asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eti jamaa anatabiriwa kuwa asilimia 44 ya maisha yake ataishi "nchi za america". Tazama video

    Mi naona haina haja ya kulaumu wanabii uchwara maana wanatumia fursa ya waliokubali ujinga kama huu uwatawale
  2. Makonda kuwa Mbunge - Arusha mjini namuunga mkono kwa asilimia mia, na atapita kwa kishindo

    Wana JF habarini..!! Sio kawaida yangu ku post post thread humu JF kwa hivi karibuni, ila nimekuwa mchangiaji mkubwa kwa njia ya kutoa maoni kwenye thread zingine nyingi tu, ila leo moyo wangu umenituma toka ndani kabisa, nipaze sauti hii juu ya Makonda Christian. Mh. Makonda, mimi kada wa CCM...
  3. Kumbe kilogram zote 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa na Iran kwa asilimia 60 ziliyeyushwa na mabomu ya Marekani na Israel

    Imeweza kuthibitishwa sasa kwamba yale mabomu ya Marekani na Israel yaliweza kuyeyusha kabisa kilogram 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa kwa asilimia 60 na Iran. Vyanzo vya kuaminika ndani ya nchi hiyo vimetoa taarifa ya siri kwa jarida la New York kuwa baada ya uchunguzi wa kutumia...
  4. PreGE2025 Wasomi wanaliangusha taifa kwa asilimia kubwa

    Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo. Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation. Utamsikia msomi anasema mimi sitaki...
  5. Asilimia 90 ya vitu tunavyotumia daily vimegunduliwa na Wazungu, katika hivyo asilimia 80 plus ni Wayahud

    Angalia sehemu ulipokaa hapo. Popote ulipo. Hesabu vitu ambavyo vinakuzunguka. Asilimia zaidi ya 90 vimegunduliwa na wazungu (usijali kwa sasa vinatengenezwa wapi) Halafu katika hao hao wazungu. Zaidi ya asilimia 80 ya gunduzi zao. Lipo Yahudi humo. Ndo utagundua hii Miyahudi ina akili sana...
  6. W

    Miongoni mwa dhima kuu za bajeti 2025/2026 ni Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa kufikia asilimia 6.0

    Shabaha za Uchumi Jumla Mheshimiwa Spika, kwa kuzingatia mwenendo wa viashiria mbalimbali vya uchumi jumla na utekelezaji wa bajeti ya Serikali, shabaha na malengo ya uchumi jumla kwa mwaka 2025/26 ni kama ifuatavyo: (i) Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa kufikia asilimia 6.0...
  7. N

    Bilioni 240+ Zatolewa kwa Wananchi Kupitia Mikopo ya asilimia 10– Je, Wewe Umewahi Kunufaika?

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kutoa kipaumbele kwa maendeleo ya wananchi kwa vitendo, hususan kwa kuwainua kiuchumi kupitia mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri isiyo na riba. Mikopo hii imetolewa kwa makundi maalumu ya...
  8. K

    PreGE2025 Kama ningekuwa kampeni meneja wa mgombea wa CCM ningehakikisha USHINDI wa asilimia 90+

    Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu: 1. CCM Ina wagombea wenye...
  9. Je ni kweli asilimia kubwa ya wasio na kisogo(flat screen) na walio na flat kipandauso wanakuwa hawana akili?

    Kumekuwa na hizi tetesi kwa kipindi kirefu sasa. Kuwa wasio na visogo au walio flat kisogoni asilimia kubwa huwa na ubongo wao unakuwa umebonyea kiasi flani hivyo wanakuwa hawana sana akili. Lakini pia na walio na kichwa ambacho hakina komwe kabisa nao hadi kwenye ubongo nao unaenda unabonyea...
  10. W

