King'amuzi cha AzamTv ( online)

Yasser

Member
Nov 27, 2007
52
27
Naomba kujua,nina muda sasa nashindwa kutumia AzamTv application niliyo download kutoka App store,kila niki download.. nilitaka kuangalia mechi live/ news ina jifunga,nimejaribu kuondoa na ku install upya lakini mambo na hayo hayo..! mwanzoni haikusumbua hata kidogo.
(Natumia Iphone 6 plus pia nimejaribu kwenye iPhone 8 .)
Je,hili ni tatizo kwa wote ?
Je kuna njia ya kufanyikisha hili ?

Natanguliza shukrani zangu kwenu
 
Jaribu ku update hiyo ios iwe kuanzia 10 na kuendelea itakubali, na mimi nilikuwa na shida hiyo ila ikaja kukubali. Ila kama unayo kuanzia 10 na kuendelea litakuwa tatizo jingine
 
Nenda kwenye setting
Mkuu hapo kwenye ku update ios iwe kuanzia 10 ndo unafanyaje ufafanuzi kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye setting, then General, hapo kwenye general upande wa kulia utaona neno sofware update, click itaanza kuangalia kama kuna update yoyote. Vile vile angalia kwanza version uliyonayo hapo juu kwenye neno about, kwa chini utaona version unayotumia. Kama ni chini ya 10,ndio tatizo
 
mmh... wacha niendelee kujaribu , nimecheki nina tumia iOS 12.1.4 ( up dated )
wacha nijaribu option nyingine labda ya kutumia adroid .
shukrani sana kaka.
 
mmh... wacha niendelee kujaribu , nimecheki nina tumia iOS 12.1.4 ( up dated )
wacha nijaribu option nyingine labda ya kutumia adroid .
shukrani sana kaka.
Ios huwa zina changamoto kweli!! Unaweza ukashinda wiki nzima una update app, inakataa, una jaribu ku download app, inakataa ila siku nyingine inakubali kilainii
 
Poa poa kaka, nimekusoma .
na hakika inaboa sana .
wacha niendelee kuminyana nayo.
Asante mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom