Karibuni nauza Unga wa Mbegu za Maboga Pure 100% haujachanganywa na chochote.
Unga huu una faida kemkem kwa afya zetu na kwa umri wowote. Kama vile umsaidia Mama anayenyonyesha Kuongeza maziwa, kinga na dawa bora dhidi ya Kisukari na Shinikizo la Damu, kinga dhidi ya tezi dume n.k
Bei ni...