asante

  1. K

    JamiiForums Tanzania Asante baba, RIP Magufuli

    Naanza kwa kusema mimi ni kijana mdogo pro. CCM chama Mama Tanzania, wengine wanavuma kwa msimu kwa kupokezana wanaondoka. Kitaasisi nakiona chama changu kikitawala miaka mia kadhaa mbele. Acha tu niseme ukweli baada ya kusoma sana elimu dunia hasa ya Mashariki hususani China na Japan...
  2. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana rafiki yangu wa mtandaoni

    "Ahsante sana RAFIKI YANGU wa mtandaoni." Hii ni special kwako wewe rafiki yangu wa mtandaoni. Rafiki yangu ambae mitandao ya kijamii imetufanya tuwe karibu zaidi kama watu tuliopitia historia moja ya maisha. Tangeni, Mzumbe - Morogoro ndipo nilipozaliwa na kusoma shule ya msingi kabla ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania

    Asante Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania Na Mwandishi Maalum. Twende Pamoja. Dar es salaam Hatimaye siku iliyokuwa ikingojewa sana na kila Mtanzania, iliwadia, ya tarehe 23 Agosti, 2022, na zoezi adhimu la Sensa likaanza nchini Tanzania. Zoezi hilo limejiri siku 170 tangu Mhe Rais Samia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Asante Rais wetu kwa hotuba yako, Watanzania tupo tayari kuhesabiwa

    Kwanza pole kwa kazi mh Rais wetu na Asante kwa Hotuba yako ya kutuhamasisha ili tujiandae kuhesabiwa, mh Rais napenda kukuambia kuwa watanzania huku mitaani wamehamasika vizuri na wameelewa umuhimu wa sensa na wapo tayari kuhesabiwa Mh Rais napenda kukufahamisha pia kuwa zoezi Hilo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania asiyelipa Kodi anakuwa hana uchungu na nchi yake. Asante sana system kwa kuweka hili sawa

    Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi. Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
  6. TUJITEGEMEE

    JamiiForums Tanzania Asante TBC FM: Leo nimeisikia sauti ya Hayati Edward Moringe Sokoine

    Habari za Asubuhi wakuu, hongera kwa maandalizi safi kwa ajili ya sensa na Makazi ya Mwaka huu hapo kesho 23/08/2022. Leo asubuhi muda kati ya saa mbili mpaka saa tatu. Nina furaha sana, kwa kufanikiwa kusikia sauti ya Hayati E. M. Sokoine kupitia Redio yetu ya Taifa ya TBC FM. Asante sana TBC...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine, Asante JamiiForums

    Napenda kutoa shukrani zangu kwa jukwaa hili hasa members kwa jinsi mnavyo changia mijadala mbalimbali. Kwa namna ya pekee naushukuru uongozi wa jukwaa hili. Kwa mara nyingine tena nilileta humu KERO fulani na ikatatuliwa. Ikumbukwe Jana nilileta habari ya makarani kunyanyaswa na viongozi wa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi: Asante kocha Zoran Maki kwa kuligundua jipu lililokuwa likiisumbua simba kwa muda mrefu, Jonas Mkude.

    Ahlanbik: Kongole kwa kocha zoran maki kwa kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu ya NBC hapo nchini Tanzania dhidi ya Geita Gold. Pia pongezi nyingi kwake kwa kumtoa nje kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika ,the so called "legend" ,Jonas Mkude. Ni muda mrefu sasa mchezaji huyo mlevi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ikungi tunasema asante Waziri Mkuu Kasim Majaliwa

    IKUNGI TUNASEMA ASANTE WAZIRI MKUU MHE. KASIM MAJALIWA MAJALIWA. Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro amemshukuru waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kasim Majaliwa Majaliwa kwa kufanya ziara ya ukaguzi na kisha kuweka mawe ya msingi ya chuo cha mafunzo ya ufundi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Asante speaker wetu mh Tulia Ackson mwansasu kwa mchango wako wa mabati mbozi

