Wakuuu habari za saizi
Samahani natafuta audio au video ya wimbo wa uyu dada anaitwa Christina Mbilinyi inaitwa "Asante Jehova".
Lyrics zake ni kama
... Moyoo wanguu
Hatuwezi kunyamaza
Yake ulonitendea , yananitoa machozi
Asantee asantee asantee Jehovah...