asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Uuzaji wa bidhaa za photovoltaic za China nje ya nchi wapanda kwa asilimia 60 mwaka 2021

    China imeshuhudia uuzaji mwingi wa bidhaa zake za photovoltaic (PV) nje ya nchi mwaka jana wakati dunia inaongeza juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na TEHAMA, mwaka 2021 uuzaji nje wa bidhaa za PV za China ulipita dola za kimarekani bilioni 28.4...
  2. Zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanatumia tiba asili kujitibu

    KAIMU Mkurugenzi wa huduma za tiba Wizara ya Afya Dk. Caroline Damiani, amesema, zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanatumia tiba asili kwa ajili ya kujitibu magonjwa mbalimbali kabla ya kwenda katika vituo vya kutolea huduma za afya au baada ya kupata huduma katika vituo vya kutolea huduma za...
  3. Asilimia 97 ya historia ya binadamu haijulikani, hii iliyopo sasa ni 3% tu

    Maisha ya binadamu ya sasa hivi tuliopo inaelezwa kuwa historia yetu ilianza miaka 200,000 iliyopita, lakini hakukuwa na rekodi halisi zilizowekwa kwa kuwa rekodi za nini kilifanyika na kwa kiwango gani zimeanzia miaka 6,000 iliyopita. Hivyo kwa mujibu wa baadhi ya wanahistoria ni kuwa hiyo...
  4. Asilimia kubwa ya wanawake siku hizi wana hips na wowowo za kutisha, inasababishwa na nini?

    Kwa utafiti tu kutazama ktk pirika pirika na mihangaiko ya hapa na pale hapa jijini Dar es Salaam. Katika maeneo tofauti tofauti kwenye mkusanyiko mfano katika vituo vya mwendokasi, ferry Kigamboni, nimegundua wanawake wa siku hizi wengi sanaaa wana hips za kuvutia, rangi za ngozi wengi ni...
  5. Baada ya TRA kuvuka malengo, Halmashauri nazo zavuka malengo ya Makusanyo ya Mapato ya ndani kwa asilimia 107%

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Akitoa taarifa ya Makusanyo na matumizi kwa Halmashauri kwa kipindi cha nusu mwaka(July- December 2021/2022,Waziri wa Tamisemi Innocent Bashungwa amesema Halmashauri zimevuka malengo ya Makusanyo Kwa kukusanya sh.Bilioni 470 sawa na asilimia 107% ya lengo. Aidha...
  6. Hakuna freewill ya asilimia mia

    Tangu tumekuwa katika hii sayari tumekuwa tukifikiri Kuna hichi kitu "Freewill!". Ukweli mchungu ni huu,mazingira hayajatupa hiyo nafasi yakuwa na uhuru wa maamuzi ktk kila kitu ama kwa asilimia mia!. Unayo nafasi ya kupumua ila hauna nafasi ya kupumua milele yote!,unayo nafasi ya kufa ila...
  7. Rostam Aziz anunua asilimia 31.5 ya Williason Diamonds (Mwadui)

    Caspian Limited imefikia makubaliano na Kampuni ya South Africa Petra Diamonds ya kununua asilimia 31.5 ya hisa za Williamson Diamonds Limited(WDL) kwa thamani ya dola za Kimarekani million 15. Caspian Limited ambaye ni technical services contractor wa WDL wamefikia makubaliano mwishoni mwa...
  8. S

    Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

    Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu! Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama...
  9. K

    Mfumuko wa bei kwa sasa imefikia asilimia ngapi

    Kwa siku za karibuni kila kitu kimepanda ukianzia vyakula, vifaa vya ujenzi, mafuta n.k. Nawauliza Ofisi ya Takwimu kwa sasa mfumuko wa bei bado ni single digit au double digit?
  10. Treni Nairobi-Kisumu yafufuliwa baada ya miaka 15, abiria wakata tiketi kwa mpigo na kufikisha asilimia 90%

    After a 15-year break, the Nairobi-Kisumu passenger train service resumed Friday on a high, with over 90 percent of seats booked by Thursday. Queues were still long at the Nairobi Railways Central Station Thursday evening as families heading to the village for festivities booked tickets. “The...
  11. U

    Kwanini asilimia 98 ya watanzania wanaojua Kingereza wanaongea Broken!! Tumerogwa au

    Kuna shida Gani, Sasa hivi suala la kuongea Kingereza limezidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kusogea, Sasa hivi yani watanzania wengi Wana elimu ya form four au six , Ila wengi hawajui Kingereza, na hao wachache wanaojitahidi au tumasema wanakijua asilimia kubwa zaidi ya 98 ukiwasikiliza...
  12. Makalla: Asilimia 99.99 ya Malalamiko yaliyotolewa hawahusu utendaji wa Polisi

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema asilimia 99.99 ya malalamiko yaliyowasilishwa kwake katika kipindi cha kusikiliza kero za wananchi jijini Dar es Salaam siku chache zilizopita hayakuwataja Polisi kama watu wanaosababisha kero jijini Dar es Sallam na hivyo kumshukuru Afande IGP...
  13. Rais Samia kushinda uchaguzi ujao kwa Asilimia 86% kihalali Uchaguzi ujao 2025

    Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu. Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi...
  14. Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

    Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua. Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee Eti watu waanze kupanga kazi zao
  15. M

    Rais Samia awapa shavu Wazanzibar: Ajira asilimia 21 za Muungano kuwa za Wazanzibar

    Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira Hongera mama, Charity begins at home. Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la? Hebu tazama 1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania...
  16. Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

    Kuna siku nilitembelea benki fulani, kwa ajili ya kupata utaratibu wa kupata mkopo kwa ajili ya biashara yangu. Kwa bahati nzuri nilipokelewa na mdada, ni mzuri na anashepu ya kuvutia, nyuma amejaziwa kweli. Akanihudumia, na akanipatia namba yake kwa ajili ya kufuatilia. Cha ajabu, nilipokuwa...
  17. B

    Mradi wa maji chalinze umekamilika asilimia 98

    CHALINZE Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amekagua na kuridhika kuruhusu maji yaanze kutumiwa na wananchi katika maeneo ya Chalinze ambapo miundombinu imekamilika. Hizi ni habari njema kwa wananchi wa Chalinze ambao kwa muda mrefu wanahangaika na shida ya maji. Kwa upande wa Mbunge wa Jimbo...
  18. Nahitaji Chumba Single Sinza, Magomeni Kanisani, Kawe, Mbezi au Goba

    Hello wakuu. Nipo natafuta chumba single. Kuanza life baada ya chuo. Naomba mwenye nyumba yoyote aliye maeneo hayo anisaidie room single Bajeti yangu ni 60k - 80k kwa mwezi. Dalali niseme hela yako inaniwia ngumu. Ikiwa 50% nipo tayari. Msaada wenu.
  19. F

    Kwa asilimia kubwa sana dunia inaendeshwa na mawazo ya kike

    Kama dunia imekwama mahali fulani au imefanikiwa sana basi yote hayo mawili yamesababishwa na mwanamke. Wanaume wote kabisa kwa 90% ni wanawake kwa mawazo yao (ambayo ndiyo yanayotengeneza tabia zao na mifumo ya maisha yao), pia wanaishi mfumo ambao siyo dume bali jike (feminism) kasoro...
  20. Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA. Kama mnavyojua, Kwenye ajira wazanzibar hupewa asilimia 21, kwa hio katika hizi nafasi 1,097 ni sawa na wazanzibari 230 tu, 230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…