    Maisha Yamekuwa Magumu” – Asilimia 75% ya Wakenya Wanasema Hali Imezorota

    Utafiti mpya wa TIFA umeonesha hali halisi ya maisha magumu ambayo Wakenya wengi wanapitia tangu Rais Ruto aingie madarakani miaka miwili na nusu iliyopita. Asilimia 75% ya waliohojiwa wamesema hali yao ya kiuchumi ni mbaya zaidi sasa kuliko ilivyokuwa miaka mitatu iliyopita – kabla ya uchaguzi...
  11. Utatiti: Waamuzi wengi karibia asilimia 75 ni form four failure na division four ya mwisho hivo maamuz yao yanaakisi upeo mdogo wa kuchakata taarifa

    Kwa utafiti wangu mdogo kutoka vyanzo mbalimbali vinaonesha kuwa karibia asilimia 75 ya waamuzi ligi kuu ya NBC ni ngumbaru hvo hicho wanachokitoa ndo uwezo halisi ukiacha mambo ya maelekezo kwenye baadhi ya mechi. Ukienda EPL la Liga Bundesliga na french Ligue 1 Kuna waamuzi Wana Hadi PhD, lkn...
  12. K

    Asilimia 70 ya wafanyakazi wa serekali ya Kenya wana vyeti feki,na asilimia 30 wa mashirika wana vyeti feki

    Wafanyakazi wa serekali ya Kenya asilimia 70.na wa mashirika aslimia 30.,wana veti feki.kwa mujibu wa serekali ya Kenya
  13. B

    Kumbe Likud alikuwa sahihi bana. Asilimia sabini ya wamarekani ni masikini. Ushahidi huu hapa chini

    Tena maneno ya mmarekani mwenyewe.
  14. Dkt. Gwajima: Vitendo vya Ubakaji na Ulawiti vimepungua kwa asilimia 6.3 na 19 mwaka 2024

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini vimeanza kupungua, hususan matukio ya ubakaji na ulawiti, kufuatia juhudi mbalimbali za Serikali na wadau kuelimisha jamii. Akiwasilisha makadirio ya...
  15. Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024

    IMEELEZWA a kuwa Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024, kutoka hasara ya shilingi bilioni 44.42 mwaka 2023, huku faida baada ya kodi ikiongezeka kwa asilimia 170 hadi shilingi bilioni 32.62 kutoka...
  16. T

    Tetesi: Wabunge zaidi ya asilimia 95 wanakubaliana na alichozungumza Gwajima

    Habari JF Za chini ya kapeti, ni kuwa Gwajima nyuma yake kuna kundi kubwa hasa hasa makada wenzie, na hii ni strategic move, yapo mengi na huyu ni kwanza, makada wengine wako njiani. Ya kesho yanafurahisha
  17. Mhandisi Leo Magomba: Wanaotumia internet ya uhakika Afrika ni asilimia 38 ya watumiaji wote, hili ni pengo kubwa

    Mhandisi wa Miundombinu ya Mawasiliano kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Leo Magomba amesema kwamba katika bara la Afrika wanaotumia internet ya uhakika ni asilimia 38 kati ya watumiaji wote, ambapo amedai kuwa zinahitajika juhudi za pamoja kuchochea...
  18. D

    Kwanini makato ya transactions za Mobile Money hayapo kwenye mfumo wa asilimia (in terms of percentage)??

    Kwanini mtu akitoa au kutuma pesa, kwa mfano, kiasi cha 100,000/= hakatwi gharama "in terms of percentage" bali anakatwa gharama kwa mfumo wa "range" from this amount to that?? What's the rationale behind this??
  19. Asilimia 80 ya watumishi wa serikali ni weupe kichwani

    Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa...
  20. Wizara ya michezo; Mmetuambia uwanjaa utachezwa final.. Umekamilika asilimia 90+ sasa na hili la Zanzibar tutawaamini tena kweli aisee?

    Haya mambo ya kuingiza siasa mchezoni NGUMU sanasana Hivi majuzi tu tuliona viongozi WA WIZARA ya MICHEZO wakinukuliwa final UTACHEZWA kwa mkapa na wakasisitixa wananchi mnunue.tkt.kwa wingi Sasa tumesikia haya ya kuprlekana ZNZ Wapendwa sasa zile semi za tutachezea kwa mkapa ziko wapi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…