azam

  1. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Azam TV Remote Control inauzwa

    p
  2. JamiiForums Tanzania Interview Rais Samia na Azam TV, azungumzia safari, Urais, Mikopo ya Miradi ya Magufuli, Ripoti ya CAG

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Tido Mhando wa Azam TV, leo Mei 4, 2022 RAIS SAMIA: HAKUNA FUNDI WA URAIS, HAUZOELEKI Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Urais haizoeleki kwa kuwa kuna mambo mengi. “Sidhani kama kuna mtu anaweza kusema ni fundi katika nafasi ya Urais, labda...
  3. JamiiForums Tanzania Mukoko Tonombe anukia Azam FC

    Imeelezwa kuwa kiungo wa kazi aliyewahi kucheza ndani ya Yanga, Mukoko Tonombe yupo kwenye rada za mabosi Azam FC ili kuweza kuinasa saini yake. Nyota huyo ni miongoni mwa wachezaji ambao waliweza kufanya vizuri ndani ya Yanga msimu uliopia wakati timu hiyo ilipomaliza ikiwa nafasi ya pili...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

    Mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Azam Sports Federation utapigwa usiku huu ambapo Yanga atawakaribisha Geita Gold katika dimba la Benjamin Mkapa. Kwa live updates tukutane hapa saa 1::00 usiku ================= Mchezo umeanza na timu zote zinashambuliana kwa zamu. Dk ya 20: Geita...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Azam FC timu iliyokuwa inategemewa kuleta mapinduzi ya soka inazidiwa point 23 na Yanga inayoongoza ligi?

    Viongozi wa Azam ni kama walifanikiwa kuingizwa kwenye mtego wa U Yanga na U Simba hususani kulalamikia hujuma timu inayofanyiwa dhidi ya mabeberu hao wa soka hapa nchini na kupelekea wao kutokufanya vizuri. Wakati mwingine wakaenda mbali zaidi na kuhisi pia chama cha soka kimewakumbatia zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Kukataliwa Goli la Simba dhidi ya Coastal, Azam TV Hamtutendei Haki Wateja Wenu

    Kwema Wakuu, Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya kupata Matangazo hayo katika ubora wa hali ya juu bila ukakasi. Yaani Sisi kwa kununua ving'amuzi...
  7. JamiiForums Tanzania LIGI KUU: Msimamo ulivyo baada ya Yanga kuifunga Azam FC, Simba yazidiwa pointi 14

    Msimamo wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa baada ya Yanga kuifunga Azam FC mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex usiku wa Aprili 6, 2022. Kwa matokeo hayo sasa Simba imezidiwa pointi 14 na vinara hao wa ligi licha ya kuwa Simba wana michezo miwili mkononi.
  8. JamiiForums Tanzania Azam Mungu akupe nini na hapa napo umeshindwa?

    Kweli Azam fc kama jina lake lilivyo limekaa kiurojourojo nahisi wachezaji wake hula iscream tyu, Inasikitisha hata kwa kikosi hiki cha Yanga kibovu umeshindwa kutoa hata sare... Azam wewe utaweza kucheza federation? Round ya kwanza tyu ushatolewa.... dadeki zako
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Director kipindi Cha sports AM Azam sports 1 tar 3/4/2022

    Mtangazaji wenu mahamoud bin Zubery anapiga miayo wazi wazi na mbaya zaidi sio tu sauti ya miayo kusikika Bali anaonekana wazi wazi akipiga miayo... Kama Hilo halitoshi pia anakosea kutaja muda wazi wazi saa 10:21 anasema saa saa 10:30, Director huu ni uzembe wa hali ya juu.. Vipi kama siku...
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Azam dekoda ya dish wahi kwa 130,000 tu DSM

    Inauzwa. 130,000 Jeti kwa Gude, Dsm 0713096076
  11. JamiiForums Tanzania Morrison akasirika, alalamikia timu ya taifa “Mnaita wachezaji wa Azam FC wakati timu yao inafungwa na Simba”

    Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameshutumu maamuzi yanayofanyika katika kuita wachezaji wa timu ya taifa lake la Ghana kwa madai kuwa kuna ubabaishaji mwingi na wanatana kwa kujuana. Morrison amesikitishwa na kitendo cha kuonekana anadharaulika wakati amecheza katika klab kadhaa kubwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dstv kumbe hamna kitu, ni hovyo.Hongera Azam.

    Kwa gharama za vifurushi vyao kuacha kuonesha mechi kali kama za leo(kutoka Afrika) za kufuzu world cup ni kutothamini wateja. Congo vs Morroco Cameroon vs Algeria Ghana vs Nigeria Mechi kama hizi hamuoneshi mnabaki kuonesha mi mbio ya baiskeli, jirekebisheni.
  13. JamiiForums Tanzania Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

    Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000. Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
  14. JamiiForums Tanzania Yanga SC ikiifunga Azam FC Uvumilivu utanishinda na kuna Viongozi Watatu wa Simba SC nitakula nanyi sahani Moja

    Haiwezekani tunaroga sana ili Kuzicheza Mechi zao lakini bado Mtu wao anatetema na Kutukera zaidi. Haiwezekani tunafanya kila aina ya Umafia ili Wakwame na Mtetemaji wao angalau hata aumie lakini Wanashinda na haumii. Haiwezekani Posho ya Wachezaji katika Mechi mbili za Mbeya City na Kagera...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Azam TV Max app na matatizo ya channeli ya UTV siku za mechi za simba CAF

    Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili ya kungalia zako mpira unaambiwa CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN YOUR AREA. Ajabu ni kwamba baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ibrahim Ajibu tatizo ni uwezo umefikia ukomo au Azam FC?

    Ibrahim Ajibu kama ilivyokuwa kwa Jonas Mkude na wenzake kadhaa wakiwemo kina Said Ndemla, wakati wanachipukia kwenye Simba B chini ya Kocha Selemani Matola walionekana ni wachezaji wenye vipaji ambao watakuja kuwa na maisha mazuri kiuchezaji uwanjani. Hilo ilitimia kwa kiasi fulani...
  17. JamiiForums Tanzania La Candidate Tamthilia Bomba Sana Inayoonyeshwa na Azam One TV

    Ni Tamdhilia ya Mexico, inamagwiji wenyekujua uhusika wao kwa kiwango cha juu. Siasa, Misukosuko ya familia, Mahisiano hapa ndipo mahali pake. Gavana Alonso, Seneta Martnez, Mzee wa Mujini Romario, Tajiri Escalante, Seneta Regina Mke wa Gavana Alonso, Igancio,Xmina na Emiliano hawa waifanya...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Azam tv wanairudia mechi ya Azam vs Biashara United siku moja kabla ya mechi ya Simba vs Biashara United?

    Mpaka naogopa Mimi sasa, mechi ya Azam vs Biashara United ilichezwa wakati Simba Iko kwenye majukumu ya kimataifa. Kesho Simba inacheza na Biashara United. Leo Azam tv inafanya marudio ya mechi hiyo. Hii Ina maana gani? Ni ombi maalumu au ni utaratibu wa Azam tv?
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Azam full set

    Nauza azam full set kwa lak na 60 Kipo katika hali nzur kinapatikana kimara karibuni 0625772790
  20. JamiiForums Tanzania Oracle Developer/Manager at Azam Media

    The position is responsible for debugging, root cause analysis, analyzing an inherent functionality and solving issues by considering overall impacts, and handling various users of the subscriber management system. Responsible for requitement gathering, implementation, testing and fixed in the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…