Sohan asali (Persian: سوهان عسلی, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.
Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania.
Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake...
asali
chawa
cost
hadhara
kitendawili
mama samia
mbowe
mikutano
mikutano ya hadhara
nani
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
samia suluhu
serikali
uwajibikaji
MADAI
Kumekuwepo na picha inayozunguka mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo kukiwa na chombo chenye asali ndani yake.
Ukweli wa picha hii upoje?
Picha inayodaiwa kuwa na chombo chenye asali
Picha...
Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote.
Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiangalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake.
Nimejiuliza maswali mengi bila majibu.
Kwa...
Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.
Upinzani imara ndio hufanya Serikali ya CCM yenye utendaji imara na wenye hofu Kwa Umma na tija Kwa wananchi. Pia usikivu na uwajibikaji wa haraka na majibu haraka ya kero mbalimbali
Kimsingi imani iliyopo ya hayo maridhiano ambayo ni maridhiano uchwara, pengine msingi wake ni kumponya Mbowe...
Ndugu zanguni, nimemsikiliza Mh. alipokuwa akiwahutubia Wana Diaspora Marekani. Moja kati ya masuala aliyozungumzia ni Katiba mpya. Nilichotambua ni kwamba, kama tutatembea kwenye mawazo yake, Katiba mpya haitapatikana leo wala kesho. Labda kizazi kingine huko mbeleni.
Kwa sababu kila...
Tunamsakizia Mbowe na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran. Tunataka Lissu na Mbowe wafe peke yao.
Toka hadharani tupigwe risasi 16. Sisi, mimi na wewe tu maJioga tunajificha kwenye ID fake hapa JF...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe wakati akiongea na Diaspora nchini Marekani leo amesema anakasirishwa na wanaosema amelamba asali ili kumfanya akae kimya, na kusema hilo ni kama tusi kwake lakini anavumulia kwakuwa ni sehemu ya harakati.
"Nimekuwa nikifuatilia mijadala katika...
Ukisikia mtu kupagawa ndio huku sasa!
Walamba asali wamechachamaa baada ya jina pendwa la January makamba na Nape Nnauye walamba asali wakuu na walamba asali kwa ujumla kupigwa chini!
Kwa Yale yanayowatoka wastaafu inatupa kuanza kuamini kwamba, nguvu yao ndani ya chama ni ya Mashaka Mashaka...
Wakuu, Msiombe Mwanafamilia kusimama aseme Ukweli na kukemea maovu yanayoendelea ndani ya familia
Unaambiwa utaitwa Kila jina, mchawi wewe, huna shukran wewe, msaliti wewee n.k !!
Ndiyo hayo anayopitia Mh na Dkt Bashiru !!
Dkt Bashiru kaamua kutumia sauti yake kufikisha ujumbe wa...
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.
DKT BASHIRU, SONGA MBELE
Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.
Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.
Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
Asali ni chakula kinachotumika kama dawa ya magonjwa mengi. Hutibu vidonda, kikohozi, huondoa sumu mwilini, ni chanzo bora cha nishati pia hutumika kwa kazi nyingi za urembo.
Ukipita mtandaoni utaona baadhi ya makala zikiweka marufuku ya kuwapatia watoto wachanga asali. Jambo hili linaleta...
Naona Mbowe asali aliyopewa ilikuwa ya kuonjeshwa haijamtidhisha ameanza chokochoko za Kizee ili apewe asali nyingine tena lkn mimi namshauri Samia aendelee kumpa asali ya kuonja ili awe mvumilivu
ukifika wakati wa kumpa ya kunywa achanganye na Alovera hii ni chungu ataitema japo vile...
Kama heading inavyojieleza,
Kwa siku hizi mbili nimeshuhudia nyuzi pamoja na post nyingi katika mitandao ya kijamii yenye malengo ya kumchafua Waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa Kassim wakimtuhumu kuwa ndiye anayemwangusha namba moja.Baadhi ya post zimekuwa zikimtuhumu kwamba amekuwa huchukui...
Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa uzalishaji wa asali lakini hawajui yalipo masoko ya kimataifa. Ni muhimu kufahamu kuna nchi 24 duniani zinazovutiwa na asali ya Tanzania ambako wajasiriamali wanapaswa kuanza kutafuta fursa zilizopo.
Upatikanaji wa soko la mazao ya nyuki yanayojumuisha asali...
Ndugu wanaJF
Jumamosi (01/10/2022) nilileta uzi jukwaani nikiomba kwa aliyetangulia kubarikiwa pesa, aniwezeshe nauli niende kwenye usaili kule kwenye makao makuu ya nchi (kibiashara na Ikulu). Wadau wawili waliniwezesha kiasi cha Tshs 25,000/=.
Baada ya wezesho hilo, nikawa na pungufu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.