Awamu iliyopita ya hayati Magufuli, imekuza kiswahili kwa kufukua lahaja, tungo,misamiati mipya na kufufua mikuukuu.
Ila cha ajabu mingine nilikuwa nafuata mikumbo tu bila kujali maana.
Karibu uelezee unaoufahamu
Chawa
Mataga
Tumbua
Shangazi
Shemasi
Kukatwa mkia
Beberu
Wanyonge
Bashite
...