awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kipimo cha maendeleo Tanzania kianzie awamu ya Nne?

    "Unapozungumzia maendeleo ya nchi iliyopita kwenye mabadiliko makubwa ya kimfumo kama Tanzania, ni rahisi kuanguka kwenye mtego wa kupima mafanikio kwa kutumia mstari mmoja ulionyooka tangu mwaka 1961. Hata hivyo, kiuhalisia, maendeleo hayaji kwenye ombwe. Ili kutoa hukumu ya haki na ya...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight

    Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight Serikali kupitia National Institute of Transport (NIT) imeanza rasmi kutoa mafunzo ya urubani tangu Julai 2025 baada ya chuo kukidhi vigezo vya Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) na kupokea ndege...
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baraza la Watalamu wa Radiografia (MPIRC) kuchelewesha leseni zetu

    "Kwa baraza la watalamu waalamu wa radiografia (MPIRC) tunaomba ufafanuzi juu ya ucheleweshaji wa utoaji wa leseni za awamu ya pili kwa mwaka huu wa 2026. Tulio wengi tumekamilisha taratibu zote za maombi na malipo kupitia mfumo wa HPRS (Tanzania Health Practitioner Registration System), lakini...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Moja ya kitu nimefurahia awamu hii ni Mama kuwakumbuka wastaafu

    Kiwango cha chini cha Pensheni kimeongezeka kutoka Tsh 100,000 hadi Tsh 250,000 kwa mwezi
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Yohana Msita: TASAF awamu ya nne iko njiani

    Mtakumbuka Serikali ya Tanzania kupitia TASAF III Shilingi bilioni 43.5 zilitolewa moja kwa moja kwa kaya maskini kama ruzuku na malipo ya walengwa. Faida Kuu za TASAF kwa Wananchi ni Kupunguza umasikini wa kipato Kaya maskini hupokea ruzuku ya fedha ili kukidhi mahitaji ya msingi kama...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanatukana ili kuhalalisha mikataba yao ya kufugwa, walimtukana sana Rais wa awamu ya 5 alipokufa wakahamia kwa Rais Samia

    'Ndio maana wao huwa wanahama tu na awamu. Awamu ya nne walikuwa wanatukana Rais wa awamu ya nne. Alikuwa hawajibu, anaendelea na kazi yake. Alivyomaliza tu, wakahama, wakahamia kwa Rais wa awamu ya tano. Bahati nzuri teknolojia inatunza: hakuna Rais katika rekodi ya nchi yetu aliyetukanwa kama...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita imevunja record ya kufuturisha inaonekana ni Sehemu ya ilani ya CCM

    Hello. Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha. Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama. Siyo samia siyo mwinyi na mawaziri kila mmoja anapambana kuonyesha ufundi wa kufuturisha.
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna mradi mpya bongo awamu hii ambao haujapewa jina la Samia?

    Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi. Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that... Kuna mradi mpya utaanzishwa usipiwe jina lake awamu hii? Vipi kuhusu Samia Airport?
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Chawa Philosopy: Serikali Awamu ya 6 inaweza kutoa tamko la kupiga marufuku kuwashangilia au kuwaenzi wastaafu wenye utumishi uliotukuka!

    Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii. Sitaingia katika sababu za kufikia hapo. Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda. Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Sita inanuka damu za Watoto wetu

    Salaam Wakuu, Yaani sasa ndo nimegundua kwamba, Mtu akipata madaraka kwa kumwaga damu, anakuwa ananuka damu hata aoge kwa jiki. Juzi Karikaoo wakati wa Uzinduzi wa Soko lililoungua, baada ya Wakina Samia kufika, soko zima likawa linanuka damu za watu. Watu wakawa wanatema mate chini.. Yaani...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Dkt. Mwigulu Nchemba akawa waziri mkuu kwa awamu tatu mfululizo kabla hajawa Rais wa JMT 2040-2050

    Hili liko wazi na kila mTanzania na mdau wa JF anashuhudia. Dr. Mwigulu kwa sasa ni waziri mkuu katika ngwe ya pili na ya mwisho ya uongozi madhubuti sana wa Dr. Samia Suluhu Hassan. Na pasinashaka yoyote, Dr. Mwigulu Nchemba, atakuwa waziri mkuu katika vipindi viwili katika ngwe za uongozi wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi yule mkuu wa wilaya Tabora aliyepewa ukuu wa wilaya na Magufuli kisha akatumbuliwa awamu ya sita alirudi kazini?

    Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza. Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani. Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani. Alikuwa rapa wa CCM! Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
  14. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu wajameni, yule Mbunge aliebinuka bungeni kwenye meza, alirudi bungeni awamu hii?

    Hata simkumbuki jina...ila nikiwa hapa kanisani leo katika kanisa takatifu la kimitume katoliki parokia ya uparokiani Askofu anazungumzia jambo , anasema kua unaweza kua mtu mzima ila akili huna.. Ndio nikakumbuka tukio la mbunge aliechaguliwa Sasa sijui alichaguliwa na wananchi ama aliwekwa...
  15. sanalii

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kwa afya ya Museveni hawezi kumaliza awamu hii ya Urais

    Anaonekana clearly hayuko fit, kifo anakijua Mungu ila kwa upate wa akili(mental fitness) hawezi kumudu kwa miaka miwili zaidi ijayo. Atapotea kwenye macho ya umma siku sio nyingi. I don't care much about Uganda politics, but since he and his insane son is number one supporters of killer Samia...
  16. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kila siku tunamsema Papa na Ukatoliki. Awamu hii tunatuma watu wakatubu kwake kweli?

    Asalam aleikhum wa rahma tulah wabalaqatuh! Kwa kweli nakosa la kusema. Nimeamini mfa maji heshi kutapata tapa. Imefikia tunatuma watu wakatubu na kupiga picha na Papa? Huyu huyu Papa ambaye miaka na miaka tunamtukana? Tena ni beberu hawa. Haya mabeberu yametuweka sehemu mbaya sana. Watu wa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hii video ya jamaa anatishia polisi,ni mkakati mpya wa destabilization ya serikali ya awamu hii!!?

    Vuta picha maiti za polisi wameuawa barabarani au kambini mwao ziki trend Kwa mitandao zikifuatiwa na matamko kama hayo ya black mask huko mtandaoni! Hali itakuaje Kwa viongozi wetu ambao wamekua wakiwatumia polisi kama shielding ya matamko na power walizobeba kimamlaka dhidi ya wananchi...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita Imeua au Inaminya Soko la Utalii Tanzania?

    Oya, huku mtaani hali ni tete kinoma! Hivi hawa wakubwa wanachukulia watu ni mazuzu au? Mlipiga kelele watu "wajiajiri," vijana tukajichanganya tukaingia kwenye mchaka wa kufungua makampuni ya utalii (tour companies). Tukaingia kichwa kichwa, tukauza hadi viwanja na kukopa mapesa ili tu tusake...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Masasi – Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi tangu Awamu ya 5

    Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5 kutokana na suala la vigezo vya elimu. Tumefanya jitihada kuwasiliana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya WhatsApp lakini hajajibu badala yake amedai...
  20. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Hii awamu inatafuta mkunaji

    Sijajua kama ni awamu ya sita au saba, ila nachojua ipo kama jike la hayawani lililopo kwenye joto. Inatafuta mkunaji ila haiko tayari kukunwa. Bado haijapata beberu sahihi kufanya hiyo kazi, maana mabeberu wanaojitoa wanapata changamoto isiyo kawaida. Nahisi yupo beberu mmoja anatafutwa...
Back
Top Bottom