azam

  1. JamiiForums Tanzania Wale wote 'mnaomtetea' Haji Manara na 'Upuuzi' na 'Unafiki' wake popote pale mlipo naomba mnijibu haya Maswali yangu Kwenu

    1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki? 2. Je, kati ya aliyekuwa CEO Magori ambaye hakuwa kumpa Mkataba wowote Haji Manara na CEO Barbara ambaye kwa mwaka...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Lengo la Manara Mo aondoke Azam wachukue matangazo ya simba

    Hoja ya Manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia Manara kufanikisha deal Tuwe machoooo. MO asimjibu Manara kama anataka kuendelea na Simba kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

    Aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu Kongwe ya Simba Sports Club leo hii anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam juu ya Masuala mbalimbali ikiwemo ya yeye kuondoshwa katika klabu ya Simba Kuwa nami hapa kwa updates/kinachoendelea -------------------------------------------- Ameanza...
  4. JamiiForums Tanzania Azam Media wekeza pia kwenye eneo la waamuzi wa ligi

    Itakuwa kazi bure kuwekeza sana kwenye timu za ligi luu bila kuangalia pia eneo la waamuzi ubora wa ligi. Maamuzi mabaya viwanjani yanatia karaha watizamaji wa mpira. Kuna watu wasiopenda karaha wanaoamua wasiangalie kabisa mechi za ligi kuu zenye makosa makubwa ya wazi na makusudi ya waamuzi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji anzisha king'amuzi chako, Azam wanatawala sana

    Bilionea Mohamed Dewji, wewe ni mdau mkubwa wa soka na unaufahamu vizuri sana. Najaribu kukushawishi uanzishe king'amuzi au decorder itakayoitwa mo sattelite tv. Pamoja na vipindi vingine uanzishe channel za soka za kuonyesha live mechi za ligu kuu ya bara. Ukiritimba wa azam na TFF ni hatari...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Haji Manara anatangaza maji ya Uhai ya Azam badala ya maji ya Masafi ya Mo?

    Kuna kitu kinaitwa "conflict of interest" Je, inaswihi kwa Haji ambae Boss wake Mo ana biashara ya Maji na wakati huohuo Haji kwenda kutangaza biashara ya Maji kwa Azam? Mo ana maji ya masafi na Azam ana maji ya Uhai. Mo ana timu ya Simba na Azam ana timu ya Azam. Hii imekaaje kikanuni?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Azam media

    Kuiga kitu kizuri kwa mwenzio sio vibaya ndio maana Leo China yuko vile kwa sababu alikubali kuiga na kucopy teknolojia kwenye maonesho ya kwanza ya sayansi na teknolojia yaliyofanyika nchini uingireza mwaka flani karne ya upinduzi wa viwanda. Hivyo basi azamtv kwakua nyie mmeingia kandarasi...
  8. JamiiForums Tanzania ELIMU YA HISA: Simba wakipata bil40 za Azam basi 49% ni za Mo Dewji

    Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa. Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara...
  9. JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Mo Dewji Simba na Udhamini wa Azam kwa Yanga

    Heshima kwenu wakuu... Moja kwa moja niingie kwenye mada husika. Kumekuwa na mkanganyiko kati ya uwekezaji uliofanywa na Mo pale Simba na udhamini uliofanywa na Azam kwa wanandinga wa Jangwani. Sisi wa Buhigwe kitu kinachotuchanganya ni kuwa ina maana Mo ataimiliki simba maisha kwa hiyo 21B...
  10. JamiiForums Tanzania Mkali wa Jiko Azam TV

    Hongereni sana kwa hiki kipindi Waandaaji na Washiriki.. Mi nimekipenda Tulizoea kuona mashindano ya hivi kwa nchi za nje tu. ... Maoni; 1. Ile meza ya kuonjea iwe kubwa zaidi Ili Maybe kila chef judge apate plate yake for tasting kwa nafasi 2. Na serving dishes standard iwe plates kubwa zaidi...
  11. JamiiForums Tanzania Simba alikataa ofa na kuwakebehi Azam. Je, Azam kalipa kisasi kwa kuipa yanga dau nono?

