Jina la Askofu Simon Chiwanga (81) si geni masikioni mwa wengi, hasa waliokula chumvi kiasi.
Aliwahi kuwa mwalimu, mwanasiasa na mjumbe wa kamati kuu CCM, Mkurugenzi Shirika la Elimu la Kibaha na amemaliza utumishi akiwa Askofu wa Kanisa la Anglikana akiwa ndiye mwanzilishi wa Dayosisi ya...