Personal: Namtafuta Mwalimu Asia Sufiani

Personal: Namtafuta Mwalimu Asia Sufiani

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,016
Reaction score
24,964
Kama unajua au ulifundishwa na mwalimu (mstaafu) Asia Sufiani na unajua kuwa bado yupo hai na unajua alipo, basi tafadhali nipe contacts zake.,
 
Kama unajua au ulifundishwa na mwalimu (mstaafu) Asia Sufiani na unajua kuwa bado yupo hai na unajua alipo, basi tafadhali nipe contacts zake.,
Sasa humu ndani Kila mtu anamjua huyo mwalimu wako?Kwanini si usingeeka na shule aliyokuwa anarundisha.
 
Hujui kuweka details
Weka na hivi baada ya jina,

1.Shule aliyokuwa akifundisha
2. Kata, halmashauri na mkoa
3. Walimu wenzake baadhi/maarufu.
 
Back
Top Bottom