Askofu Gwajima amesema yeye amedhamiria kusimama na wananchi. Mimi ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi aliyechagua kusimama pamoja na wananchi ambaye mimi ni mjumbe wa Halamashauri ya CCM ninayekataa utekaji, uonevu wala ufisadi ni medhamiria kusimama na wananchi. Amesema Gwajima
"Nilipoongea nanyi tarehe 24|5|2025 nilipoanza hoja ya utekaji umezidi katika nchi nilitoa takwimu iliyotoka TLS-Tanzania law society ya watu waliokuwa wametekwa au kupotea, wengine kupatikana na wengine kuokotwa wakiwa wamekufa na sasa ni almsot miezi mitano baadaye utekaji umeendelea umekuwa...
Usipowasikiliza wananchi leo wakati ukifika hautopata nafasi ya kuwasikiliza, lakini pia usipowasikiliza wananchi leo unaweza kupoteza nafasi kabisa ya kuwasikiliza kipindi utakacho wahitaji wakusikie nimuhimu sana kusikia kilio cha wananchi.
Aidha Matokeo ya kutosikiliza kelele za wananchi...
Askofu Gwajima amesema hakubaliani kabisa na utekaji. Ameongeza kuwa watekaji sasa hivi waa ujasiri wa kukupigia simu na kusema watakuteka, na watu watakusahau.
Kuna watu wamekimbia nchi kwa kuogopa kutekwa.
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Askofu Gwajima amesema anaendelea kuukata utekaji lakini pia kauli zinazotolewa na mamlaka ni kauli nyepesi sana ukilinganisha na uzito wa uhai wa mtu.
Aidha amesema kwamba alivyojamaza kusema kwa kipindi cha miezi 5 alijuwa yataisha lakini ndio matukio ya utekaji yanaendelea kwa kasi sana...
Askofu Josephat Gwajima, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), anatarajiwa kuzungumza leo saa 2:00 usiku. Ameahidi kutoa kauli muhimu kwa taifa na kwa viongozi wake. Gwajima, ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu, sasa anatarajiwa kueleza jambo zito Watanzania wanasubiri kwa hamu...
Siku ulipoanza kusimama katika majukwaa ya kisiasa ndipo nilipopata shida moyoni kuhusu mahusiano yako na Mungu. Siasa na imani za dini ni sawa na mafuta na maji. Dini lengo lake kuu ni kuwaelekeza watu kufika mwisho mwema baada ya maisha ya hapa duniani.
Unachokifanya kwa sasa unaendelea...
Askofu Gwajima amerudi tena kwenye midomo ya wanaharakati baada ya kushindwa kutimiza ahadi yake ya “makombora mazito”.
Aliahidi wazi kuwa kama makanisa yake yangesalia kufungwa ndani ya siku 10 mbele, angeibomoa kwa maneno makali!!
Siku 10 zimepita, makanisa bado yamefungwa, na badala ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Askofu Gwajima jana usiku alikuja na anachokiita hotuba yake, baada ya kupita siku kumi alizopiga mkwara mbuzi wa kusema eti makanisa yake yafunguliwe haraka sana. Na kwamba yasipofunguliwa atakuja kuongea jambo zito sana.
Sasa jana, baada ya makanisa yake kuendelea...
Mzee Butiku akihojiwa na Fakhia Middle huko Butiama kwenye kipindi cha kipima joto mwanzoni mwa mwezi huu, pamoja na kukiri na kukubali kuwa
1. Hakuna haki,
2. Uteuzi wa mgombea wa CCM ulikiuka katiba ya CCM
3. Polepole alimfuata kuongea nae
4. Watu kutekwa na kuuawa kisa siasa
5. Chadema...
Akizungumza leo Agosti 25,2025 kwa njia ya mtandao mbunge wa zamani wa Kawe Askofu Josephat Gwajima Amesema, Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida.
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
"Ni muhimu vyombo vya dola kwa maana ya Jeshi la wananchi, usalama wa taifa, jeshi la uhamiaji, polisi, jeshi la magereza na mengine yote yanabidi yaweze kujitegemea, ambao awawezi kuondolewa na mwenyekiti wa chama au rais". -Amesema Askofu Gwajima
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji...
"Ikiwa mbunge mstaafu, mwenezi wa CCM na alikuwa Balazi Cuba Polepole Kama aliyoyasema ni ya kweli basi na mpongeza kwa ujasiri kwa sababu ili haki itawale lazima ianzie ndani ya chama chetu"- Amesema Askofu Gwajima
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi...
"Unapomuona mtu awasikilizi wananchi, awanyenyeki ina maana uongozi wake autokani na wananchi uongozi wake unatokana na kitu kingine etha wananchi walie, walalamike huyu kiongozi". - Amesema Askofu Gwajima
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Wakuu,
Kuanzia saa 3 na dakika 20 Gwajima ataongea na taifa.
Stay tuned
https://youtu.be/dcipi2DSzw4
Updates....
Unapomuona mtu awasikilizi wananchi, awanyenyeki ina maana uongozi wake autokani na wananchi uongozi wake unatokana na kitu kingine etha wananchi walie, walalamike huyu kiongozi...
Jamaa aliaga akisema msipofungua kanisa la ufufuo na uzima baada ya siku kumi nitarudi tena, sasa hivi nikirudi jambo nitakaloliongea litachafua hali ya hewa.
Na mpaka sasa hivi hakuna tamko lolote kutoka kwa ofisi ya msajili wa taasisi za kidini, unavyowaza jamaa atakuja na comeback gani kama...
Akizungumza na kituo cha Clouds Redio, leo Agosti 21, 2025 Rais wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania TAHLISO Geofrey Kiliba amesema anayofanya Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni pamoja na kuzua taharuki vinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa Dini, na alipoulizwa kuhusu kama ana kubaliana na...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtiania wa ubunge Jimbo la Ukonga, Rajabu Nyangasa, amesema kuwa matendo ya Askofu Josephat Gwajima yanafanana na yale ya kiongozi wa waasi wa Uganda, Joseph Kony, aliyesababisha madhila makubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
Akizungumza kuhusu...
Unajua kuwa kauli yako ni sawa na kuitisha Serikali iliyopo madarakani na yaweza hesabiwa kuwa ni Uhaini? Ukweli Nchi yetu imejaaliwa viongozi wenye hekima na huruma hilo ndilo jambo la kumshukuru Mungu. Kwa upendo mkubwa nakushauri utazame vizuri mahali uliposimama na uombe radhi mapema kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.