    Ndugu zanguni sote tunajuwa ya kuwa my Tulia no mbunge wa mbeya mjini, lakini katika Hali iliyowaacha Wana mbozi mdomo wazi Ni pale mh speaker alipokuja Jimbo la mbozi na wadau wake wa silent ocean na kuweza kusaidiaa mchango wa mabati karibu Mia mbili ili kuezeka vyumba vya madarasa katika...
  11. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Asante Comrade Kinana, ni kweli Serikali ijenge barabara ya lami njia nane, Dar -Songwe

    Comrade Kinana ndio kiongozi wa kwanza wa ngazi za juu kabisa katika ungozi wa CCM kujionea kero za barabara iliyosuswa na Awamu kadhaa( kuanzia alipochaguliwa Waziri wa Ujenzi-Magufuli, Awamu ya Mkapa) katika ujenzi wa barabara nchini. Hapa mtandaoni tumelalamika sana , bila mafanikio, ubovu...
  12. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana Azam!

    Kuhusu Historia iliyowahi kutokea hapo zamani iitwayo Ottoman empire/Osman, nilikuja na ombi la kuongezewa muda sisi kama wadau na wafuatiliaji wa tamthilia hii inayopendwa, inayosisimua na kufuatiliwa na watu wengi. Sina budi kuwashukuru Azam tv, kwa kulifanyia kazi ombi langu, si mimi tu...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Mwinyi, makandarasi wazawa tumekusikia!

    Baada ya sintofahamu ya kutimua makandarasi Zanzibar, leo Rais Mwinyi katoa tamko la kuwapoza makandarasi. Akiweka jiwe la msingi hospitali iliyojengwa na mkandarasi mzawa, amesema ataendelea kuwapa zabuni makandarasi wazawa miradi ya serikali. Hilo tunalipokea kwa moyo wa furaha, maana ndio...
  14. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

    Hii ndio iliyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivyo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakati.
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Makala zangu elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa", Makala ya leo ni jinsi Rais Samia alivyo ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Rais Samia, Akifanikiwa kwenye hili, atabarikiwa sana na taifa la Tanzania, litabarikiwa! Natoa wito kwa wote...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Katika umri wangu wa miaka 84 leo ndio nayaona maji ya bomba Bumbuli, ahsante awamu ya 6

    Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, mzee Makamba ameishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kuwaletea maji ya bomba Bumbuli. Mzee Makambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akina mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani. Source: ITV
  17. DALA

    JamiiForums Tanzania Asante Sana Urusi, Asante sana Vladimir Putin kwa kusimama kiume dhidi ya Mafedhuli

    Hivi umewahi kufikiria dunia ya leo ingekuwaje bila Urusi? Kwamba Marekani na washirika wake ndo wangekuwa na nguvu ya kusema na kutenda wanavyotaka ingekuwaje? Kwamba kila azimio kwenye baraza la Usalama wa UN turufu angekuwa nayo Marekani peke yake ingekuwaje? Hivi bila nguvu ya kijeshi...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia, Sasa ajira ni za kumwaga vijana wanafanya kazi tofauti na miaka mitano iliyopita

    Nakumbuka miaka mitano iliyopita ilikuwa ya matusi kwa vijana eti wajiajiri kinara wa kutamka hivyo akiwa ni rais na Ndugai. Sasa mama kaona Kulikuwa na tatizo mahara na Sasa both prive sector and public sector ziko active kutoa ajira. Kila aliyesoma angalau ana cha kufanya hata kama hakikidhi...
  19. Mjomba ni Mama

    JamiiForums Tanzania Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru TAMISEMI kwa utendaji kazi bora

    Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru TAMISEMI kwa utendaji kazi bora uliotukuka hakika nyie ni mfano wa kuigwa. Tunatarajia mtatenda haki kuelekea wiki hii ya kuachia post za waliopata ajira
  20. britanicca

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

    Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa...
Back
Top Bottom