atakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjusi Sharobalo

    Huyu mzee atakuwa na miaka mingapi hivi sasa?

    Mwamba hazeeki kabisa!
  2. kimsboy

    Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

    Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Sifa kuu tano za Mtu Maskini au utakuwa Maskini

    SIFA KUU TANO ZA MTU MASKINI AU UTAKUWA MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Umaskini ni kama nguo. Yes ni Vazi ambalo mtu huamua kulivaa au pengine huweza kuvalishwa. Lakini asilimia kubwa ni vazi ambalo MTU huamua mwenyewe kulivaa. 2. Maskini ana sifa zake ambazo humtambulisha na...
  4. The Father of All

    Uchaguzi M7 'akishinda' kama wetu Uganda imepoteza ila Bobi Wine akishinda Uganda na hata M7 atakuwa ameshinda

    Naomba yaliyotokea Tanzania yasitokee Uganda vinginevyo ilazimike kuwa hivyo. Heri Bobi ashinde ndipo waganda wote washinde kuliko kushindishwa m7 ambaye umri umemuacha. Sijui kwanini watawala washenzi na waroho wa kiafrika wanapenda kufia madarakani.
  5. S

    Kibao kitapogeuka, Lissu atakuwa uraiani, huku mtesi wake akiwa The Hague Court

    Ni kama ambavyo yule alietaka kumtanguliza Lissu ahera, badala yake katangulia yeye huku Lissu akiwa bado yuko katika uso wa hii dunia. Tena si ajabu Lissu akaja kuwa Raisi wakati huo mtesi wake ameshahukumiwa kifungo cha maisha jela. Muda utasema.
  6. D

    PostGE2025 Safisha safisha Ngorongoro Awamu ya II: Makonda kupewa Maliasili na Utalii

    Mpango wa muda mrefu ni Makonda kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Kupelekwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na baadaye “kutengenezwa” kuwa Mbunge wa Arusha haikuwa bahati mbaya. Niwape tu taarifa Wamasai hasa wale mliokuwa mkifika kula nyama za Makonda kwenye matamasha yake: Inakuja...
  7. ESCORT 1

    Rekodi zinaonyesha Spika atakuwa mpya sio tena Dr. Tulia

    Tangu alipoingia hayati Samwel Sitta kushika Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila Spika alishika kwa term moja tu. Sitta 2005 - 2010 Makinda 2010-2015 Ndugai 2015-2021 Tulia 2021 - ?? Kwa rekodi hizo hapo juu, nikiwa natembea kifua mbele huku nikibubujikwa na machozi...
  8. The Father of All

    Hata kama watazima maandamano, je Samuya bado atakuwa na udhu wa kuongoza nchi yetu au aende kwao Zanzibar na kutuachia nchi yetu?

    Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
  9. Chizi Maarifa

    Mwamba Osama Bin Laden kwa sasa atakuwa anaishi wapi? Baada ya Marekani kutudanganya

    Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi? Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua...
  10. Lycaon pictus

    Huyu ticha atakuwa aliwazingua Wazaramo

    Nasoma soma historia ya Wazaramo. Nimekutana na hiki kisa. Basi baada ya Vita Kuu ya Pili Serikali iliongeza kujenga skuli za vijijini katika sehemu kadha za Uzaramo. Lakini sehemu nyingine migogoro ilitokea kati ya wazazi na walimu, kwa mfano Mwalimu Barnabas Mwinyiwaziri aliyekuwa...
  11. Common Folk

    1995 Mkapa alikuwa turufu, 2015 Magufuli akawa turufu, 2025 turufu atakuwa nani?

    Kimsingi toka kuanzishwa chaguzi za mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, CCM wamekuwa wakipitisha wagombea Urais kwa turufu za ubora wa wahusika. Mwaka 1995 walimpitisha Mkapa, ila sote tunajua Kikwete alikuwa anaongoza kura za maoni. Busara za Nyerere zikasikilizwa Mkapa akagombea. Hiyo ndiyo...
  12. Lord Denning

    Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

    Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika. Kwa maneno ya Humphrey...
  13. S

    Amin nawaambieni, ikiwa Samia ataendelea kuwa na Wanamtandao na akashinda Uraisi, raisi wa Tanzania ajae baada ya Samia atakuwa Rizi One

    Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazio la uongozi wa Tanzania yanatisha sana! Kuna vurugu kubwa sana na mikakati ya kila aina. Wengi wamesikia juu ya Wanamtandao, na ni wachache sana wanajua nguvu na uwezo wa kundi hili katika kuendesha hii nchi yetu. Kwa sasa hawa jamaa ndio wanaamua kila kitu...
  14. Sifi Leo

    Aliambiwa asicheze na sisi, atakuwa chokolaa! Akafungiwa mwishowe amekuwa choko, Mama yake apigwa na kiarusi,Arusini

    Hii ni stori ya kweli mwana jf, Binafsi nilikulia Namanga Makangira, ni karibu sana na makazi ya Makamu wa Rais, yaani.kwetu kama tungevamiwa na majambazi tukampiga kelele za Mwizi hakika Makamu wa Rais enzi hizo alikuwa Dr Omary Juma angetoka nje kutupa msaada. Sawa kwetu kulikuwa uswazi...
  15. DuaZaMama

    GE2025 Zitto Kabwe: Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais

    Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
  16. Chizi Maarifa

    Kwa Miaka yote ambayo SAMIA atakuwa Madarakani na Kikwete hai. Simba msahau Kuchukua Ubingwa wa Ligi

    Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga ua galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji. Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically amekuwa mpenzi mkubwa wa Team ya Yanga. Hapo sasa nani atatusumbua? Nani? Serikali ikiwa upande...
  17. Knock life

    Wakuu hivi kama moto upo yule jamaa atakuwa motoni au peponi ?

    Yule kwa tabia zake je atakuwa motoni au peponi ?.
  18. UMUGHAKA

    Msimu wa 2025/2026 Azam au Simba mmoja atakuwa Bingwa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kwanini Nasema Azam au Simba mmoja wapo atakuwa Bingwa Msimu huu? 1.Kocha Fadlu Davis amekuwa kocha wa Simba huu unaelekea msimu wa pili;mazingira ya ligi Kuu tayari keshayajua,tayari kesha tambua na kufahamu kikwazo Cha yeye kutochukua Ubingwa kilikuwa...
  19. McLaren

    Huyu sijui kaambiwa neno gani hadi ameshtuka hivyo

    Wakuu, Msidhani humu duniani mnaozungumza ni binadamu tu lakini hata wanyama wanazungumza kumbe Huyu sijui kaambiwa neno gani maskini hadi kashtuka hivyo
  20. GENTAMYCINE

    Huku Polepole atakuwa na Press Conference mara tena Askofu Gwajima nae atakuwa na Press Conference nyie endeleeni tu kutufanya Watanzania ni Fools

    Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo litateka Akili za Watanzania na kutotilia maanani Sakata la Lissu? Halafu nikiwaambia hamna Akili...
Back
Top Bottom