asali

Sohan asali (Persian: سوهان عسلی‎, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wajirudi kuitambua TCD. Wamkubali Zitto

    Leo tarehe 28 Machi 2023, kikao cha wakuu wa vyama wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kilifanyika katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na lengo la kujadili jinsi ya kuendeleza mageuzi ya kisiasa nchini. Katika kikao hicho, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha...
  2. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Je, hii kauli ya Lissu ni kukosa hekima, kutokujali au ndio changa la macho kwa wananchi baada ya tuhuma za kulamba asali?

    Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni. Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini? Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ruzuku na asali za CCM ndio zimetufanya kusahau michango ya makamanda? Hiki kiburi cha muda kitaisha tu

    Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha? Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa? Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto kabwe na genge lako kama mnatuonea wivu na nyie ombeni asali mulambe. Mbona mnamsakama Mbowe?

  5. JF Member

    JamiiForums Tanzania Siasa za Kulambisha Asali zinaangamiza Taifa bila kujua

    Amini naawaambieni mambo ni Magumu mno huku kitaa lakini tuliozoea kutusemea wameshalamba asali na hawajui wafanye nini. Wametugeuka sasa wanaona kazi zetu za bodaboda na uvuvi ni za hovyo. Bei za vitu zimepanda sana na Serikali imelala. Wapambe wanahakikisha Rais hajui mambo ya nchi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais wapunguzie kina Mbowe asali, wamepagawa

    Mheshimiwa Rais, Shikamoo. Pole na hongera kwa majukumu mazito ya kujenga Taifa. Nakuandikia andiko hili kukuomba kwa heshima na taadhima kubwa kwamba , Mheshimiwa. Tafadhali, Tafadhali sana. Sana sana. Wapunguzie akina Mbowe na genge lake asali. Inawalevya, Wanapagawa na wanafanya mambo mpaka...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyekuwa akihonga wapinzani kama Hayati Magufuli (kuwalambisha asali)

    Kuna watu wanadai eti Magufuli alikuwa anataka upinzani imara tofauti na Samia ambaye inadaiwa amewalambisha asali. Napenda kuwakumbusha hawa wenye kumbukumbu fupi kuwa hakuna rais aliyetumia nguvu kubwa ili wamsifie kama Magufuli. Magufuli alikuwa akinunua madiwani na wapinzani kwenda CCM na...
  8. system hacker

    JamiiForums Tanzania Kama vile Tanzania ni asali na maziwa ya watu wale wale wachache sana kwenye watu milioni 62!

    People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle. Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less. Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe. Wameshapigwa ki ufasaha...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Asali mbichi ya nyuki wadogo

    Wakuu kwema, samahan nahitaji asali mbichi ya nyuki wadogo nipo mwanza
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

    Kitwanga anasema kuna kundi ambalo limejipenyeza kwa rais na kila mahala linamshauri vibaya Rais. ========== WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amesema kuna kundi linalomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan ambalo limekuwa likiweka vigingi kwa watu, wakiwamo wataalamu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini aitwe shujaa katikati ya wenye wivu na wazembe wala rushwa na kulewa asali?

    Ni kwa sababu moja tu! JPM, hakuwa mvivu, ni mtu aliyekerwa sana vinchi vidogovidogo kuwa juu yetu kiuchumi, Uchapakazi wake na kasi yake; maono makubwa na ya mbali kuliko ilivyotarajiwa na wengi! Ilimfanya atrend haraka na kueleweka kwa kila mtanzania mwenye akili timamu bila kujua kwamba hilo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Asali tamu iliyomtosha Freeman Mbowe sasa anaanza kupewa Tundu Lissu

    "Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. ..................................................................................  CCM Kila la Kheri...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wanajifungia kwenye viyoyozi wakilamba asali walalahoi wakishindwa kupata mlo mmoja

    MTANZANIA Mzalendo, Mussa Okoko amewatupia lawama Mawaziri kuendelea kulamba asali huku walalahoi wakishindwa kupata mlo japo mmoja kwa siku "MCHELE KILO MOJA 4000 UNGA KILO 2000 MAHARAGE KILO 4000,DAGAA KILO 7000,NYAMA KILO 10000 MCHICHA FUNGU 600, MAWAZIRI WANAJIFUNGIA KWENYE VIYOYOZI...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu na CHADEMA watautafuna mfupa uliowashinda wengine

    Mheshimiwa Lissu kaingizana nchini jana kama farasi wa ngongo. Mapokezi yake tu ni ishara tosha kuwa huyu ni mtu wa namna gani kwa watu wake. Kwenye hotuba yake mara tu baada ya kuwasili, anawaongelea waziwazi watanzania wote. Matatizo ya bei za vyakula, mzigo wa matozo na kodi ni shida kwa...
  15. mtetezi wa MAGU

    JamiiForums Tanzania Asali aliyolambishwa Mbowe na Rais Samia ni sawa aliyolambiswa Adam na Eva

    Kwa wale Wasomaji wa Biblia wanaungana na mimi, Eva alifanikiwa kumshawishi Adam hata akatenda kile ambacho alikatazwa kukifanya, maneno matamu Eva (ASALI) yalimshawishi Adam kutokumtii Mwenyezi Mungu nakujikuta ameanguka dhambini. Lakini Pia Delila alifanikiwa kumshawishi na ASALI Samson...
  16. love life live life

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkitaka kuungwa mkono jiungeni na Sukuma Gang

    Ni ushauri wa bure kwa CHADEMA, mmemtukana sana Hayati ridhikeni sasa tafteni kuungwa mkono na hao Sukuma Gang. Hamkuona wenzenu rufiji wakitaja jina la hayati watu wanalipuka kwa shangwe!?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  18. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekucha: Waliokuwa wakilamba asali mkao wa kuliwa

    Ama kweli kutesa Kwa zamu. Haya si kwa majirani tu bali hata kwetu wajiandae: “They were very vocal in telling Kenyans not to vote for thieves yet they were the real thieves." Hawa siyo kwao tu hata kwetu wapo: “We will not pay for that loan since farmers did not approve it,” he said...
  19. Valencia_UPV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto et al., waanza kulamba Asali

    Kibera endeleeni kupambana na maisha
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA tusikenue mikutano ya kisiasa haitatusaidia kisiasa. Kashfa ya kulamba asali ilishatumaliza

    Tuna nini cha kuwaambia wananchi? ~ Tunapinga ufisadi? ~ Tunapinga uharamia wa tozo? ~ Tunapinga vipi wakati tunalamba asali na wanaokandamiza wananchi?
Back
Top Bottom