asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Asilimia 70% ya wamarekani( USA) ni masikini. Takwimu hizi ni za ukweli?

    Haya si maneno yangu. Ni maneno ya 👇👇👇
  2. Jack Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni utafiti mdogo niliofanya siku nyingi sana

    Salaam jamiiforum. 1.Idadi ya wasio kuwa na hofu ya Mungu inashamiri kwa kasi ya radi. 2.Namba ya wanaokwenda kanisani au Kwa maonesho ya mitindo ya mavazi pamoja na wanavyomiliki na siyo kuabudu inaongezeka kila siku. 3.Idadi ya wanaume wengi wanaonyimwa tendo la NDOA na wake zao ni kubwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Halmashauri ya Buchosa toeni mikopo kwa Vikundi vilivyojisajili, mbona mmeishia kutoa kwa Viongozi wenu tu?

    Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza umri, sifa ya kupata mikopo ya Asilimia 10 ya Halmashauri

    Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana kutoka miaka 35 hadi 45 ili kuweza kufikia vijana wengi zaidi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo wakati wa akijibu...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba sports club a.k.a makolo dunduka asilimia 100% wanaenda kutolewa na wasouth wa Stellenbosch

    Mimi tanzania Sina timu ila naongea kimpira Kuna timu inaitwa simba sipos kilabu au tuwaite mbumbumbu fc a.k.a makolo fc inaenda kuishia kwenye mdomo wa wasouth Africa ukweli usemwz wale waarabu wa Al masry ni wakulima wa mahindi pale misri hivyo wao na mpira ni vitu viwili tofauti Sasa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Asilimia 75 Ya Wafanyabiashara Wanatumia Njia Hizi Kupata Mitaji Ya Kampuni Zao

    Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa. Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao? Kwenye Thread hii nimekuorodheshea baadhi ya njia hizo; 1. Hisa Wafanyabiashara wanaofungus Kampuni LLC huuza hisa za Kampuni husika...
  7. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Umoja wa ulaya kuweka ushuru kwa bidhaa za kimarekani wa asilimia 10-25

    JUST IN: 🇪🇺 🇺🇸 European Union to impose between 10% and 25% tariffs on US goods. https://x.com/WatcherGuru/status/1909962445570834677?t=BG_6OJW2HO9f-l2Eos6FPQ&s=19
  8. Mi mi

    JamiiForums Tanzania China yatangaza nyongeza ya asilimia 84% ya ushuru kwa bidhaa za Marekani

    Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru. BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods. https://x.com/WatcherGuru/status/1909925306560885110?t=-ienhln5-MyLFFrJ4DBwBQ&s=19
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Pato la Taifa limekua kwa asilimia 5.5

    "Mwenendo wa viashiria vya uchumi na bajeti katika mwaka 2024/2025 umeendelea kuwa wa kuridhisha. Katika mwaka 2024, Pato halisi la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 5.5 ikilinganishwa na asilimia 5.1 mwaka 2023. Ukuaji huo ulitokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa umeme; uimarishaji wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa tenki la Maji la Hinduki,Maswa wafikia asilimia 90

    KAZI ya ujenzi wa tenki kubwa la kuhifadhi maji lenye uwezo wa kubeba lita milioni mbili linalojengwa katika kijiji cha Hinduki wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imefikia hatua ya asilimia 90, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi. Tenki...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu, G55 ambao huwajui uko nao katika ziara na vikao, uchaguzi wa chama unaonyesha hukupata kura za wajumbe kwa asilimia 49.

    Lissu hakupata kura za wajumbe kwa asilimia 49, hizo zilienda kwa mstaafu, bado wapo, na huwa unawatukana katika mikutano yako. Wengine wako na wewe kimkakati, lakini ni G55, unafanya nao ziara na vikao. Baadae wanageukiana wanacheka halafu wanasonya. Hizo asilimia zikibadilika zinaweza...
  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya watu wanaosali katika Kanisa hili naamini watakwenda mbinguni

    Waswahili husema: "Tembea uone!" Ukikaa sehemu moja tu huwezi kujua yanayoendelea katika sehemu nyingine duniani. Jamani kuna watu wako "serious" na mambo ya rohoni. Hivi majuzi, nilipata fursa ya kusali kwa siku kadhaa katika Kanisa fulani lililoko nchi moja isiyo na vurugu vurugu. Kanisa...
  13. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na video ya huyu binti, imenikumbusha kuwa asilimia kubwa ya mabinti wa kileo hawako resistant na ushawishi wa jamaa mwenye pesa na jina

    Masikini unakuta hata bwana yake huko alikuwa ndio anajichanga aende kujitambulisha ghafla akaona hii clip😂 Ukiwa una pesa alafu ukikutana na demu mwenye bwana, ukimuulizia kuhusu bwana yake ataakuambia "aah yule tunasumbuana"
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania ikichukua mkopo, asilimia fulani lazima iende Zanzibar kama serikali inayojitegemea; lakini katika kulipa deni la Taifa, Zanzibar haihusiki?

    Kuna kitu hapa nimeelezwa kama ujanja fulani unaofanyika ambao kama ni kweli basi Tanzania bara tuna kila sababu ya kupiga kelele. Nimeambiwa hii mikopo mingi tunayomshangilia mama, kimsingi ni kwa ajili ya kuwainua Zanzibar. Inasemwa kila mkopo unaochukuliwa na Tanzania, Zanzibar lazima...
  15. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Asilimia ya wanawake ambao wanakeketwa kwa nchi

  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Shinyanga Wafikia Asilimia 75, Kukamilika Juni 2025

    UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SHINYANGA WAFIKIA ASILIMIA 75, KUKAMILIKA JUNI 2025 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), kuwa kiwanja cha ndege cha Shinyanga kitakamilika mwezi juni mwaka huu. Amesema hadi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga wafikia Asilimia 75, kukamilika Juni 2025

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), kuwa kiwanja cha ndege cha Shinyanga kitakamilika mwezi juni mwaka huu. Amesema hadi sasa ujenzi wa kiwanja hicho umefikia asilimia 75 ambapo njia za kuruka na kutua ndege...
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Riba za benk za kibiasbara zisizidi asilimia 5

    Kama kisemavyo kichwa cha habari riba za benk za kibiashara hazitakiwi kuzidi asilimia 5 hii itachochea ukuaji wa uchumi kwa sababu mikopo itapatikana kwa bei nafuu faida za mikopo kuwa na riba ndogo Kuongeza mzunguko wa fedha Kuondoa hofu ya kukopa ambayo wanayo watu wengi Kuongeza ajira...
  19. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Wajasiriamali mnaitwa kuchangamkia mikopo ya asilimia 10

    Wakati wimbi la mikopo ya kausha damu likiendelea kutikisa nchini, wajasiriamali wilayani Serengeti mkoani Mara wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo nafuu ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri. Hayo yamesema na Mwenyekiti Wa UVCCM Mkoa Wa Mara, Mary Joseph wakati akizungumza na...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini imezalisha ajira 19,874 kutoka kwenye Kampuni za uchimbaji ambapo kati ya hizo 19,371 ni Watanzania sawa na asilimia 97.5 na 503

    Sekta ya madini imezalisha ajira 19,874 kutoka kwenye Kampuni za uchimbaji ambapo kati ya hizo 19,371 ni Watanzania sawa na asilimia 97.5 na 503 ni wageni sawa asilimia 2.5 ya ajira zote zilizozalishwa. Vilevile, Jumla ya bidhaa zenye thamani ya Dola za Marekani (USD) 3,780,161,183.28 ziliuzwa...
Back
Top Bottom