azam

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo ofisi za Azam sea tax havifanyi kazi

    Huduma ya choo ni muhimu kibinadamu na hongera kwa kuweka vyoo pande zote mbil, shida inakuja mnavifunga kwa kusema vibovu. Sio sawa, kama vibovu vikarabatiwe na ili kuweka hali maridhawa chaji hata sh 200 kama wenzenu wa TEMESA choo chao kipo vizuri sana. Nyie mmeweka vyoo ila kila ukisha scan...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Azam hizi movie za jioni za Fahari na sijui Taswira za hovyo kabisa; movie ni Vacation na baba lao Kombolela

    Ina maana Azama mmekosa kabisa movie za maana zinazosisimua, zinazoburudisha na kuelimisha? Fahari haieleweki kichwa na mkia viko wapi, hakuna connection and continuity naona tu wahusika wanajazana kubadilishana huwezi elewa ht muelekeo na connectio from the past. Mtunzi wa hii kitu ni zero...
  3. JamiiForums Tanzania Mmejiandaaje na bei mpya ya vifurushi vya Azam Tv?

    Wapenda kandanda na tamthilia za kutafsiri kutokea king’amuzi cha Azam Tv mmejiandaaje na bei mpya za vifurushi? Tetesi ni kuwa bei mpya zinakuja mwezi Septemba.
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

    Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
  5. JamiiForums Tanzania Unakubali zaidi channel gani kwe azam other channels?

    Kwenye azam other channel kuna channel zaidi 40 ambazo zinapatikana free na wingine wanalipia izi channel zinapatikana ata zuku decoder na CONTINENTAL DECODER Sibuka Abood tv Rabbi tv Tz Gospel Tv Top tv Africa swahil tv nk Je ni channel gani unaifatilia zaidi ?
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Azam Marine: Kuna udalali wa tiketi na vyoo ni vichafu!

    Azam kwanini mmeruhusu biashara ya udalali wa tickets kushamiri. Je, mnajua kuna watu wanashirikiana na watu wenu wa ndani kujua taarifa kama tiket zimeisha kisha wananunua tuseme zimebaki 100, kisha wanaziuza kwa elfu 70 badala ya 35. Pia Azam boresheni vyoo vyenu; vimechoka kama vyoo vya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Goodluck wa Azam TV (Morning Trumpet) anahoji watu bila weledi

    Nawasalimia nyote. Nimekuwa nikifuatilia mahojiano mbalimbali ya moja kwa moja kipindi cha morning trumpet, Azam TV. Kwa maoni yangu mtangazaji Goodluck amekuwa akifanya mahojiano bila weledi, amekuwa akibishana na mgeni bila hoja za msingi. Anakua msemaji mkuu bila kumpa mgeni nafasi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Azam FC yazindua Jezi mpya za msimu wa 2025/26

    Azam FC imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kuzindua jezi mpya za msimu ujao (2025/26). Azam FC imezidua jezi ya nyumbani, ugenini na chaguo la tatu. Unatoa asilimia ngapi kwa jezi za chama hili la Chamazi?
  9. JamiiForums Tanzania Ibenge ndani ya Azam, ligi kuu itakuwa na moto sana

    Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
  10. JamiiForums Tanzania Florent Ibenge kocha Mpya Azam FC

  11. S

    JamiiForums Tanzania Nazi za Azam na GSM zinatoka nje ya nchi, za kwetu hazitoshi au?

    Hello, niende moja kwa moja kwenye mada. Katika kutazama kwangu nimeona nazi za pakiti zinazouzwa hapa nchini mfano zile za Azam na GSM, zinatoka nje ya nchi na hao kina Azam wanafanya kazi ya usambazaji pekee. Hilo limenifikirisha sana kwa sababu Tanzania inaongoza hapa Afrika kwa uzalishaji...
  12. JamiiForums Tanzania Derby ya Simba na Yanga ife rasmi, iwe Yanga na Azam

    Hongereni watani, hatuna kisingizio chochote mmetufunga kihalali. Michezo 5 mfululizo Simba tunanyukwa,ni tofauti kwa Azam na Yanga, Simba hawana ubabe tena mbele ya Yanga tuwaweke kando kwenye derby iwe Azam na Yanga Derby huwa mmoja hata awe dhaifu anakaza ila siyo kufungwa mara 5...
  13. JamiiForums Tanzania Azam wafanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana

    Hongera sana kwa wizara husika na mwekezaji azam yaani umefanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana tulipitia kipindi kigumu sana nahisi sasa ni wakati wa BRT kuangalia hili la uwekazaji wa azam waliofanga hapa kigamboni mtu unasikia Ata raha sasa kuishi kigamboni BRT ebu fanyeni tathmini...
  14. JamiiForums Tanzania Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kocha Florent Ibenge aliyekuwa anaifundisha Al Hilal

    Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kocha Florent Ibenge ambaye alikuwa anaifundisha klabu ya Al Hilal ya Sudan. Kilichosalia ni utambulisho rasmi tu. Azam inaendelea kujitafuta ili ifikie malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara, kwa kufanya sajili kubwa msimu huu.
  15. JamiiForums Tanzania Kwani Azam media mnaundugu na Iran au Israel?

    Yaani nawasha tv kuangalia jinsi Mu-Israel na Mu-Iraq wanavyochapana jibu ni NO SIGNAL Kwani nyie vita vyao vinawahusu Nini kukata channel dadeki 😔😔😔
  16. JamiiForums Tanzania AZAM TV washinda kesi, wataendelea kuonesha vitasa

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media dhidi ya Bondia, Amos Mwamakula aliyetakiwa kulipwa fidia ya Tsh. milioni 250 baada ya kushinda kesi ya uvunjifu wa haki miliki ya wazo lake ambayo ilitolewa na Mahakama ya Kivukoni. Ushindi huo wa Azam unakuja baada ya kukata rufaa kupinga...
  17. JamiiForums Tanzania Hili tangazo la Azam TV fainali ya 2 CAFCC limekosa uhalisia

    Tangazo ulitengenezwa kabla ya Mechi ya mkondo wa Kwanza May 17, 2025 shabiki akijigamba Morocco Kwa tutampiga na Kwa Mkapa hatoki Mtu. Sasa kwao Berkane kashinda na Mechi haiko Kwa Mkapa lakini linaendelea kutolewa siku Hadi siku. Huu ni ukosefu wa ubunifu.
  18. JamiiForums Tanzania Sio Yanga tu Azam nao wanakuja, hiki kikombe Karia na wenzio lazima mkinywe mkitapike...

    Muda si mrefu Azam nao wamejiandaa kutopeleka timu yao kuonyesha mpira 15 jun Mpaka walipwe hasara walizotumia tar 8 Sasa bodi ya ligi a Karia wenu Nendeni mkajipange na hawa wapangieni ratiba kama mlivyojichanganya Kazi iendeleeee
  19. JamiiForums Tanzania Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

    Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
  20. JamiiForums Tanzania Huenda Azam anaweza kabisa ku dominate ligi yetu ila anahofia kuharibu biashara zake

    Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu ya kununua ving'amuzi vyake Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…