baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwithdraw pesa toka paypal iliyokuwa held baada ya akaunti kuwa limited kwa siku 180

    Nadhani wale wenzangu na mimi mnaotumia Paypal mlishawahi kukumbana na tatizo la paypal kushikilia pesa yako kwa miezi 6 na kisha baada ya hapo kukwambia uitoe ila option iliyopo ni kupitia akaunti ya bank ya US. Sasa leo nawapa njia ya kuwithdraw hiyo pesa. Unatakiwa kuwa na US dollar account...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  3. JamiiForums Tanzania Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

    Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna ipi polisi wanaweza kupata maelezo ya mtuhumiwa bila kumtisha au kumtesa?

    Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa. Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu. Ikithibitika kuwa polisi wametumia vitisho au nguvu kupata maelezo kutoka kwa mtuhumiwa, maelezo...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza baada ya Miaka zaidi ya 30, Shilingi ya Tanzania yaanza kufanya vizuri

    Nisiseme maneno mengi! Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia! Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni ya mtandao wa kijamii ya Trump yapata dola bilioni 1 kutoka kwa wawekezaji

    Kampuni ya mtandao wa kijamii ya Trump yapata dola bilioni 1 kutoka kwa wawekezaji CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Mradi mpya wa Donald Trump wa mtandao wa kijamii umechangisha $1bn (£755m) kutoka kwa wawekezaji kabla ya kuorodheshwa katika soko la hisa. Taasisi ya habari na teknolojia ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

    Habari za muda huu JamiiForums. Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi. 1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime). 2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
  8. JamiiForums Tanzania Mabilionea wakubwa 20 waliojitengengenezea utajiri wao baada ya kuacha Chuo Kikuu

    Elimu ni ufunguo wa maisha, Elimu ni bahari, Elimu ni nguvu. Elimu ina nguvu na uwezo mkubwa sa a wa kubadilisha maisha ya watu. Lakini pia sii kila msomi au mtu mwenye elimu kubwa ana mafanikio makubwa au utajiri mkubwa au ametimiza ndoto zake. Elimu haijasaidia kutajirisha watu wote wenye...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka Simu za 'Madili' na za Bei 'Nafuu' subirini baada ya haya 'Matamasha' ya leo ya EFM na Clouds FM mtazipata kwa Wingi tu

    Nimepishana na 'Coasters' mbili za 'Masela' na Wazee wa 'Ndole' tupu zikielekea Tanganyika Packers Kawe walipo EFM na Tamasha lao na nyingine ikielekea Leaders Club Kinondoni waliko Clouds FM na Tamasha lao, na kwa zile 'Sura' au 'Nyago' nilizoziona nina uhakika kuanzia Kesho Asubuhi huenda...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Usinywe pombe kupindukia baada ya kupata chanjo ya COVID-19

    Watu wamekuwa wakijiuliza endapo kama kuna madhara pale ambapo mtu atakunywa pombe siku au saa chache baada ya kupata chanjo ya COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema unywaji wa pombe baada ya Chanjo ya COVID-19 hauna madhara lakini ulevi wa kupindukia unaweza kupunguza ufanisi wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania CDC: Hakuna madhara kupata chanjo za maradhi mengine kabla au baada ya chanjo ya COVID-19

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema watu waliopata chanjo ya COVID-19 wanaweza kupokea chanjo za maradhi megine. Mwitikio wa chanjo mwilini hautofautiani endapo mtu atapata chanjo ya aina moja au tofauti. ====== Getting a COVID-19 Vaccine with Other Vaccines People...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

    Akiwa jijini Mbeya Rais Mstaafu wa JMT Jakaya Mrisho Kikwete aliulaumu uongozi wa Mkoa wa Mbeya kwa kutokuwa serious kwa kutoa eneo la ekari 50 juu Kwa ajiri ya kujenga Tawi la chuo kikuu cha Dsm. Kusema kweli asante sana Rais Mstaafu Mhe Kikwete Kwa kuwaambia ukweli watu wa Mbeya. Watu wa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa maumivu gani tena waungwana!?

    Inavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme, MGAO WA MAJI nao ndani, tukiwa bado tumeduwaa mara paap PETROLI BEI JUU, hiyo haikutosha VIFAA VYA...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mwajiri kutoa mkono wa pole(rambirambi) kwa mtumishi wa serikali baada ya kufiwa na mama au baba upoje?

    Viongozi naombeni kujua utaratibu wa kupatia pole(rambirambi) na mwajiri(serikali) baada ya kufiwa na mzazi. Na kama upo huwa ni shilingi ngapi? Documents zipi zinahitajika ili mtumishi aweze kulipwa? Naombeni msaada viongozi.
  15. JamiiForums Tanzania FUTIKA FUTIKA: Kilevi kinachofuta akili ndani ya muda mchache baada ya kunywa

    Maandalizi *Pukuchua mbegu zake *Changanya na maji lita 1 *Acha baada ya masaa 6+ *Kunywa Matokeo: Kati ya matukio haya manne, moja nimelishuhudia juzi kwa kijana mmoja ninayefahamiana naye na leo aliponiletea mmea huu ilibidi niupige picha nilete humu kwa ajili ya kujuzwa zaidi juu ya mmea...
  16. JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mvua yanyesha mara baada ya hotuba ya Rais Samia

    Kwa wenye Imani huwa tunaangalia Ishara mbalimbali leo katika uwanja wa Shekh Amri Abedi mheshimiwa Rais Samia Suluhu alihutubia wananchi kuhusu maswala ya Usalama barabarani Mara baada ya hotuba yake na wakati anaelekea kuondoka lilitokea wingu kubwa na baadaye Mvua ikanyesha Wana imani iwe...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda kesi CAS Bernard Morrison anataka kuishtaki Yanga SC kwa kufoji sahihi yake katika Usajili

    Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)...
  18. JamiiForums Tanzania Ni maeneo yapi ambapo wamachinga wamerudi baada kuondolewa?

    Kwanza pongezi kwa serikali kwa kutenga maeneo ya wafanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga na kuendesha zoezi kuwaondoa maeneo ambayo sio maalum na kuwapeleka maeno maalum kwa biashara zao. Cha kusikikitsha kuna ambao sio waungwana wamerudi tena sasa weka hapa eneo mtaa wilaya na mkoa...
  19. JamiiForums Tanzania Niliacha pombe baada ya kukutana na mwanamke mwenye kalio nusu

    Ilikuwa siku ya ijumaa mida ya saa tano nikaingia kiwanja nikapate local beers mbili tatu akili ikawe sawa.Ghafla akaja mdada na jamaa yake wakakaa meza ile niliyotulia mimi,wakaanza vinywaji wakawa wanakunywa!!Kama mnavyojua mambo ya kunywa lazima kuwe na story mbili tatu plus makelele ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…