    Kama unafatilia haya mambo utakumbuka miezi michache iloyopita Mo ali weka post huko Twitter ya Manchester united kupewa mamia ya mabilioni kwajili ya haki miliki za matangazo, ni kwamba hii ishu ilitotoke baada ya azam kwenda simba kuomba haki ya matangazo kama alivyofanya kwa yanga ila sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Azam kwanye ile bil 40 yetu tunaomba mtutangulize 20 tuinunue Simba

    Azam kwanye ile bil 40 yetu tunaomba mtutangulize 20 tuinunue Simba
  13. C

    JamiiForums Tanzania CEO Barbra na wenzako hapo Simba SC ni kweli mna deal kubwa zaidi ya Azam TV?

    Habari ni kwamba mlikataa kulipwa hela sawa na utopolo (hapo nawaunga mkono kabisaaa) lakini milioni 200 kwa mwezi ni nyingi sana inaweza kutumika hata kuongeza mishahara ya wachezaji na technical benchi au hata kuanza kuelekezwa kujenga majukwaa uwanjani kule Bunju. sababu ya pili ni kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

    Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na utafanyiwa marudio/maboresho baada ya miaka mitano. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji King'amuzi cha Azam Used

    Habari wakuu. Mwenye king'amuzi cha azam used tuwasiliane hasa kama upo Dar au Kibaha Simu 0713-039 875
  16. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Azam kombe la FA ni ushahidi mwingine dhidi ya TFF na Simba

    Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena. Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu...
  17. JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa unajiuliza ni kwanini Wachezaji wa Azam FC juzi Songea walicheza 'Kikatili' vile kutaka 'Kuua' Wachezaji wa Simba SC jibu hili hapa

    Wana Miezi Mitatu hawajapewa Mishahara na si kwamba labda Tajiri 'Mzanzibari' hana Pesa bali kaamua Kuwafanyia 'Kusudi' baada ya Kuwaambia Wachezaji wanamuangusha kwani anawapa kila Kitu hivyo wakitaka Wafurahi basi nao pia Wamfurahishe. Hivyo basi Wachezaji wengi wa Azam FC sasa kutokana na...
  18. JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kwa wale 'Washamba' tu na wenye 'Chuki' na Goli 'halali' kabisa la Simba SC dhidi ya Azam FC huko Songea katika ( ASFC ) leo

    Nianze Kwanza kwa Kumshukuru Mchambuzi 'mahiri' wa Mpira kutoka Clouds FM Kipindi chao cha Michezo cha Sports Extra Farahani (Farhan) Kihamu kwa Ufafanuzi wake ulioenda Shule (Kidato) Na nikiri kuwa 100% ya kile nitakachokiandika hapa nimekitoa Kwake Mchambuzi huyu Farahani Kihamu na siyo...
  19. JamiiForums Tanzania Je, unadhani Mashabiki 'Oya Oya' wa Yanga SC baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC leo walitakiwa walaumu lipi kati ya haya yafuatayo?

    a ) Rafu mbaya sana na ya Kikatili mno aliyochezewa Luis Miquissone wa Simba SC na Beki Mpuuzi Mghana wa Azam FC ambayo si tu ingemjeruhi vibaya bali ingeweza hata Kuhatarisha Uhai wake na cha Kushangaza Mwamuzi hakumpa upesi Kadi Nyekundu na akaishia tu kumpa ya Njano huku Mchezaji Mcheza Rafu...
  20. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam tunawasubiri Fainali. Simba hamna kitu ni maneno tu.

    Kwanza naomba niwape pongezi wachezaji wa Azam kwa ushindi ambao wameupata leo kwa kuiondoa Simba. Simba ni level za Biashara ndo ataenda cheza nao. Sisi Wakubwa tunakutana FAINAL YA AZAM F.CUP. Match ilikuwa nzuri lakini Ubora wa Azam umeamua matokeo ya match hii. Simba match ya Tarehe 3/07...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…