ashikiliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Mbeya: Ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua kijana mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mawazo Msangawale, Miaka 24, Mkazi wa Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma ya mauaji ya kijana wa miaka 18 aitwaye Juveni Baraka Mwambugi aliyekuwa Mkazi wa Isoko Wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya. Kamanda wa Polisi Awali, Januari 9, 2026 saa 2...
  2. Roving Journalist

    Mbeya: Marry Timotheo ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wake, alikuwa anamuadhibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Marry Timotheo, Mkazi wa Garijembe Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wake aitwaye Scola Athanas Mwaba [10] aliyekuwa Mwanafunzi wa Darasa la Nne katika Shule ya Msingi Ngonde. Tukio hilo limetokea Disemba 09, 2025 saa 6:30 mchana katika Kijiji cha...
  3. DuaZaMama

    Mwanamke ashikiliwa kwa tuhuma za kuua mpenzi wake na wembe

    Mwanamke aitwaye Pendo Medusela (37), mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa (35), kwa kumkata kwa wembe sehemu mbalimbali za mwili wake kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi...
  4. BigTall

    Mbeya: Seven Kipara ashikiliwa kwa tuhuma za kukodi Watu wamuue mama yake mzazi, risasi yafyatuliwa yamjeruhi Mtoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtuhumiwa Seven Kipara [38] mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama na wenzake za kumuua mama yao mzazi na kumjeruhi kwa risasi mtoto aitwaye Sinzo Jifwalo mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Kijiji cha Ipwizi. Ni kwamba mnamo Juni 13, 2025 saa 6:05...
  5. Waufukweni

    Kilolo: Mwenyekiti wa Kijiji ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuchukua rushwa

    Jeshi la polisi wilayani Kilolo, mkoani Iringa linamshikilia mwenyekiti wa Kijiji cha Mtandika kwa mahojiano zaidi kuhusu tuhuma za kuchukua fedha kwa wafugaji na kusababisha migogoro kati ya kundi hilo na wakulima, huku watu wengine wanaohusika na kugawa ardhi kinyume cha utaratibu nao...
  6. Mindyou

    Wakili Peter Madeleka aripotiwa kushikiliwa na Jeshi La Polisi muda mfupi baada ya kutangaza kupokea simu ya Faustine Mafwele

    Wakuu, Mwanaharakati na mwanamitandao maarufu nchini Martin Maranja Masese amedokeza Wakili maarufu Tanzania Peter anashikiliwa na Jeshi La Polisi. Wakili Madeleka anashikiliwa na Central Police - Dar es Salaam kwa tuhuma za makosa ya mtandao ambayo hajaelezwa. Mapema leo aliitwa polisi kwamba...
  7. BARD AI

    Sean Kingston aingia matatani kwa madai ya kutapeli TV ya Inch 232, mama yake ashikiliwa na Polisi kwa muda

    Mamlaka Kusini mwa California Alhamisi ilimkamata mwimbaji Sean Kingston, ambaye jina lake halisi ni Kisean Anderson, kwa makosa mengi ya ulaghai na wizi kwa hati ya kutoka Florida. Kukamatwa kwake kulifuatia uvamizi katika nyumba yake ya Kusini mwa Florida mapema siku ambayo pia ilishuhudia...
  8. O

    Ashikiliwa na polisi akidaiwa kuwachoma moto ndugu zake

    Morogoro. Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Paschal Elias (18) kwa tuhuma za kutaka kuwauwa ndugu zake watatu baada ya kuwamwagia kimiminika kinachodhaniwa kuwa cha mlipuko na kuwasababishia majeraha makubwa ikiwemo yeye mwenyewe. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Mei 20, 2024...
  9. D

    NJOMBE:Mtoto wa Miaka 12 ashikiliwa kwa kumlawiti Mtoto wa Miaka kumi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mtoto wa umri wa miaka (12) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa darasa la nne (10) katika shule moja iliyopo Makambako mkoani Njombe. Hayo yamebainishwa leo Aprili 13, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Banga zungumza na waandishi wa...
  10. mwanamwana

    Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili. Tukio hilo limetokea majira ya saa...
  11. Roving Journalist

