asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mifumo mingi ya serikali imelala, asilimia kubwa ya Wanachi tunaumia sana

    Ufanisi wa utendaji katika utumishi wa umma huleta tija hasa katika kukuza maendeleo ya nchi. Dhana hii inachagizwa kwa karibu sanaa na matokeo ya ufanisi katika utendaji hasa katika taasisi asasi za serikali. Aidha uadulifu ni dhana na kiungo muhimu Sana katika kulisukuma gurudumu hili la...
  2. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanywa pombe ni watu wenye mipango mizuri ya maendeleo

    Connection nyingi za kazi mara nyingi utazikuta Bar. Ukiwasikiliza walevi mazungumzo yao huwa ni ya maendeleo tu kama ujenzi, harusi, miradi mbalimbali n.k Kazi yangu ya mwisho (temporary) nimeipatia Bar baada ya kuhangaika for 4 yrs. Na kazi inayofuata (naiombea iwe) imepatikania kwa kuwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa makato ya PAYE katika kiwango hiki cha mshahara

    Naomba wadau mnijuze Mimi npo daraja E napokea basic salary 940000 je asilimia hiyo moja iliyopunguzwa na Mheshimiwa Rais ni kama shilingi ngapi ambayo ntakuta ongezeko katika mshahara wa mwezi huu?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ni asilimia ngapi kwa mwezi unatakiwa kuanza kuipata unapoanza kufanya biashara kwa mtaji ulionao?

    Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kujua ukiwia unamtaji wako wa kiwango chochote cha pesa, unatakiwa upate kiasi gani cha faida kwa mwezi kwa mahesabu ya asilimia? Wengine wanasema minimum angalau upate 20% ya mataji kwa mwezi, wengne wanasema 30% kwa mwezi ndio utasema...
Back
Top Bottom