askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    Polisi yatumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Askofu Gwajima

    Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church waliokuwa wakisali pembeni ya barabara Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam
  2. Just Pray

    Polisi waimarisha ulinzi eneo la maombi ya waumini wa Askofu Gwajima

    Leo Juni 29, 2025 eneo ambalo waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory of Christ Tanzania Church wamekuwa wakitumia kwa maombi, liko chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumapili. Hali hiyo imejiri baada ya zuio la kufanya ibada katika majengo ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Gwajima amefikiwa, Maria Sebastian achukua fomu ya kumrithi Kawe

    Mwenyekiti wa Uchumi, Uwezeshaji na Fedha katika Kamati ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Maria Alphonce Sebastian, amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2025. Akizungumza na...
  4. Richard

    Wazanzibari kimyakimya wafanya maendeleo makubwa wa haraka huku akili za watanganyika zikielekezwa kwa Tundu Lissu, Askofu Gwajima na Luhaga Mpina

    Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja. Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
  5. R

    Sheikh adai: Askofu Gwajima na Lissu wanamkosea sana Mama. Lissu sio wakufanya hivi, Mama alikufanyia hisani ulikuwa Mkimbizi

    "Askofu Gwajima, haya anayoyafanya kumtukana Mama aliyemsaidia kumuweka pale si sahihi." "Tundu Lissu sio wakufanya hivi, Mama kamfanyia hisani, Tundu Lissu alikuwa Mkimbizi. Mama kafunga safari akaenda kumjulia hali, Mama kampigania maisha yake Bungeni akarejeshewa akamwambia rudi sio Mkimbizi...
  6. G Sam

    Askofu Gwajima aibukia kwa Padre Kitima kumjulia hali. Wapiga picha pamoja

    Leo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
  7. M

    Rais Samia ujue ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha

    Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari. Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi ya watoto kanda ya Pwani ni vitu viwili tofauti. Kanda ya ziwa baba ndiyo kiongozi wa familia na...
  8. Mikael Aweda

    PreGE2025 Kutokana na kauli za Rais Samia za hivi karibuni, Luhaga Mpina na Askofu Gwajima wanatakiwa wajiongeze

    Mama Samia ametoa kauli tena akiwa na Uso wenye hasira kwamba "Luhanga Mpina ni Mbunge wa Kitaifa na siyo Mbunge wa Kisesa" akaendelea na kusema "Anaruka ruka tu" baada ya kauli hiyo NAOMBA kuuliza Swali la Ufahamu. Je, Luhanga Mpina anaweza kujihesabu kama Mbunge wa CCM? Hiyo siyo kauli ya...
  9. Sozo_

    Suala la kanisa kufungiwa linaniumiza moyo wangu

    Wakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura. Kuhusu suala la kufungiwa kanisa la Askofu Gwajima, huku waumini wakisumbuliwa wasifanye ibada, wakikamatwakamatwa, na...
  10. Waufukweni

    Muumini wa Askofu Gwajima akifanya maombi ndani ya gari la Polisi

    Miongoni mwa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Kanisa la Gwajima) akifanya maombi ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa na kuwekwa humo ikidaiwa sababu ni kuandamana na kukataa kutekeleza amri ya Jeshi la Polisi iliyowataka kutawanyika na kuacha kuendelea kufanya ibada pembeni ya...
  11. Waufukweni

    Polisi yatumia mabomu kuwatawanya waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya waumini wa wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church). Waumini hao walikuwa wanaandamana kwenye njia ya Morogoro Road wakiwa na mabango yenye jumbe mbalimbali. Baadhi ya...
  12. R

    Waumini wa Askofu Gwajima wapiga maombi nje ya Kanisa – Ubungo wakati Polisi wakiwazuia kuingia Kanisani

    Baaada ya Gwajima kutangaza jana kuwepo ibada Jimbo kuu la Dar es Salaam eneo la Ubungo leo Juni 15, 2025 Tangazo hilo lilifuatwa kwa tukio la Polisi kuzingira Kanisa hilo na waumini kuonekana kufanya ibada mbali na Kanisa baada ya kuiwa na Polisi kufanya ibada ndani ya Kanisa === Wakati...
  13. Waufukweni

    Askofu Gwajima kuongoza Ibada ya Jumapili Juni 15, itafanyika Jimbo Kuu Dar Saa 4 Asubuhi

    Wakuu! Kesho Ibada ipo na itaongoza wa na Askofu Gwajima baada ya kutangaza ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwa atakuwepo kwenye Ibada ya Jimbo kuu la Dar es Salaam Jumapili Juni 15 na itaanza saa 4 Asubuhi Pia, Soma Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na...
  14. Waufukweni

    Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  15. Waufukweni

    Maaskofu na Wachungaji zaidi ya 1200 wa Kanisa la Askofu Gwajima watinga Mahakamani Dodoma

    Maaskofu na Wachungaji wanaohudumu kupitia Kanisa la Glory Of Christ Tanzania Church(Ufufuo na Uzima) 'kanisa la Gwajima' wakiingia na kukaa katika chumba cha mahakama hapa katika Mahakama Kuu Tanzania Kanda ya Dodoma kwa ajili ya kufuatilia shauri la kanisa wanalohudumu ambalo limezuiwa kutoa...
  16. Just Pray

    PreGE2025 CCM Kinondoni yasema Askofu Gwajima ameliachia jimbo la Kawe, ataletwa mwakilishi mzuri

    Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima...
  17. Z

    Askofu Gwajima omba msamaha, siku ya mahubiri yako kanisani juu ya utekaji ulimkosea Mungu na Rais

    Mimi nakupenda sana tangia kipindi cha covid 19. Misimamo yako naipenda sana ikiwa unasema ukweli. Siku unahubiri kanisani kuhusu utekaji nilikuwa nakufuatilisa vizuri. Tangia unaingika kanisani nilikufuatilitia vizuri. Lakini mh Askofu niliingiwa na hofu kuu sana nikajiuliza hiki nini...
  18. Mshana Jr

    PreGE2025 Baada ya Press ya leo ya Gwajima, nani atamjibu?

    Kumjibu kwa maana ya Ku balance story Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi...
  19. DuaZaMama

    PreGE2025 Mchungaji Hananja achukizwa na kauli ya Askofu Gwajima kumwita Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro"

    Mchungaji mstaafu wa kanisa la kiinjili la kilutheri( KKKT) nchini Mchungaji Richard Hananja amechukizwa na kauli ya Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe ya kumwita Mbunge huyo wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro" akiwa madhabahuni kuwa ni matumizi ya madhabahu kama sehemu ya kufanya...
  20. S

    PreGE2025 Mtazamo wangu juu ya alichoongea Mchungaji Hananja kuhusu Askofu Gwajima

    MTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA Katika historia ya mataifa mengi, viongozi wa dini wamekuwa mstari wa mbele katika kukemea maovu ya kijamii, kisiasa na kiutawala. Martin Luther King Jr. alipaza sauti dhidi ya ubaguzi wa rangi Marekani; Desmond Tutu alisimama dhidi...
Back
Top Bottom