asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani 15.7. Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amefanya ziara ya kukagua mradi huo ambao ni moja wapo...
  2. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania RECORD MAJAJI WANAWAKE: Kati ya majaji 83 aliowateua Rais Samia tangu aingie madarakani mwaka 2021 Asilimia 41% au 35 ni wanawake ilikufikia 50|50

    Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%. Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025

    JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025 idadi ya sms ndani ya nchi imeongezeka kutoka sms bilioni 50 mwezi MACHI 2025 hadi kufikia bilioni 52.8 mwezi Juni 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 6...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Asilimia 95 na zaidi ya Wanawake wa sasa wanalichukia hili Tangazo

    Anachosema huyu mtangazaji wa hili Tangazo ni cha kweli kabisa kwa asilimia 95 na zaidi. Hizi issues zipo ila sijui kama zina dawa. Dawa nzuri ilikuwa ni kwa mwanamke kutulia tu. Wala asiwe na mambo mengi na kuhangaika.
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Asilimia 100 ya wanaharakati humu, ni cerfied keyboard worrior

    Humu ndio home of Keyboard worriors, ambao on the ground wana negative zero impacts. Wanaharakati humu hakuna hata mmoja anaweza tokea kwenye maandamano,ni rahisi sana watu back wasio na acces ya mitandao kutokea kwenye maandamano ila sio hawa ma keybord worriors. Sasa kutana nao uone wanavyo...
  6. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Hivi izo asilimia za nyongeza zinaongezwa mwezi gani? tupate Hela ya makange

    Hivi izo asilimia za nyongeza zinaongezwa mwezi gani woooooiiiiii tupate Hela kidogo ya makangi Ni formula ipi wanatumia kuongeza izo asilimia ili nijue kabisa namna ya kubadili kiwanja Cha bata
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Eti jamaa anatabiriwa kuwa asilimia 44 ya maisha yake ataishi "nchi za america". Tazama video

    Mi naona haina haja ya kulaumu wanabii uchwara maana wanatumia fursa ya waliokubali ujinga kama huu uwatawale
  8. Jay One

    JamiiForums Tanzania Makonda kuwa Mbunge - Arusha mjini namuunga mkono kwa asilimia mia, na atapita kwa kishindo

    Wana JF habarini..!! Sio kawaida yangu ku post post thread humu JF kwa hivi karibuni, ila nimekuwa mchangiaji mkubwa kwa njia ya kutoa maoni kwenye thread zingine nyingi tu, ila leo moyo wangu umenituma toka ndani kabisa, nipaze sauti hii juu ya Makonda Christian. Mh. Makonda, mimi kada wa CCM...
  9. Liutenant

    JamiiForums Tanzania Kumbe kilogram zote 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa na Iran kwa asilimia 60 ziliyeyushwa na mabomu ya Marekani na Israel

    Imeweza kuthibitishwa sasa kwamba yale mabomu ya Marekani na Israel yaliweza kuyeyusha kabisa kilogram 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa kwa asilimia 60 na Iran. Vyanzo vya kuaminika ndani ya nchi hiyo vimetoa taarifa ya siri kwa jarida la New York kuwa baada ya uchunguzi wa kutumia...
  10. Megalodon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasomi wanaliangusha taifa kwa asilimia kubwa

    Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo. Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation. Utamsikia msomi anasema mimi sitaki...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya vitu tunavyotumia daily vimegunduliwa na Wazungu, katika hivyo asilimia 80 plus ni Wayahud

    Angalia sehemu ulipokaa hapo. Popote ulipo. Hesabu vitu ambavyo vinakuzunguka. Asilimia zaidi ya 90 vimegunduliwa na wazungu (usijali kwa sasa vinatengenezwa wapi) Halafu katika hao hao wazungu. Zaidi ya asilimia 80 ya gunduzi zao. Lipo Yahudi humo. Ndo utagundua hii Miyahudi ina akili sana...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa dhima kuu za bajeti 2025/2026 ni Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa kufikia asilimia 6.0

    Shabaha za Uchumi Jumla Mheshimiwa Spika, kwa kuzingatia mwenendo wa viashiria mbalimbali vya uchumi jumla na utekelezaji wa bajeti ya Serikali, shabaha na malengo ya uchumi jumla kwa mwaka 2025/26 ni kama ifuatavyo: (i) Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa kufikia asilimia 6.0...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Bilioni 240+ Zatolewa kwa Wananchi Kupitia Mikopo ya asilimia 10– Je, Wewe Umewahi Kunufaika?

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kutoa kipaumbele kwa maendeleo ya wananchi kwa vitendo, hususan kwa kuwainua kiuchumi kupitia mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri isiyo na riba. Mikopo hii imetolewa kwa makundi maalumu ya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama ningekuwa kampeni meneja wa mgombea wa CCM ningehakikisha USHINDI wa asilimia 90+

    Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu: 1. CCM Ina wagombea wenye...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli asilimia kubwa ya wasio na kisogo(flat screen) na walio na flat kipandauso wanakuwa hawana akili?

    Kumekuwa na hizi tetesi kwa kipindi kirefu sasa. Kuwa wasio na visogo au walio flat kisogoni asilimia kubwa huwa na ubongo wao unakuwa umebonyea kiasi flani hivyo wanakuwa hawana sana akili. Lakini pia na walio na kichwa ambacho hakina komwe kabisa nao hadi kwenye ubongo nao unaenda unabonyea...
  16. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha Yamekuwa Magumu” – Asilimia 75% ya Wakenya Wanasema Hali Imezorota

    Utafiti mpya wa TIFA umeonesha hali halisi ya maisha magumu ambayo Wakenya wengi wanapitia tangu Rais Ruto aingie madarakani miaka miwili na nusu iliyopita. Asilimia 75% ya waliohojiwa wamesema hali yao ya kiuchumi ni mbaya zaidi sasa kuliko ilivyokuwa miaka mitatu iliyopita – kabla ya uchaguzi...
  17. John Sin

    JamiiForums Tanzania Utatiti: Waamuzi wengi karibia asilimia 75 ni form four failure na division four ya mwisho hivo maamuz yao yanaakisi upeo mdogo wa kuchakata taarifa

    Kwa utafiti wangu mdogo kutoka vyanzo mbalimbali vinaonesha kuwa karibia asilimia 75 ya waamuzi ligi kuu ya NBC ni ngumbaru hvo hicho wanachokitoa ndo uwezo halisi ukiacha mambo ya maelekezo kwenye baadhi ya mechi. Ukienda EPL la Liga Bundesliga na french Ligue 1 Kuna waamuzi Wana Hadi PhD, lkn...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Asilimia 70 ya wafanyakazi wa serekali ya Kenya wana vyeti feki,na asilimia 30 wa mashirika wana vyeti feki

    Wafanyakazi wa serekali ya Kenya asilimia 70.na wa mashirika aslimia 30.,wana veti feki.kwa mujibu wa serekali ya Kenya
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe Likud alikuwa sahihi bana. Asilimia sabini ya wamarekani ni masikini. Ushahidi huu hapa chini

    Tena maneno ya mmarekani mwenyewe.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima: Vitendo vya Ubakaji na Ulawiti vimepungua kwa asilimia 6.3 na 19 mwaka 2024

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini vimeanza kupungua, hususan matukio ya ubakaji na ulawiti, kufuatia juhudi mbalimbali za Serikali na wadau kuelimisha jamii. Akiwasilisha makadirio ya...
Back
Top Bottom