askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kimbesa11

    GE2025 Nawashangaa CHADEMA wanamshabikia Askofu Gwajima leo, ina maana wanasahau mapema kiasi hiki?

    Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha. Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa mtu mwema hiyo msahau hiyo ni kujidanganya ndugu zangu. Nimeandika uzi huu kwasabu nimeona nyie...
  2. Z

    GE2025 Naona maneno ya askofu Gwajima kama vile anaendelea kueneze uchochea na kueneza chuki za kidini, achunguzwe

    Hakuna aliye juu ya sheria, lakini pia kamwe asivumilowe mtu yeyote yule ambaye anajaribu au atajaribu kutugawa kwa misingi ya kidini au kueneza chuki za kidini. Huyu ndugu Gwajima ni wazi matamko yake yanatuhamasisha eti sisi wakristu tumchukie Rais dkt Samia. Tunasema hali hatulikubali na...
  3. R

    Askofu Gwajima: Mungu ana jambo lake juu ya nchi ya Tanzania, na lazima litimie

    Salaam, Shalom! Ameanza kwa kusema kuwa SI Kila nchi ni sawa na ingine, Kenya SI Uganda na Uganda SI Tanzania. Israel ni nchi kama tu zingine, lakini ni nchi special, nchi takatifu sababu Bethlehemu ya Uyahudi, alizaliwa Yesu. Kadhalika Vatikani, Rome Italy, Au Saudi Arabia, ni nchi zenye...
  4. Egnecious

    Askofu Gwajima na siasa za ukabila, unafiki, uzandiki na jitihada za kuligawa taifa kwa mwamvuli wa dini

    🚨𝐆𝐰𝐚𝐣𝐢𝐦𝐚 𝐧𝐚 𝐬𝐢𝐚𝐬𝐚 𝐳𝐚 𝐔𝐤𝐚𝐛𝐢𝐥𝐚, 𝐔𝐧𝐚𝐟𝐢𝐤𝐢, 𝐔𝐳𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐢 𝐧𝐚 𝐉𝐢𝐭𝐢𝐡𝐚𝐝𝐚 𝐳𝐚 𝐊𝐮𝐥𝐢𝐠𝐚𝐰𝐚 𝐓𝐚𝐢𝐟𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐌𝐰𝐚𝐦𝐯𝐮𝐥𝐢 𝐰𝐚 𝐃𝐢𝐧𝐢. 👉Hivi punde, Kupita ukurasa wake katika mtandao ya YouTube, Mchungaji Josephat Gwajima, kama ilivyo ada yake, amezungumza tena na umma wa Watanzania, hotuba ambayo kwangu binafsi, haileti mwanga...
  5. Kimbesa11

    Upinzani wa Tanzania bila press ya Polepole, Mpina na Askofu Gwajima hawana chakuongea wanabaki wanaangaliana tu

    Upinzani hawana hoja siyo wabunifu, wanatafutiza tafutiza tu hoja. Gwajima anawatapeli wanachekelea tu hebu kuweni na akili, you have to be innovative jifunzeni kujitegemea jengeni hoja Kama mnazo lakini kwa serikali hii ya awamu ya 6 hakuna hoja kwasababu kila kundi limetatuliwa changamoto...
  6. W

    PreGE2025 POTOSHI Kwenye hotuba ya Agosti 15, 2025 Askofu Gwajima amewataka watanzania kudumisha amani na umoja kipindi cha uchaguzi

    Wakuu nimekutana na hii Grafiki lakini kwa trending ya huyu bwana sina hakika kama alitamka haya maneno.
  7. L

    GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana. Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au...
  8. R

    GE2025 Nilivyomwelewa Askofu Gwajima hotuba yake ya jana Agosti 15, 2025

    1. Nimezunguka majimbo karibu yote Tanganyika naangalia umati uliokuwa nyuma yangu. Watawapigia kura CCM? / watakwenda kupiga kura 2. Wafuasi wa madhehebu mbali mbali watawapigia kura CCM? watakwenda kupiga kura? 3. Wapenda haki watawapigia kura CCM?/ watakwenda kupiga kura? 4. Mwachieni Lisu 5...
  9. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Gwajima amkosoa Polepole vikali, amuita mnafiki

  10. H

    GE2025 Askofu Gwajima Aonya na Kutoa Ushauri, Kufanyike Nini Haraka Kabla Ya Uchaguzi

