azam tv

Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم‎; born 15 October,1994) is a Pakistani cricketer who captains the Pakistan national team in limited overs cricket and is a top-order batsman.

View More On Wikipedia.org
  1. N'yadikwa

    Azam TV kwenye application sio poa

    Mafundi wenu sijui ndio wanafanyia majaribio ya kurekebisha sauti huku. Application mara nyingi imekuwa kama second option kwenu ingali watu tunalipia!?, kwa kuwa customer desk lenu halifikiki kirahisi chukueni ujumbe wenu hapa, tunao subscribe kwenye Application yenu tutendeeni haki the...
  2. Mohamed Said

    Azam TV: Utengenezaji wa Kipindi Cha Historia ya Mwalimu Nyerere Ndani ya Soko la Kariakoo

    https://youtu.be/mDEZOK2SBBM
  3. T

    Azam Tv mnavyozidi kujitangaza msisahau kuongeza/maintain chaneli Bora kuwe na machaguo tofauti

    Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za Wasauzi,Ghana na Kenya na za Lugha zao za makabila... Hivyo kwenye muvi machaguo ni machache, mteja...
  4. M

    Azam tv acheni udini!king'amuzi chenu mmejaza Channel nyingi za dini moja kwanini

    Tupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la king'amuzi tv kujaza channel nyingi za dini upande mmoja linanikera Azam tv mmejaza channel nyingi sana za...
  5. Jamii Opportunities

    TV Director at Azam TV November 2025

    We Are Hiring! TV Director Key Roles Bachelor’s degree in Television Production, Media Studies, Broadcasting, or related field (or equivalent professional experience). 3-7 years of experience directing live television, preferably sports, entertainment, or news. Proficiency in multi-camera...
  6. Bakulutu

    AZAM TV, ubora na gharama zenu haviendani

    azamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni janja njaja. Pia kwenye mpira kuna tatizo la kamera zenu hazionyeshi matukio kila kona hasa offside...
  7. Lord Denning

    Azam TV na TBC wanatumika kuhalalisha Uchafuzi wa jana. Tukawasalimie muda huu

    Azam TV na TBC wanatumika kuhalalisha uchafuzi wa jana tulioukataa Wananchi. Wanajifanya kutangaza matokeo ya Uchaguzi eti walioshinda uchaguzi. Wanatumiwa na Mafisadi na Wauaji kuhalalisha upuuzi wao. Wananchi twendeni tukavichome hivi vituo muda huu
  8. ESCORT 1

    Siku hizi ujanja ni kutafuta Azam Tv ya Burundi au Malawi

    Huku bei ni mserereko kabisa. Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli.. Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..
  9. Trainee

    Azam TV leo bure tu

    Chaneli zipo free tu sijui kuna aliyebonyeza kitufe kisichotakiwa kubonyezwa
  10. balibabambonahi

    Azam Tv mnazingua

    Nimelipia king'amuzi toka jana channel hazifunguki,namba zenu za simu hazipokelewi.Mna nini?
  11. Bila bila

    Azam TV tafuteni wakalimani

    Kinachoendelea hapa KMC Complex kwenye mahojiano baada ya Mechi ya KMC dhidi ya Singida BS Kati ya Mtangazaji na makocha Gamond na Maximo ni aibu.
  12. Kanali_

    GE2025 AZAM TV mnatukosea wateja wenu na kuwagawa, kwa kuweka hotuba ya mgombea wa CCM ambazo kiuhalisia ni kampeni!

    Kumekuwa na utaratibu wa kila siku ya mechi kubwa dakika chache kabla ya mechi kuanza mnaweka hotuba ya mgombea wa CCM au machawa wake ikiambatana na ahadi kibao ambazo kiuhalisia ni kampeni! Hii ni dhulma kwa wateja wenu wasiomuunga mkono huyo mgombea lakini pia mnajenga chuki na matabaka kwa...
  13. misasa

    Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

    Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
  14. comrade_kipepe

    Azam TV ipo shida ?

    Niko naangalia la liga hapa ñaona kama inascratch inaleta mawimbi, na hata mchana niliona kwenye MECHI ya al nassr Hilo tatizo, lakini za CHAN hazina shida. Ni king'amuzi changu au kuna mwingne kaliona Hilo?
  15. maroon7

    Watangazaji wa mpira Azam TV waache kupotosha matumizi ya baadhi ya maneno ya kiswahili

    Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake. Mfano walianza kuita mpira eti mali, na hii imekua kama lugha rasmi kwao.. kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho unaweza usisikie wametaja...
  16. JimCarrey

    UTV ya Azam Tv sio free tena

    Kifupi Azam TV wamefungia UTV sio Bure Tena, tafadhali msije mkafungia na local channel nyingine mtaua bendi.
  17. Emilio Mzena

    Mmejiandaaje na bei mpya ya vifurushi vya Azam Tv?

    Wapenda kandanda na tamthilia za kutafsiri kutokea king’amuzi cha Azam Tv mmejiandaaje na bei mpya za vifurushi? Tetesi ni kuwa bei mpya zinakuja mwezi Septemba.
  18. S

    Azam TV anavizidi ving'amuzi vingine

    Miaka kadhaa iliyopita, Azam TV alikuwa anazidiwa na kampuni nyingine kama Star Times kwa idadi ya ving'amuzi lakini kwa sasa hali ni tofauti. Azam TV ndiye anaeongoza na anavizidi ving'amuzi vingine mbali kwa idadi ya watumiaji. Hii ni kwa mujibu wa takwimu za TCRA zinazitaja idadi ya...
  19. B

    Goodluck wa Azam TV (Morning Trumpet) anahoji watu bila weledi

    Nawasalimia nyote. Nimekuwa nikifuatilia mahojiano mbalimbali ya moja kwa moja kipindi cha morning trumpet, Azam TV. Kwa maoni yangu mtangazaji Goodluck amekuwa akifanya mahojiano bila weledi, amekuwa akibishana na mgeni bila hoja za msingi. Anakua msemaji mkuu bila kumpa mgeni nafasi ya...
  20. Just Pray

    PreGE2025 Mtangazaji wa Azam Tv, Hasheem Ibwe atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mwanga, Kilimanjaro kupitia CCM

    Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro. == MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.... Salamu kwa Vijana wenzangu, Huu ni wakati wa...
Back
Top Bottom