baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jiwe baada ya Jiwe: BASATA isipoingilia hii vita ya hizi lebo 3 Wasanii wengine 3 watasahaulika

    Naona kina baraka prince, Nay wa mitego na wengine wmetoa kazi zao ila kwa hizi fujo zinazofanywa na WCB, Konde ganf na kiba wasanii wengine wanapata wakati mgumu sana kuvuma. Rapcha kutoka bongo records alivuma na Lisa ila hii vita ya vigogo ilipoanza katupwa
  2. JamiiForums Tanzania Je, unadhani Mashabiki 'Oya Oya' wa Yanga SC baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC leo walitakiwa walaumu lipi kati ya haya yafuatayo?

    a ) Rafu mbaya sana na ya Kikatili mno aliyochezewa Luis Miquissone wa Simba SC na Beki Mpuuzi Mghana wa Azam FC ambayo si tu ingemjeruhi vibaya bali ingeweza hata Kuhatarisha Uhai wake na cha Kushangaza Mwamuzi hakumpa upesi Kadi Nyekundu na akaishia tu kumpa ya Njano huku Mchezaji Mcheza Rafu...
  3. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu tuanzeni mapema Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwa taarifa mbaya au nzuri baada ya Saa 12 leo Jioni

    Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo. Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
  4. M

    JamiiForums Tanzania NMB tuoneeni huruma, kiwango mnachokata baada ya kuomba risiti ni sh10,000 -- ni kubwa mno

    Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000. Nawashauri NMB...
  5. JamiiForums Tanzania Idadi ya Watu baada ya COVID-19 itapungua?

    Ukifuatilia mwenendo wa ukuaji wa idadi ya watu duniani kwenye tovuti ya Worldometer World Population Clock: 7.9 Billion People (2021) - Worldometer utagundua kwamba idadi ya watu katika karne za nyuma kuanzia Karne ya 19 ilisalia bila kuongezeka hadi karne ya Ishirini Idadi ya Watu ilipoanza...
  6. JamiiForums Tanzania Nimepata wazo baada ya kumsikiliza Anthony Mtaka alipowaapisha Wakuu wa Wilaya Dodoma

    Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma. Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize...
  7. JamiiForums Tanzania Je, naweza kuomba chuo tena baada ya kumaliza mosomo kama mwaka wa kwanza?

    Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni kwa mwaka huu mpya wa masomo uko Bado sijagraduenti.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupigiwa kura badala ya kuchaguliwa na Raisi?

    Nime towa wazo hilo ili utendaji una weza kuwa mzuri. Kwanza nataka kujuwa hawa wakuu wamikowa na wakuu wawilaya wana ingia wapi katika serikali Kuna madiwani ambawo huchaguliwa na watu hawa huingia wapi? Kuna mayor ambaye huchaguliwa na wajumbe lakini ( bora ingekuwa mayor anachaguliwa na...
  9. JamiiForums Tanzania David Kafulila kuteuliwa kuwa DC baada ya kujiuzulu U-RAS ni uthibitisho kwamba nchi hii kuna watu hawatakiwi kuwa Jobless?

    Hii imekaaje ? Mtu anachaguliwa nafasi fulani, anafanya baada ya muda anajiuzulu kwenda kutafuta nafasi anayoitaka mwenyewe. Cha kushangaza mtu huyo huyo teuzi nyingine zikifanyika unamuona kateuliwa tena. 🙄 Je, hakuna watu wengine au what's so special na hawa watu ? Nadhani wakati wa kura...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kuingia Ethiopia, Angola waisihi SAFARICOM Ikawekeze huko.

    Yani bila hata kufanyiwa open international tender angalau Safaricom ijifanye inashindana na kampuni nyingine za kimataifa, serekali ya Angola imeketi chini na kuamua hakuna mwengine ambae ako na product kama M-PESA kwahivyo afadhali watumie diplomasia kuialika Safaricom ikaanzisha huduma hio...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya Maumivu kuwazidi "MATAGA" waamua kuomba "backup"

    Mama kawaumiza sana Vijana wa CCM, hili wala halina ubishi wala haliwezi kuwa mada ila cha kusikitisha ni mambo wanayoyafanya hao MATAGA ni ujinga mtupu. Moja, wameamua kujitoa kwenye makundi yao ya WhatsApp ili kuonyesha kutoridhika baada ya kukitumikia chama hasa kwa kumtusi Mheshimiwa Mbowe...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya teuzi, sasa Media za Tanzania zimeshawekwa 'Mfukoni' na Mamlaka

    Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi. Maziko ya Media Tanzania yamefana.
  13. JamiiForums Tanzania Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

    Naomba kwanza tumsikilize Mkuu wa Mkoa. Video clips zinachelewa kupanda lakini In shaa Allah tutazipandisha, ni muda tu. Baada ya kumsikiliza mkuu wa mkoa na tatizo la uchafu na biashara kuwa kiholela mitaa ya Dar. AlhamduliLllah Madrassatul Abaraar darasa la vifaa vya ujenzi tumekuja na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Napata wapi tena salary slips baada ya kugoma kupatikana mtandaoni?

    Umuofia kwenu!! bado hiyo document haipatikani mtandaoni mpaka leo. maisha yetu ni kukopa na kulipa kila leo.....mwezi julai unakuja, mwezi wa kusomesha vijana wetu. jana nimefika kwenye taasisi ninayokopea wanataka na salary slip ya mwezi mei 2021 na si vinginevyo. naipata wapi, dar au dodoma?!!!
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya Masanja Mkandamizaji sasa MC Pilipili naye awa mchungaji.

  16. JamiiForums Tanzania Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

    Leo 16/06/2021 12:45 Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia Sh309 bilioni kwa njia ya udanganyifu. Pia, mahakama hiyo imemhukumu kifungo cha...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuendelea na masomo ya Degree baada ya kuhitimu Diploma ya shule za msingi?

    Naomba kuuliza eti ukihitimu Diploma ya Ualimu wa shule za msingi unaweza kuendelea na degree ya shule ya msingi au secondary, Bila kupita Form Six?
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Desktop haioneshi chochote kwenye monitor nikiwasha, baada ya muda feni inazunguka sana

    Habari waungwana! Kuna muda nilikuwa nafanya kazi then umeme ukakatika. Baada ya umeme kurudi nilipojaribu kuwasha, monitor ikawa haioneshi chochote. Baada ya ya karibu dakika moja hivi, feni ikaanza kuzunguka kwa kasi sana. Hilo tatizo lilijirudia kila nilipojaribu kuwasha. Je, tatizo ni nini...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya ukimya, P-Funk afuta post aliyomuomba Diamond kumsaporti Rapcha

    Baada ya kuona kimya, imemlazimu P-Funk aifute tu, huenda ni kuhisi kadharaulika ila pia huenda WCB hawajafurahishwa na dogo Rapcha kuwashisha mara 2. Majuzi kazi ya Rapcha Lisa iliachiwa, ikawa trending namba 1 huku ikiipindua video ya Mboso na Baba levo Hayakupita masaa mengi WCB wakaachia...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya serikali kupunguza bei ya kuunganishiwa umeme kuwa Tsh 27,000 Mkoa wa Kilimanjaro ofisi ya Tanesco mkoa yakabiliwa na upungufu " Surveyor"

    Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…