azamtv

  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

    DStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000. Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu...
  2. Area 56

    Azam TV watarusha kweli mechi za kombe la dunia?

    Dstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?
  3. danhoport

    Naombeni msaada kuhusu changamoto hii ya kisimbuzi cha Azam

    Habari wakuu, Naombeni msaada wenu. Nimenunua kisimbuzi cha antena cha Azam bila antena nimekuja nacho kibaha nikaunganisha kwenye antena. Cha ajabu zinakuja channel za startimes na nimejaribu kusearch zaidi ya Mara tatu lakini channel ni zile zile za startimes zinakuja. Shida inaweza kuwa...
  4. M

    SoC02 Ongezeko la idadi ya watu wasiopiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tanzania ukilinganisha na miaka 5 iliyopita

    Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka wazi kwamba, Kila raia wa Tanzania aliyetimiza miaka 18 anayo haki ya kupiga kura katika uchauzi...
  5. DUMEGUY

    Ivi azamtv offer ya kisimbuzi kipya ipo?

    Mambo vipi wakuu, nahitaji kujua kitu. Ivi ile offer ulikua ukinunua kisimbuzi kipya unapewa mwezi mzima bure amna ama?, Nauliza ivyo maana nimenunua kipya leo kuwasha naona free local chanel Cha antena 99k
  6. Bani Israel

    Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

    Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000. Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
  7. Planett

    Sipati chaneli ya Russia Today kwenye Azam TV

    Nimekua nikifiatilia channel hii katika kipindi hiki cha mzozo wa Russia-Ukraine ili kuballance matukio. Sasa leo najaribu kuangalia haipo hewani na kwenye screen ya tv haileti ujumbe wowote either poor signal au vipi. Je kwa sisi wapenzi wa Russia Today tv ndio imekula kwetu? Je inaweza kua...
  8. Mario Kempes

    Nishaurini kati ya Dstv na Azamtv ninunue kisimbuzi gani?

    Napenda mipira yote ya bongo na ulaya, king'amuzi gani kinafaa hapo kwa huu uchumi wa kati? Naombeni ushauri
  9. Area 56

    Kisimbuzi cha Azam Tv bila dish kinauzwa

    Nauza kisimbuzi changu cha Azamtv bila dish, tena kisimbuzi hiki ni cha Kenya yaani package ya kuangalia NBC Premier League wewe utatazama kwa kulipia 13,000/= tu badala ya elfu 20,000/= Na usiwaze jinsi ya kulipia kifurushi, utalipia kwa M-pesa Visa card kwenye simu yako. Changamkia fursa hii.
  10. L

    Biashara ya kutafsiri movie za Hollywood kwa sound dubbing kama wafanyavyo Azam two

    Habari wanajamii. Mwaka jana mwezi wa Desemba nilikuwa naangalia filamu iliyotafsiriwa na Ahmada Abdulrahman maarufu kama Dj Mark nikajiuliza inashindikana nini kuingiza sauti za Kiswahili kama wanavyofanya Azam tv kwenye tamthilia zao kama Sultan, Jamai raja na Kufli. Jibu ni kwamba gharama ya...
  11. Yasser

    King'amuzi cha AzamTv ( online)

    Naomba kujua,nina muda sasa nashindwa kutumia AzamTv application niliyo download kutoka App store,kila niki download.. nilitaka kuangalia mechi live/ news ina jifunga,nimejaribu kuondoa na ku install upya lakini mambo na hayo hayo..! mwanzoni haikusumbua hata kidogo. (Natumia Iphone 6 plus pia...
  12. Yasser

    King'amuzi cha AzamTv ( online)

    Naomba kujua,nina muda sasa nashindwa kutumia AzamTv application niliyo download kutoka App store,kila niki download.. nilitaka kuangalia mechi live/ news ina jifunga,nimejaribu kuondoa na ku install upya lakini mambo na hayo hayo..! mwanzoni haikusumbua hata kidogo. (Natumia Iphone 6 plus pia...
  13. Yasser

    King'amuzi cha AzamTv ( online)

    Naomba kujua,nina muda sasa nashindwa kutumia AzamTv application niliyo download kutoka App store,kila niki download.. nilitaka kuangalia mechi live/ news ina jifunga,nimejaribu kuondoa na ku install upya lakini mambo na hayo hayo..! mwanzoni haikusumbua hata kidogo. (Natumia Iphone 6 plus pia...
Back
Top Bottom