wa

    Vijana wa Makachu, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika...
  5. JamiiForums Tanzania Leo ni miaka 25 baada ya tukio la kuhuzunisha la September 11 mwaka 2001

    Ulikuwa wapi wakati Marekani iliposhambuliwa na magaidi katika tukio la September 11 mwaka 2001? Leo wamarekani wanatimiza miaka 25 (umri wa mtu mzima) baada ya mkasa wa kushambuliwa majengo ya biashara ya World Trade Centre na Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Ulinzi (Pentagon) Wengine...
  6. JamiiForums Tanzania Kujihukumu baada ya relapse.

    Hivi unajiskiaje uki abstain addiction kwa muda mrefu then siku moja haja zikuzidi na ujikute umerelapse? Aisee leo nimerelapsa na porn addiction yangu muda wa asubuhi niliamka na urges mbaya sana na ninajihisi maumivu ya kuji hukumu, ndugu zangu katika kuacha addiction, kuna muda unajikuta...
  7. JamiiForums Tanzania Mashahidi wa Lisu kutoka chadema HQ hawakua wamejiandaa ipasavyo au ni kiwewe cha kizimbani tu?

    Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua, je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa masuala ya kimahakama au mashahidi hao walikua wanamuogopa sana wakili Katuga? Baada ya hukumu...
  8. JamiiForums Tanzania Aomba kupelekwa polisi baada ya kugonga gari la gharama

    Mzozo wa barabarani umejitokeza baada ya dereva wa pikipiki ya miguu mitatu (Toyo) kugonga gari la kifahari, kisha kuomba apelekwe kituo cha polisi kuliko kutakiwa kulipa gharama za matengenezo ambazo hana uwezo nazo. Tukio hilo limetokea baada ya mfumo wa breki wa Toyo hiyo kukatika ikiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya "free Juma Jux"; Hatimae Jux arejea Tanzania na kujumuika kwenye usiku wa henna wa zuchu

    Baada ya kuwepo kwa kampeni na gumzo kubwa mtandaoni la "Free Juma Jux", msanii nguli wa muziki wa Afro-R&B nchini, Juma Jux, hatimaye amerejea nchini Tanzania. Urejeo wa msanii huyo umeibua msisimko mkubwa miongoni mwa mashabiki, hasa baada ya kuonekana akihudhuria usiku wa Henna wa msanii...
  10. JamiiForums Tanzania Diamond amfariji Rais Samia baada ya msiba

    Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 09 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sasa tumeelewa Nchimbi alisema Watanzania tupiganie Katiba baada ya kujua CCM wanatumia Octoba 29 kama kizuizi cha katiba mpya, wakamfukuza!

    Maneno ya Wasira yameonyesha mambo matatu makubwa sana ambayo bila shaka si Watanzania walielewa mpango huu muovu wa CCM; CCM hawako tayari Tanzania iwe na Katiba Mpya CCM waliamua kutumia kisingizio cha Octoba 29 kama kizuizi cha kuwa na katiba mpya CCM waliamua kumfukuza Nchimbi kwa sababu...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wauguzi Wasitisha Mgomo wa Siku 41 Baada ya Makubaliano na Magavana

    Wauguzi Wasitisha Muungano wa Kitaifa wa Wauguzi na Wakunga nchini (KNUNM) umesitisha mgomo wa kitaifa uliochukua siku 41, baada ya kufikia makubaliano na Baraza la Magavana (CoG). Katibu Mkuu wa KNUNM, Seth Panyako, alitangaza Jumatano, Septemba 9, 2026, kwamba mgomo ulioanza Julai 29 umefutwa...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Ondokeni Ndani ya Saa 24”: Mkenya Akamatwa Baada ya Kuwalenga Warundi

    Mwanaume wa miaka 32 amekamatwa Nairobi baada ya kudaiwa kutoa matamshi yaliyowalenga raia wa Burundi wanaoishi na kufanya kazi Kenya, katika kipindi ambacho mjadala kuhusu wafanyabiashara wa kigeni tayari umeibua hofu miongoni mwa baadhi ya wahamiaji. Kwa mujibu wa DCI, Kevin Odiwuor Otieno...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya Meli za Mafuta za Iran kushambuliwa na Marekani Iran yatoa ONYO tena kwa Marekani

    Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Iran ilionya kwamba shambulio lolote dhidi ya meli za mafuta za Iran lingesababisha mashambulizi dhidi ya kambi za Marekani kote katika eneo hilo, huku meli 3 za mafuta za Iran zikipigwa risasi karibu na pwani ya kusini ya Iran, karibu na Kisiwa cha Kharg na...
  15. JamiiForums Tanzania Wasanii wamfariji Rais Samia baada ya msiba

    Wasanii mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika...
  16. JamiiForums Tanzania Daktari aliyeshambuliwa na Polisi ni Specialist

    Yule Dr ni Specialist aliekua anawahi kwenda kutimiza majukumu yake ambapo Trafic alichomoa funguo ya gari yake ndipo Specialist aka react
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Kaseya amfariji Rais Samia baada ya msiba

    Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Afrika CDC) Dkt. Jean Kaseya akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya Emmanuel Nchimbi sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba

    Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu Mara ya kwanza tuliona Machawa na wanaounga mkono Wauaji wa 29.10.2025 na Wanaopenda maovu wakimuandama Emmanuel Nchimbi hadi akaitwa Yuda. Baadaye tukasikia amejiuzulu Sasa wamehamia kwa Mwigulu Nchemba. Wameanza kumuandama ili kumchafua na...
  19. JamiiForums Tanzania Habari ya asubuhi wakuu. Wale ambao ni watumiaji M-WEKEZA tusaidieni mawili matatu kuhusu akiba baada ya kuitumia

    Ni kweli wanakupa riba 13% kwa mwezi? Changamoto zake? UZuri wa hii huduma? Karibuni
  20. JamiiForums Tanzania Wakili Johnson Johannes Kachenje asimamishwa kazi baada ya kuwasilisha hukumu zilizotengenezwa kwa AM (Akili Mnemba) AI, Mahakama Kuu, Dodoma.

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imemsimamisha kazi ya uwakili kwa miezi sita Wakili Johnson Johannes Kachenje, baada ya kubainika kuipotosha Mahakama kwa kuwasilisha hukumu za uongo zilizotengenezwa na mfumo wa Akili Mbandikiza (Artificial Intelligence - AI). Hukumu hiyo imetolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…