askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtazamo wangu juu ya alichoongea Mchungaji Hananja kuhusu Askofu Gwajima

    MTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA Katika historia ya mataifa mengi, viongozi wa dini wamekuwa mstari wa mbele katika kukemea maovu ya kijamii, kisiasa na kiutawala. Martin Luther King Jr. alipaza sauti dhidi ya ubaguzi wa rangi Marekani; Desmond Tutu alisimama dhidi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atoke hadharani aombe msamaha na kuapa kutorudia tena makosa yake ili afunguliwe Kanisa lake

    Ndugu zangu Watanzania, Namshauri sana Askofu Gwajima atoke hadharani aombe msamaha kwa yale yote aliyoyafanya. Amuombe msamaha Rais wetu Mpendwa ambaye Ni Mama mwenye huruma na Upendo , Ni Mama mwenye Kujali watu wake na msikivu. Mama yetu Mpendwa na kipenzi chetu watanzania amesamehe wengi...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Video: Leo Askofu Gwajima kafanya Ibada mbele ya Polisi na Mbele ya kanisa lake wala hakuna aliyemgundua

    Leo Askofu Gwajima kaenda Kanisani kwake na Vijana wake kufanya Ibada. Polisi walikuwepo lakini hakuna aliye mgundua kama ni Gwajima. Nipende Jinsi Gwajima anavyo Jiamini. Wala hawaogopi Polisi. Tangu awatoroke pale Kanisani. Nikamvulia kofia. Umeme ulizimwa akasepa. Leo kapiga maombi akasepa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa la Gwajima wafanya maombi na Ibada nje ya Kanisa hilo Ubungo

    Baadhi Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam ambalo limefungiwa na Serikali, wamejitokeza eneo la pembezo na Kanisa hilo wakiimba nyimbo mbalimbali za Dini. Hata hivyo, wakati hayo yakiendelea Kanisa hilo limefungwa na limezungukwa na Askari Polisi waliovalia sare...
  5. Chilemba wamela pamputi

    JamiiForums Tanzania Sheikh Khalifa Khamis: Nasimama asilimia 100 na Askofu Gwajima kupinga utekaji

    Kama kichwa kinavyo someka, kadiri siku zinavyo zaidi kusonga mbele ndivyo matamko mbalimbali yanatolewa na viongozi au watu wa kada mbalimbali , msikilize huyu sheikh alafu tuachie maone yako . Mimi namunga mkono Askofu Gwajima na wale wote wanaopinga matendo yote maovu. Nakuomba Rais Samia...
  6. Keynez

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kusanyikeni mdai haki yenu ya kuabudu

    Kulifunga kanisa la Ufufuo na Uzima na kunyima maelfu ya waumini wa Kanisa hilo uhuru wa kikatiba wa kuabudu siyo jambo dogo linalotakiwa kuchukuliwa kwa wepesi. Ningeshauri Waumini wa kanisa hili na Watanzania wengine wote wa imani zote na madhehebu yote wanaoamini katika utawala wa sheria na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ujasusi katika jicho la roho. Nashauri tu achaneni na Askofu Gwajima

    Naandika katika roho na mwenye macho ya kijasusi katika roho ashauri kiti kikae mbali na huyu anaitwa Askofu Gwajima.. Huyu ana secret code ukimuuwa au kumfanya chochote code nyingine inakuwa activated.. Ana siri hafai kuguswa wala kuuwawa niushauri ila mnaweza endelea Zambia toka wamuweke...
  8. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Special Thread Kumbukizi: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa

    Wakuu mpo vizuri? Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata kama baadhi au wengi wetu yuliona ni za kipuuzi. Tutumie uzi huu kutupia kauli hizo, tukiwa na...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Askafu Gwajima bado limezungukwa na Askari Polisi hadi leo Juni 6, 2025

    Askari waliovalia sare za Polisi bado wameendelea kulizingira Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni baada ya taarifa ya kufungiwa kwa kanisa hilo. Ikiwa leo ni Juni 6, 2025 ni siku ya nne mfululizo tokea ilipotolewa taarifa ya kufungiwa, askari wameendelea...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 James Mbatia: Suala la Askofu Gwajima hekima itumike, linaanza kuibua hasira zaidi na linavuka mpaka

    Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku akidai suala la Askofu Josephat Gwajima linapaswa kushughulikiwa kwa hekima ili kupata ufumbuzi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

    Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima. Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu...
  12. 888I

    JamiiForums Tanzania Nasubiri Tarehe 8 Kwa Shauku... Je, Gwajima Atasema Nini?

