askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Hayo makanisa 2,000 na waumini milioni 4 wa Gwajima wako wapi?

    https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?si=GDIRDB1V7Sl-7kpn Kwenye hotuba yake ya youtube ya leo anadai Serikali imefunga makanisa 2,000 ya Ufufuo na Uzima, na wafuasi wake milioni 4 hawana mahali pa kusali. Kwa mujibu wa majibu ya AI CHATGPT, wafuasi wa madhehebu ya Pentecostal ni kama...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA

    Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kuhusu utekaji simuogopi mtu, hata wafunge kanisa miaka 100

    Askofu Gwajima amesema kuhusu suala la utekaji hamuogopi mtu hata kama kanisa litafungw akwa miaka 100. Ameyasema hayo wakati kizungumza na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025. Amemalizia kwa kusema haina maana kuwa CCM ndiyo watekaji. "Nimeshauri yote haya kwa namna nzuri kanisa likafungwa...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Rais Sio mzalendo namba moja nchini, Mwanajeshi ndio mzalendo namba moja

    Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi. Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Mimi Sihami CCM, tunabanana humu humu mpaka paeleweke

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, akizungumza leo Julai 16, 2025 jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari, amesema, "Nataka nisisitize kwamba mimi bado ni Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi na nitaendelea kuwepo" "Mara nyingi Watu wasiopenda mema, ukizungumza tu jambo...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huku Polepole atakuwa na Press Conference mara tena Askofu Gwajima nae atakuwa na Press Conference nyie endeleeni tu kutufanya Watanzania ni Fools

    Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo litateka Akili za Watanzania na kutotilia maanani Sakata la Lissu? Halafu nikiwaambia hamna Akili...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa instagram Askofu Gwajima ameandika kuzungumza na vyombo vya habari leo Julai 16, 2025 saa saba mchana Je leo atatoa povu gani kwa umma? https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE? si=gFkBJUPxNlpuD-gR Ni muhimu sana wakuu wa vyombo vya dola wawe na...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Jesca Msambatavangu: Askofu Gwajima kuna mambo alipitiliza kwenye matamko yake

    Mbunge wa Iringa Mjini, 2020 - 2025, Jesca Msambatavangu akipangua maswali ya Charles_william kupitia One on One ya Wasafi TV. Amesema "Wakati fulani uangalie maoni unyaotoa wewe ni nani na una influence kwenye jamii. Na kingine kuna mambo yako sensitive ndo maamna kuna vitu vingine vyombo vya...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Askofu Gwajima waendelea na maombi kwenye Kanisa la KKAM Ubungo licha ya Ulinzi mkali wa Polisi

    Baadhi ya waumini wa Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM), lililopo eneo la Ubungo Kibo jijini Dar es Salaam, leo wameendelea na ibada zao kama kawaida licha ya kuwepo kwa ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi katika maeneo ya jirani na kanisa hilo. Askari wa Jeshi la Polisi walionekana...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Askofu Gwajima chukua fomu ya kuwania Urais

    Salaam, Shalom! Huu ni ushauri wangu na maoni yangu binafsi. UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao. Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi. Ubunge si level yako tena. Nawasilisha 🙏
  11. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima amechapisha ujumbe Instagram asema 'Kawe tusiunge mkono wasaliti'

    Wakuu wa JamiiCheck huku kimewaka tunaomba uhalisia wa taarifa hii.
  12. mshale21

    JamiiForums Tanzania Anayemwelewa Askofu Gwajima ni waumini wake tu ama? Kwa anayemwelewa atutoe upofuni

    Yaani kanisa lake limegalagazwa na serikali ya CCM , waamini wake wanapigwa wakati wa ibada, wanapigwa mabomu ya machozi, wanaumizwa vibaya na dola inayoagizwa na serikali ya chama chake huku wakinyimwa Pf3 kwenda kwenye matibabu , Bado jamaa anaenda kidete mstari wa mbele kuchukua fomu ya...
  13. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Askofu Gwajima amechukua fomu ya ubunge jimbo la Kawe Juni, 2025

  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya chukueni hii mapema kwani ni ya uhakika 100% kuwa Halima Mdee Kumrithi Askofu Gwajima Kawe kupitia CCM

    Dotto kahamia CCM na anaenda kushinda Bunda na Kulwa nae atahamia CCM soon tu na kuchukua na kushinda Kawe.
  15. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Tazama video hii polisi wakimpiga virungu muumini wa kanisa la Askofu Gwajima

    Askari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro. Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Muumini wa kanisa la Askofu Gwajima awaombea polisi, asema 'nawafuta kazi'

    Waumini wa Kanisa la ufufo na uzima waonekana wakivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro. Inaelezwa Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka kutawanyika.
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Video: Hali ilivyo kanisani kwa Askofu Gwajima licha ya kanisa kufungwa

    Waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima(Glory Of Christ Tanzania Church) wameonekana kuendelea kuwa na ari kubwa ya kuimba na kufanya maombi huku wakitaja jina la "Yesu" na wengine wakifanya maombi hata baada ya kukamatwa na kuwekwa kwenye magari ya Jeshi la Polisi. Waumini hao wamekamatwa baada...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mgogoro kati ya serikali na kanisa la GCTC chini ya Askofu Gwajima: Polisi wazuia waumini kuabudu, wawapiga mabomu na kuwajeruhi wengi leo

    https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa... Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima Tanzania nzima zisitumiwe na wenye Mali kwa kuwa eti "jina la kanisa" lililosajiliwa serikalini...
  19. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Gwajima kuwaacha wanakondoo wako wakipigwa na Polisi na huku unajua fika kanisa lako limefutwa ni usaliti kwao

    Friends and Our Enemies, Gwajima alishazoea kuichezea serikali zama na zama ndani ya nchi hii. Tabia yake ya kugeuza madhabahu yake kama vijiwe vya siasa na kubishana na mamlaka iliota sugu na kumfanya ajione kuwa yeye ni UNTOUCHABLE. Hapa karibuni kanisa hilo limefutwa kwa kukiuka taratibu za...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa la Gwajima

    Wakuu, Kwenye heka heka na Polisi leo, muumini wa Kanisa la Gwajima ameonekana akiwa ameumizwa maeneo ya kichwani baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Polisi. Yaani damu zinatirirka kama maji waku Kama mnamsikia hapo kuna muumini anasema "Samia utalipa damu hii. Mama Samia popote ulipo, damu...
Back
Top Bottom