askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Kiwango cha kupendwa kwa CCM kiko chini kuliko wakati wowote katika Historia ya Tanzania

    Askofu Gwajima amesema, "Kiwango cha kupendwa kwa Wagombea wa CCM kiko chini" Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Chawa Silaha yao ni kujipendekeza, mwenye uwezo anabebwa na uwezo wake

    Askofu Gwajima: Chawa silaha yao ni kujipendekeza, mwenye uwezo anabebwa na uwezo wake Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Kikwete wewe una sehemu kubwa kuifanya nchi iende vizuri au vibaya. Mungu akutumie kuweka nchi katika reli

    "Mrisho Jakaya Kikwete wewe unasehemu kubwa kuifanya nchi iende vizuri au vibaya, wewe ndiye Rais mstaafu ulibaki uliokuwa madarakani uliye hai kila unachokifanya kinatafasiri mwelekeo wa nchi, kwahiyo nakushauri sana Mungu akutumie kuweka nchi katika reli". - Amesema Askofu Gwajima Soma pia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Kama akili yako inakutuma kufunga kanisa, funga milele ila misimamo yangu haitabadilika

  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Wanaosema siipendi CCM, wao wamekifanyia chama nini zaidi ya kusema naipenda CCM? Mimi nimejenga ofisi 42 jimbo kwa pesa yangu

    Katika kipindi cha miaka 5 ndani ya Jimbo la Kawe nimejenga ofisi za chama 42 halafu mtu anasema siipendi CCM, ila mimi naipenda CCM sio awo wanaongea kwa maneno tu. Ndio maana sitaki kuiona CCM inapotea Askofu Gwajima
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: CCM tujiulize kwa familia za watu walitekwa, Lissu yupo gerezani, je tutapigiwa kura?

    Leo tarehe 15 Agosti 2025 saa 2:30 usiku, Dkt. Josephat Mathias Gwajima, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), atatoa ushauri wake kwa Taifa la Tanzania pamoja na viongozi wake. https://www.youtube.com/live/94t64efdNxY?si=RslQI2cPUgAZ5-74 Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

    Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu. Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama...
  8. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni? Mbona Polisi hawajaenda na mitutu kuwavamia waumini wa Askofu Gwajima, kwenye ukumbi wa Kanisa Katoliki?

    Sote tunajua, tuliambiwa kuwa waumini wa Askofu Gwajima wanaleta taharuki, kila jumapili walipokusanyika waliishia kupingwa virungu na mabomu ya machozi. Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, kanisa katoliki likawapa ukumbi wa kanisa lake, Cha kushangaza Leo hakuna askari yeyeto aliyepeleka pua pale...
  9. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima ameandika barua kuomba msamaha kwa Rais na Watanzania

  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Asema, DC Msando anafanya brainwashing. Hana lolote analoweza kufanya kufunguliwa kwa kanisa!!

    https://youtu.be/bcL6AEYmMXA?si=u4EQo7Wo1DtZr7c7 Kwa ufupi kabisa Askofu Gwajima anasema: 👉 DC Albert Msando anatuita twende ofisini kwake kufanya nini wakati aliyeandika barua ya kufunga kanisa ni Msajili wa vyama vya kiraia...? 👉Na je, Ina maana huyu DC Msando hajui kuwa kuna kesi mahakamani...
  11. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima & Polepole watajificha mpaka lini?

    Watoke hadharan wahojiwe nn kinawaficha? Kama wanahofia usalama wao mahabusu zipo salama kabisa. Wanapata hifadhi
  12. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe!

    1. Ndugu zangu yale maombi ya Baba Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima (PhD) yamejibu? 2. Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe! Lucas Mwashambwa Isanga family ChoiceVariable Tlaatlaah DR HAYA LAND
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wakili Msando suala la kuabudu lipo kwa mujibu wa Katiba unataka majadiliano ya nini na waumini wa Askofu Gwajima?

    Umefanya vyema umeuzilia ibada na watu wenye msimamo mkali juu ya Mungu wanaomwabudu Wewe kama wakili hujui kuwa ibara ya 19 ya katoba ya JMT imetoa uhuru wa kuabudu bila ya bugudha? Sasa unataka majadiliano gani na hawa waumini?
  14. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Amani Golugwa ajitokeza kusali na waumini wa kanisa la Askofu Gwajima

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Bara Amani Golugwa amefika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe kushiriki ibada ya jumapili na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Golugwa amepokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shekh Mwaipopo: Askofu Gwajima anaandaliwa na CHADEMA kugombea Urais uchaguzi mkuu 2025

    Shekh Mwaipopo anasema Askofu Gwajima ndio anaeandaliwa na CHADEMA kugombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu 2025 utakaofanyika Oktoba Gwajima huyu anaunga mkono No reforms No Election, lakini habari tulizo nazo Gwajima anaandaliwa kushika bendera ya CHADEMA agombee urais ili apambane na rais Samia...
  16. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Mbowe anakuwa Sub ya Askofu Gwajima CCM

    Wakati fulani nyuma niliandika humu kuwa siasa za mwaka huu zitakuwa kama za Kenya ambapo Rais ataungana na kiongozi mkuu wa upinzani kwenye jukwaa moja kama Uhuru na Odinga walivyoungana. Nilisema Mbowe ataungana na Mama Samia na kuunda timu moja ya Kampeni wakati Lissu ataungana na Sukuma...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katika mikutano yake na waandishi, Askofu Gwajima anatembea juu ya uzi mwembamba sana kuelekea tuhuma za kuchochea majeshi yaasi

    Kimsingi, Askofu Gwajima anachochea majeshi yafanye uasi, na yaache kutii viapo vyao. Nampa ushauri kwamba ajichunge sana na kauli zake, yeye ni mtu mmoja tu, hawezi kuteketeza maisha ya watu milioni sabini. Tuna mafunzo ya wachungaji na maaskofu wa Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari, nadhani...
  18. L

    JamiiForums Tanzania CCM imvue Uanachama na kumfukuza kabisa Chamani Askofu Gwajima haraka sana bila kuchelewa

    Ndugu zangu Watanzania, Lazima tukubali ukweli ya Kuwa Askofu Gwajima siyo mwana CCM na hajawahi kuwa mwana CCM kiuhalisia. Askofu Gwajima siyo Mwenzetu na hajawahi kuwa mwenzetu hata siku moja. Hajawahi kuwa na uchungu wala kuwa na maombi mema au mazuri kwa CCM. Askofu Gwajima na Humphrey...
  19. melick odas

    JamiiForums Tanzania Namna watu walivyoupokea ujumbe wa Askofu Gwajima leo

    Habari ya muda huu wakuu, bila shaka walio wengi wetu wamepata fursa ya kumsikiliza Gwajima katika press conference yake , kwa ufupi baadhi yetu tumepokea ujumbe huu namna hii... ~Wengine wanamuunga mkono wakiona anagusa mambo ya msingi kama usalama na mageuzi ndani ya CCM. ~Wengine wanamkosoa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Askofu Gwajima aomba radhi kwa viongozi wa Mamlaka zote husika na kuomba makanisa yafunguliwe

    Wakuu, Napata mkanganyiko hapa, naomba msaada nipate taarifa ya kweli kama Gwajima amesema haya maneno.
Back
Top Bottom