    Ashikiliwa kwa kukutwa na Koki 330 za bomba, mali ya Mamlaka ya maji Katavi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MUWASA) Mpanda wamefanikiwa kumnasa Gaudensia Assenge (45) kwa kukutwa na koki 330 za bomba ambazo zinadaiwa ni mali ya wizi. Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Kaster Ngonyani amesema mtuhumiwa...
  12. JanguKamaJangu

    Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua Watoto wake kwa kuwanywesha sumu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dainess Paul Mwashambo (30) mkazi wa Kijiji cha Mashese katika halmashauri ya Mbeya vijijini anayetuhumiwa kuwanywesha sumu ya kuulia magugu shambani watoto wake wawili Mario Semen Adamson (4) na mdogo wake wa kike aitwaye Beonis Semen Adamson (2) wote...
  13. Roving Journalist

    Mzee wa miaka 70 ashikiliwa na Polisi akituhumiwa kufanya utapeli na Maafisa wa NSSF

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii [NSSF] linamshikilia mtuhumiwa Pius Komba [70] mkazi wa Itigi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli na kughushi nyaraka mbalimbali. Mtuhumiwa alikamatwa Januari 25, 2024 eneo...
  14. JanguKamaJangu

    Mbeya: Raia wa Rwanda ashikiliwa kwa kusafirisha Dawa za Kulevya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili akiwemo raia wa nchini Rwanda, Assouman Gahigiro [48] na Winny Bruno [31] mkazi wa Kiwira Wilaya ya Rungwe kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 20. Watuhumiwa walikamatwa Januari 27, 2024 katika kizuizi...
  15. Roving Journalist

    Mbeya: Ashikiliwa kwa tuhuma za kupatikana na nyara za Meno ya Tembo yenye uzito wa kilogramu 7.5

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha kuanzia Septemba mosi hadi 12, limefanya oparesheni na Misako yenye tija katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio ikiwa ni pamoja na kukamata watuhumiwa 29 wakiwemo wa kupatikana na nyara za serikali (Meno ya Tembo), kufanya...
  16. JanguKamaJangu

    Simiyu: Ashikiliwa baada ya mafundi kukuta mabaki ya mwili kwenye eneo la nyumba aliyoiuza

    Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linamshikilia mtu mmoja anayetambulika kwa jina la Juma Peter kufuatia eneo yalipokuwa makazi yake kukutwa mabaki ya mifupa yaliyodhaniwa kuwa ya binadamu. Tukio hilo linalodaiwa kutokea Mkoani Simiyu, ambapo Jeshi la Polisi katika taarifa yake ya awali linadai...
  17. JanguKamaJangu

    Ghana: Waziri ashikiliwa baada ya kuripoti kuibiwa Tsh. Bilioni 3 nyumbani kwake

    Cecilia Abena Dapaah aliamini anafanya uamuzi sahihi wa kwenda Polisi kuripoti kuibiwa kiasi kikubwa cha fedha nyumbani kwake lakini kibao kikageuka na kushikiliwa kwa kumiliki kiasi kikubwa cha fedha ambacho kinahusishwa na rushwa. Inaelezwa ameibiwa Dola Milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.4), Euro...
  18. B

    Dereva wa UDOM akamatwa kwa madai ya kummwagia Kemikali Afisa Mtendaji

    Dereva wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Lusajo Makiwelu, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwamwagia kemikali watu wawili akiwemo mtalaka wake, Witness Nguvalwa (31) na mtoto wake mwenye umri wa miezi sita (jina limehifadhiwa). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno, amethibitisha...
  19. JanguKamaJangu

    Mbeya: Musa Pwele ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za Kumbaka mwanaye wa kumzaa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Musa Pwele (47) Mkazi wa Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuzini na maharimu. Kaimu Kamanda wa Polisi, ACP Christina Musyani amesema tukio hilo limetokea Mei 05, 2023 Jijini Mbeya baada ya mtuhumiwa kumtishia binti yake wa kumzaa kuwa hatampatia huduma...
  20. Roving Journalist

    Mbeya: Mwalimu anayetuhumiwa kumshushia kipigo Mwanafunzi aliyedokoa maandazi ashikiliwa na Polisi

    Kufuatia kuripotiwa kwa tukio la Laurence Nicholaus Mwangake, Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Rohila, Mbalizi kulazwa Hospitali ya Ifisi tangu Februari 12, 2023 ikidaiwa amejeruhiwa kwa kipigo, watuhumiwa wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano. Afisa...
Back
Top Bottom