askofu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wito wa maombi: Mwili wa Kristo Tanzania tumwombee Askofu Gwajima

    Mwili wa Kristo uliopo Tanzania kesho katika umoja wetu tumwombee Askofu Gwajima. Tuombe Mungu ampe ujasiri na hekima ambayo hakuna atakayeweza kuhojiana nayo!! Roho Mtakatifu ahusike mwanzo mwisho!! Ikiwezekana baada ya mahojiano kitokee kitu kitakachowashikisha adabu toka kwa mzee wa siku...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anamuonea Waziri Gwajima kijinga

    Ziko dawa, chanjo, na njia za matibabu ambazo zimeachwa kutumia wakati hapo mwanzo zilipitishwa na kuruhusiwa kutumiwa. Mfano, watu wameacha kutumia dawa kali kutibu minyoo, indocid, chloroquine na SP kutibu malaria, kuacha kutumia spirit kusafisha eneo la kuchoma sindano, kunyoa nywele za...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

    Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa. Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge. Updates; Familia ya mzee Gwajima imemtaka waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima ambaye ni mke wa mtoto...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bunge halina mamlaka kumhoji Askofu Gwajima alichoongea na waumini wake

    Askofu Gwajima, Kwanza sikubaliani na wewe katika suala la kukataa chanjo ya Corona kwa kadiri unavyowahubiria waumini wako. Binafsi nimeshachanjwa na ninahimiza watanzania wote wachanje tofauti na unavyohubiri katika kanisa lako. Hivyo, dawa pekee ya mimi kukupinga ni kwenda kuchanja na hivyo...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

    Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima. Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii amri toka kwa Rais SSH. Chanzo: StarTV medani za siasa.
  6. James Martin

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni bora uwe mpole tu uendelee na mambo yako lakini ukitaka kushindana na shemeji yako utaumbuka

    Habari wana Jamìi Forum popote mlipo. Nilitaka tu kumpa ushauri wa bure Askofu Gwajima kwasababu naona huko anakoelekea atakuja kujuta. Nilianza kuona viashiria tangu wiki za nyuma baada ya watu mbalimbali kuanza kumuongelea Askofu kuhusu chanjo ya Uviko. Sasa nasikia waziri wa afya, Dk...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ndiye Dkt. Andrew Wakefield na Gordon Stewart wetu katika kupinga chanjo

    Kwenye miaka ya 1998 dr Andrew Wakefield alianzisha kampeni ya kupinga chanjo kwa kusema uogo kuwa inaleta ugonjwa wa usubi. Hii ilikuwa inafatia madai ya namna hiyohiyo yaliyotolewa na dr Gordon Stewart 1970. Askofu Gwajima naye naona kama anapita njia hizo hizo na vitisho kuwa chanjo ya...
  8. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuondolee Waziri Gwajima na Msaidizi wake Dkt. Mollel, wana utoto mwingi na wanatusumbua hivi sasa

    Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile? Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka. Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

    Waziri wa Afya, Dkt Gwajima leo ameelezea suala askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kupinga chanjo ya Covid-19 na kudai pamoja na ushemeji walionao haungani na itikadi zake. Pia ameshangaa wanaomuamini akitolea mfano wa Askofu kudai atamfufua Amina Chifupa kitu ambacho...
  10. mshale21

    JamiiForums Tanzania Drama ya Dkt. Gwajima dhidi ya Pst. Gwajima ni mkakati wa CCM kunyamazisha sakata la Mbowe na katiba Mpya

    Habarini wanabodi JF! Nikionacho Mimi, Hii drama ya mtu na shemeji yake Ni mbinu ya CCM kuwapoteza CHADEMA na wafuasi wake kuhusu sakata la Mbowe na Katiba Mpya! Ikumbukwe kuwa baada tu ya kushikiliwa kwa M/kiti wa CHADEMA. Mh. Mbowe, ndoto ya sakata la Katiba Mpya ikafia hapo, nguvu zote...
  11. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Napinga Askofu Gwajima kukamatwa

    Askofu Gwajima should not be arrested and here is why: His anti- COVID-19 vaccine stance is stupid. Stupid people are entitled to their stupid ideas and opinions. They have the right to be stupid and to be wrong. Stupidity can’t be legislated. It can’t be fixed. He and his stupid flock...
  12. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

    IGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake. Pia ameongeza kuwa hayo maelekezo ameyaona kwenye mitandao ya kijamii hivyo anasubiri barua rasmi ili waangalie jinsi ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

    Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20. OCD asubuhi ya leo...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anavyoongea na waumini wake ni kama muhuni wa kijiweni anayepiga stori za kijinga

    Nashangaa sana kuona wale wanaoitwa waumini wa Gwajima wakijiinua inua kutoka vitini huku wanaitika Haleluya pale mchungaji wao bwana Gwajima anapowapigisha stori za kijinga na kuwapotezea muda wao. Gwajima anaongea mambo ya uongo, yasiyo na ushahidi na mbaya zaidi anayapeleka madhabahuni na...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Tumjibu Askofu Gwajima Kisayansi na si Kisiasa, tuache kumshambulia na kumtishia. No research no right to speak

    Kwanza kabisa tuache kutishiana kuhusu covid 19 japo kama una kinga dhaifu au kama una other risk factors ya kuambukizwa na kufa kwa ugonjwa wa uviko 19 jaribu kukaa mbali na watu ambao unahisi wanaweza kukuambukiza covid 19 au kama una hiari ya kupata chanjo ya covid 19 nenda ukachanjwe . Risk...
  16. BAK

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia sauti ya Askofu Ikongo

    RAIS SAMIA SIKIA SAUTI YA ASKOFU! Kuna Waraka unasambaa katika mitandao ya kijamii unaosadikiwa kuandikwa na Bishop Ikongo. Waraka huo unadai kuwa Waraka wa Wizara wenye kichwa: "Mabadiliko ya Hadhi ya Vyeti vya Usajili wa Taasisi za Kidini" sio maelekezo ya Serikali ya CCM bali ni wa Msajili...
  17. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Msidanganyike pateni chanjo

    Msikilize hapo chini...! Huyu ni mmojawapo wa maaskofu ambao analitendea vyema hilo jina ASKOFU.
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza katiba mpya na Ben Rabiu Saanane

    Askofu Bagonza ametweet kwakusema Kama unachefuliwa na wanaodai katiba mpya watakapokuja watakaomdai Ben Rabiu Saanane si ndio utatapika? Nini maoni yako.
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Kuondoa utaratibu wa Usajili wa Kudumu kwa Taasisi za Kidini ili ziombe upya kila baada ya miaka mitano ni kuzichimbia kaburi

    Askofu Mwamakula ameandika katika Ukurasa wa Twitter kwamba, kuondoa utaratibu wa usajili wa kudumu kwa Taasisi za Kidini ili ziombe upya kila baada ya miaka mitano ni kuzichimbia kaburi
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara amshukia Askofu Gwajima, amtaka aache siasa kwenye mambo ya afya za wananchi au ajivue ubunge kama hakubaliani na serikali

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Back
Top Bottom