Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, Alinikisa Cheyo ameonya wale wote wanaotumia mitandao ya kijamii kuandika mambo machafu na kutukana wengine kuwa wanahatarisha amani ya nchi.
Askofu Cheyo amesema hayo, Jumatano Desemba 25,2019 wakati akitoa salamu za Krismasi...