azam

  1. JamiiForums Tanzania Kenya: Mechi ya Gor Mahia Vs Azam FC yaahirishwa kutokana na vurugu za kisiasa

    Gor Mahia vs Azam SC friendly match scheduled for Sunday 26th March has been called off due to prevailing political uncertainties.
  2. JamiiForums Tanzania TFF wametumia vigezo gani kupanga timu mwenyeji katika kombe la Azam federation Cup robo fainali

    Habarini wana michezo. Moja KWA Moja naomba kupata ufafanuzi juu ya upangwaji wa Timu mwenyeji katika mashindano ya Azam Confederation cup hatua ya robo fainali na hatua za nyuma yake kama hatua ya 16 na 32 bora. Maana nimefatilia naona kama hizi timu kubwa zinapewa kipaumbele kuchezea viwanja...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na Serikali mnajisikiaje mkiuona uwanja wa Azam Complex?

    Yaan ina tia hasira na pia inahuzinisha, mnashindwa ingia ubia na wamiliki wa Ccm wanaomiliki viwanja vingi mapato yakaenda halmashauri kwenye mgawanyo? hao waarabu wanaotunyanyasa ubora wa viwanja vyao unachangia. Huku mnaweza fanya kitu kizur kikatutambulisha watanzania. Hata mashindano yenu...
  4. JamiiForums Tanzania Azam Tv wamechoka kuonesha Mpira

    Wameweka cameras kama zile za kwenye harusi tu. Zipo 3 uwanjani na zimewekwa chini zimeufanya uwanja uonekane mdogo. Si mara ya kwanza. Ni kama Azam kwa sasa wametosheka sana. Hawana wasiwasi na hii ni kutokana na Uhuni ambao TFF wanafanya nao kuwapa kazi ya kurusha matangazo kwa miaka mingi...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Azam Federation Cup: Simba 4-0 African Sports : 02/03/2023

    Mechi inaanza muda mfupi ujao Mchezo umeanza 5' Simba wanamiliki mpira na kufika mara kadhaa langoni kwa wapinzani 7' Baleke anakosa nafasi akiwa karibu na lango 25' Mwenda anampiga kazu kipa wa African Sports lakini hakuna wa kuuweka mpira wavuni 35' Goooo Baleke anaipatia Simba goli la...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

    Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma). Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini magari ya Azam yakiwa na mizigo hayapiti kupima mzani?

    WanaJf, Salaam! Nimefuatilia kwa KARIBU sana na kugundua kiwa MAGARI ya mizigo ya kampuni ya AZAM na GBP huwa hayapiti kupima uzito wa mizigo yao kwenye mizani ya TANROADS. Hii sababu gani? Nikiwa na gari la namna hiyo nitumie njia ipi nami lisipime uzito? M. Kabende China
  9. JamiiForums Tanzania Tulinganishe hizi timu Azam fc vs vipes fc upande wa uwekezaji

    Vipers Azam
  10. JamiiForums Tanzania Kuondolewa kwa chaneli nyingi za Azam bila taarifa mnajiona wajanja sana

    Asubuhi ya leo wakati naamka huwa nitautaratibu wa kuangalia baadhi ya chaneli za habari nikaanzai France English hakuna, fox hakuna. Nikashangaa kwanini na nimelipia. Zile za watoto vikatuni vyao hakuna wamebakiza tatu tu. Movies wameondoa action zote wamabakiza wachina tu na vitamthiria vya...
  11. JamiiForums Tanzania Feisal Salum tamaa Yamponza, Azam yamkataa kwenye kesi yake

    Hii imekaaje karibu ili upate habari kwa kina kuhusu kinda huyu tokea visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) motto aliyekuzwa na urojo pamoja na vibagia. Kwasasa yupo kikaangoni akizungushwa huku na kule kupata suluhu ya mkataba wake na timu ya wananchi (Yanga Sc). Baada ya kulazimisha kuvunja...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Leo nitatizama Runingani (TV) Mechi ya Simba na Azam huku nikiwa Nimenuna mno

    Wenye Akili Kubwa nina uhakika kwa Kichwa changu cha Habari hiki mtakuwa mmenielewa sana tu. Tukutane Saa 3 Kamili leo baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC Kumalizika. Kazi ipo....! Mangungu waombe Radhi.
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya Azam TV kumuajiri Aloyce Nyanda, je watakubali aigeuze kijiwe cha porojo za CHADEMA?

    Aloyce Nyanda, mwanachadema kindakindani ameajiriwa Azam Tv, katika kurasa mbalimbali za kijamii anazomiliki, amekuwa akitukana serikali na viongozi wake. Tunasubiri uongozi wa AzamTv kama watakubali awafitinishe na Serikali kwa maslahi yake binafsi na ya chama chake Cha Chadema.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Azam FC msipotufunga Simba SC Keshokutwa ( Jumanne ) nitawalaumu na nitawadharau sana

    Nataka mtufunge ili tukichanganya na zile Hasira za Kufungwa Thalatha za Mwarabu jana tupate sababu ya Kuvurugana zaidi na Mgogoro uwe mkubwa Klabuni ili Mo Dewji ( Mwekezaji ), Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ( Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ) na mwana Yanga SC lia lia Murtaza Mangungu (...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Msaada AZAM MAX APP. Nifanyeje kupata chaneli zinazoonesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho za CAF za Simba na Yanga?

    Ninatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa. kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya kuipa ZBC 2 kwa sasa, leo niangalie games za CAF za Simba na Yanga
  16. JamiiForums Tanzania Azam wanatumia njia gani kuajiri wafanyakazi?

    Nimejitahidi kutafuta ajira za Azam ila sioni popote kama kuna matangazo yao ya ajira, naona wapo tofauti kidogo na METL. Kwa ambaye anajua kama Azam anatoa nafasi za ajira anisaidie niangalie kama kuna nafasi. Swali: 1. Je, unapeleka cv ofisi zao? Na kama unapeleka je ofisi zao ziko wapi? 2...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina imani kabisa na bidhaa za Azam, hususani Embe

    Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara. Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo? Mfano, sayona tunda tutajuaje...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: Azam Media unganeni na Canal Sports mrushe EPL kuleta ushindani

    Kama azam ikaingia UBIA na canal Sports KWA baadhi ya Chanel's za mpira wa ulaya itapata soko zaidi kuliko sasa. Kwa soko la Tanzania DStv inawaumiza wapenzi wa soka KWA gharama kubwa Sana hivyo inapaswa ipewe ushindani Ili wananchi wapate huduma Bora. Azam wanaweza pandisha vifurushi hadi...
  19. JamiiForums Tanzania Azam mmeweka channel nyingi sana za kidini za akina kuhani Gregory,Koses na Rogatusi

    Ama hakika nakerekwa na Azam tv kitendo Chao cha kujaza Channel nyingi za akina kuhani Gregory ama hakika inanikera yaani kama azam wasiponitelekezea hili nitauza king'amuzi cha Azam tv Sijui kwanini Azam mna udini kiasi hiki mna upendeleo mkubwa kwa hii dini ya makuhani! Acheni hizo
  20. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

    Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam. Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…