    Napenda kusema kwa sauti ya ndani: Ninasubiri kwa hamu siku baada ya tarehe 8 Juni. Kwa ajili ya kumalizika kwa mfungo wa maombi ya siku 7 yaliyoitishwa na Askofu Josephat Gwajima. Siku ya kwanza ya mfungo huo (tarehe 2 Juni), usiku, ilisikika video yake akisema: Tangu hapo: Hakujulikana tena...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu kwa mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima

    Mwaka 2014. Ulikuwa mwaka WA kumaliza chuo kikuu Moshi... Nilianza first year Na GPA 3.8 kufika mwaka WA pili ilishuka had 2.9. Na kuanzia kulemewa Na masomo Na kuchukiwa Na ma lecture KWENYE kila course pale chuo. .. Kufika mwaka WA Tatu wenzangu wanapoenda nyumban Nina sup ya masomo ma NNE...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima unapaswa kupambanua kuwa kauli ya Rais Samia kuhusu "Dini za Kishetani" haihusu kanisa lako

    Ni wazi kuwa watu wamebaki kuwazawaza kuhusu maneno ya Rais Samia alipowapongeza KKKT kwa kazi nzuri huku akisema "sio kama yule na dini za kishetani". Watu wanaweza kufikiri alikuwa anamzungumzia Gwajima na Kanisa lake. Sasa ni vyema askofu Gwajima akajibu hili na kuondoa dhana hii kuhusu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Za ndani toka kwa watu walio mafichoni na Askofu Gwajima zinasema ameshajirekodi clips kuelezea watekaji na walio nyuma yao

    Habari zilizonifikia zinasema Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima huko mafichoni aliko na wapambe wake ameshajirekodi video zinazoelezea matukio mazima ya utekeji Lengo la Gwajima ili akitoka mafichoni akikamatwa na Polisi na kuwekwa mahabusu video hizo zirushwe mitandaoni ili...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Askofu Gwajima yupo mafichoni, mteja wangu hajakamatwa

    Kanisa hilo mpaka sasa limezungushiwa utepe wa njano wenye maandishi meusi, likiwa chini ya ulinzi wa polisi na hakuna muumini anayeruhusiwa kusogea, tangu alfajiri ya kuamkia Juni 3, 2025. Juni 2, 2025, Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo kutokana na...
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mfuasi wa Kanisa la Askofu Gwajima kindaki ndaki

    Ngongo ni mfuasi na muasisi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Baada ya dhehebu letu takatifu kufutwa na kuzuiliwa kushiriki katika ardhi ya Tanganyika sasa nimelazimika kuanza kuswali Ijumaa 🕌. Ustadhi Ngongo.
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Gwajima na anaogopa nini wakati anachofanya si kosa?

    Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo? Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka...
  19. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kuna Ukombozi wa Nchi Unakuja Kupitia Askofu Gwajima

    When the solution is simple , God is answering.- Albert Einstein! Gwajima had a very simple touch …… like a butterfly: everything fall apart ! Haya mambo yanahitaji watu wenye AKILI nyingi sana kuyahandle, sio akili za elimu ya kudonoa donoa kama kuku wa kienyeji kisha ukafika juu;- Ku...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Sioni kosa la Askofu Gwajima kukemea matukio ya utekaji nchini, hiyo ndio injili safi

    Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika TLS Wakili Boniface Mwabukusi amesema waliofunga kanisa la Ufufuo na Uzima ndio wanahusika na utekaji. Soma > Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima Amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari Juni 04, 2025 ofisini kwake jijini...
Back
Top Bottom