    USHAURI Gwajima amesema kuwa ameshauri mara nyingi, na anashauri tena. Askofu Gwajima amesema kwamba nchi imegawanyika sana, na mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubali kwenda kwenye uchaguzi nchi ikiwa kama hivi ilivyo. Akisistiza umuhimu wa watawala kusikiliza ushauri wa wananchi...
  11. GENTAMYCINE

    GE2025 Askofu Gwajima sisi Wakatoliki wala hatujakutuma Utuongelee na Utujumuishe katika Matatizo yako ya Serikali, Rais Samia na CCM

    Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini. Baada ya kuona huungwi mkono na Makanisa kwa kujifanya una Akili (wakati huna) ukatafuta Kanisa lililo na Ushawishi na Kubwa la...
  12. R

    GE2025 Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?

    Salaam! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec, Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa...
  13. R

    GE2025 Askofu Gwajima: Ikiwa unapingwa na wanaCCM, waakristo, familia za waliotekwa, waliokatwa, wafuasi wa Lissu, utashindaje uchaguzi?

    Salaam! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Swali Hilo hapo juu limeambatana na swali lingine kuwa, ikiwa unazo njia zingine za kushinda uchaguzi bila hayo makundi,( wizi wa kura), Je utatawala vipi nchi ambayo imegawanyika? Kwa ufupi...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Askofu Gwajima: Serikali kutumia mamlaka ya DPP kifungu namba 91 iangalie namna ya kumuachilia Lissu

    "Serikali kutumia mamlaka ya DPP kifungu namba 91 sheria ya mwenendo wa wa makosa ya jinai iangalie namba ya kumuachilia Lissu kwaajili ya kustablaizi nchi na wananchi, na usifikiri Lissu anaihusu CHADEMA hata mimi ananihusu "Askofu Gwajima.
  15. M

    Askofu Gwajima: Kumshambulia Katibu wa Baraza la Maaskofu ni kuwashambulia Wakristo wote

    Maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao Katibu wa Baraza la Maaskofu na waumini wao, wataipa CCM kura? Kanisa Katoliki ndo Baba Mlezi wa Imani zote za Kikristo. Si moja kwa moja, ila by implication! Kwa kifupi, Wakristo madhehebu mengi yametoka Kanisa Katoliki. Sisi Wakristo ni familia moja Maaskofu...
  16. M

    GE2025 Askofu Gwajima: Tundu Lissu kuendelea kuwa gerezani haileti picha nzuri

    Askofu Gwajima amehoji: "Je kuna namna ya kutawala bila kupigiwa kura na watu?, Je, kuna naman aya kuignore hizi hoja zote? Tunategemea nini?, haileti picha nzuri wala afya kwa nchi na chama kwa mfano Tundu Lissu kuendelea kuwa gerezani" Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Askofu Gwajima: Naombeni ndani ya siku 10 fungueni Makanisa ya Ufufuo na Uzima, msipofungulia nitasema neno ambalo watu watastaajabu!

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima amesema ndani ya siku 10 serikali ifungue Makanisa ya Ufufuo na Uzima, lakini yasipofanyika hivyo atasema neno ambalo watu wote watastaajabu! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
  18. Waufukweni

    Askofu Gwajima: Wananchi kushangilia Kifo cha Ndugai ni dalili mbaya, nchi yetu haiko pazuri

    Askofu Gwajima "Nimeangalia kuhusu kifo cha Ndugai; kilichonishangaza ni kuona wananchi wanashangilia kifo chake. Nilidhani imetengenezwa, kumbe ilikuwa ya kweli. Ni dalili mbaya" Soma Pia: Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Askofu Gwajima: Ushindi wa CCM ni wa muhimu sana, lakini ustawi wa Tanzania na maslai ya wananchi wote ni la muhimu kuliko vyote

    Askofu Gwajima: Ushindi wa CCM ni wa muhimu sana, lakini ustawi wa Tanzania na maslai ya wananchi wote ni la muhimu sana kuliko vyote
  20. Waufukweni

    GE2025 Askofu Gwajima: Kiwango cha kupendwa kwa CCM kiko chini kuliko wakati wowote katika Historia ya Tanzania

    Askofu Gwajima amesema, "Kiwango cha kupendwa kwa Wagombea wa CCM kiko chini" Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Back
Top Bottom