azam

  1. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2 - 1 Singida Fountain | NBC Premier League | Azam Complex | 21.09.2023

    Azam Football Club vs Singida Fountain Gate START : 1900 2ND :Azam FC 1-1 Singida FG 2nd Half.
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

    Leo saa 10:00 jioni Simba SC itakuwa kibaruani kucheza dhidi ya Coastal Union katika dimba la Uhuru Dar es Salaam. Ni mchezo wa raundi ya tatu ya NBC Premier League ambapo kila timu inahitaji alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi. --- Kikosi cha Simba kinachoanza...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada king'amuzi cha Azam

    Nina king'amuzi cha antena cha Azam, mtoto sijui kabonyeza wapi kimeandika No subtittle, halafu haibadili chanel, hiyo naitoaje?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Congratulations Singida Fountain Gate FC, I'm impressed

    Singida Fountain Gate FC was amazing Leo. Despite the fact that wapo economically below the top 3. I I'm very happy for them. Congratulations to them. Good luck in Egypt.
  5. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Azam TV wataonyesha mechi ya Bumamuru vs Mamelodi Sundowns?

    Wakuu naomba kujuzwa... Je, Azam wataonyesha mechi tajwa hapo juu hapo kesho? Natanguliza shukrani
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Hall of Fame Boxing yaishtaki Azam Media, yataka ilipwe Tsh. Bilioni 2 kwa kurusha maudhui kinyume na mkataba

    Kampuni ya Azam Media inashtakiwa Mahamani na Kampuni ya 'Hall of Fame Boxing and Promotion' ambayo inajihusisha na uandaaji wa mapambano ya ngumi za kulipwa wakiitaka iwalipe kiasi cha pesa Tsh. Bilioni 2 kwa kurusha hewani maudhui yao kwenye kipindi kinyume na makubaliano. Katika kesi hiyo ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Djuma Shabani aibukia Azam

    Aliyekua beki wa klabu ya Yanga raia wa kimataifa wa Congo Djuma Shabani ametimkia klabu ya Azam ya jijini Dar-Es-Salaam kwa mujibu wa taarifa mbalimbali. Beki Djuma Shabani ameonekana kwenye viunga vya Azam akiwa anafanya mazoezi na klabu hiyo, huku vyanzo mbalimbali vikithibitisha beki huyo...
  8. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe! Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo .. Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo gharama za kukodi Uwanja wa Azam Complex

    Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi. Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja ni Shilingi laki sita ( 600,000 ) bila taa. Ukitaka kufanya mazoezi na taa (usiku) basi utalazimika...
  10. D

    JamiiForums Tanzania CEO wa Azam FC karidhika na Azam yake na shida hizi?

    Despite problems such as; 1. inconsistency 2. winning useless matches 3. poor leadership structure 4. talent wasteful club 5. no yearly plans 6. lack of football board members 7. ceo shule hana, mikakati wala pressure 8. ni kikundi cha wahuni 😂
  11. Beberu

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FF 3 Vs Tanzania Prisons 1 (28/08/2023) Azam Complex Stadium

    Game hio inachezwa leo pale Chamazi, mashabiki wa Azam karibuni kwa updates Kikosi cha team bora Azam FC. 0' match imeanza hapa chamazi 11' Dubeeeeeeee, Azam wanapata uongozi mapema hapa 35' Azam wanautawala mchezo leo, ila matokeo bado ni 1-0, 47'Goooooool Nado anatupa bao la pili Azam...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania AZAM na Baraka Mpenja punguzeni mahaba kwa Yanga, kuweni professionals

    Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili. Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi"...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Azam Media kama hamuwezi Kuvumilia habari za DW Acheni Kurusha..

    Leo nilikuwa sijapanga kuandika chochote hapa JF. ila hawa Azam media wamekuwa wadwanzi sana hasa upande wa radio UFM. Nimekuwa nikifuatlia trend yao ya urushaji matangazo ya DW siku nyingi mwanzo nilihisi ni bahati mbaya. Lakini nimejirizisha pasina shaka.kwamba wanafanya makusuidi huku...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu na uelewa wangu wa soka la Bongo, Leo Azam washinde au washindwe kocha atatimuliwa

    Kiwango cha Azam ni kibovu sana, mtu yeyote mwenye akili hawezi kwenda na kocha huyu, azam wanaongoza bao 2 1 hadi sasa dakika ya 59 lakini nina uhakika hata kama wataiondoa Bahir leo, kocha hana kazi. Timu imesajili vyuma hasa lakini kiwango sifuri, asipofukuzwa kocha kesho mtaniambia
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanni nafurahi Azam FC kutolewa mapema hatua za Awali za CAFCC leo?

    1. Wana Uyanga mwingi 2. Wana Unafiki 3. Wana Dharau 4. Tajiri yao hashauriki 5. Laana ya Usaliti inawagharimu 6. Wachezaji wao wanaikamia zaidi Simba na siyo Yanga 7. Wana Ushamba unaowaponza Naipongeza mno kama siyo sana hiyo Klabu iliyowatoa Azam FC kwa Aibu hasa katika hatua hizi za Awali...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam na Dhambi ya Fei Toto itakayowaandama

    Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting. Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli! Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
  17. Beberu

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

    Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC, Watanzania wote wanaiombea Azam ishinde na kuzidi kuipeperusha vyema bendera...
  18. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Azam FC, Simba FC na Yanga SC mnunueni beki wa Mashujaa "Shedrack"

    Huyu beki wa Mashujaa ni balaa - hamutajutia kumsajili katika vilabu vyenu. Ni ushauri tu
  19. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Azam sio huzikamia Simba na Yanga no. Ni timu ambayo wachezaji wake wanaweza kufichwa na kupewa hamasa ili wasihongwe na Timu kubwa

    Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!! Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu. Kama kila...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Unaijua kanuni iliyosababisha mechi ya Azam FC na Kitayosce kuvunjika?

    SURA: V MCHEZO Kanuni: 17 Taratibu za Mchezo (1) Michezo yote ya Ligi Kuu itachezwa kwa kufuata sheria kumi na saba za mpira wa miguu za FIFA (17 Laws of the Game). (2) Kutakuwa na mkutano wa kitaalamu wa Maandalizi na Uratibu wa mchezo (MCM) utakaofanyika kabla ya mchezo, saa 4:00 (nne) asubuhi...
Back
Top Bottom