arusha

  1. Uporaji pesa za mkopo za wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)

    Imekuwa ni utaratibu wa chuo cha uhasibu Arusha kukata kiasi cha pesa cha chakula na matumizi mengine(Boom) kwa wanufaika wake kila mara wanapotakiwa kuwapa kwa muda wa kila baada ya miezi miwili, ambacho ni kiasi cha tsh 500,000 kwa kila baada ya miezi miwili. Lakini wamekuwa wanawacheleweshea...
  2. Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  3. Arusha: Freeman Mbowe avishwa vazi rasmi la kimila la Wamasai na kusimikwa kuwa kiongozi wao

    Kama tulivyoahidi kuwa nanyi bega kwa bega katika kipindi hiki ambacho Chadema imekuja na mkakati mpya wa OPERESHENI HAKI , basi leo tena Tunaendelea kuwapa uhondo na taarifa mbali mbali za yanayoendelea huko Arusha kwenye vikao vinavyoendelea. Mpaka hivi ninavyoandika hapa tayari Mwamba Mbowe...
  4. Arusha: Kiwanda ‘bubu’ kinachozalisha pombe kali chakamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Sakina ambaye ni msimamizi wa kiwanda bubu kinachozalisha pombe kali na kumkuta akiwa na vitu mbalimbali ikiwemo stika 340 za TRA, chupa 483 za pombe kali, mtambo wa kutengenezea pombe hiyo pamoja na pipa lililojaa pombe kali...
  5. CHADEMA yawasha moto Arusha. Mbowe azindua Mkakati mpya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE FREEMAN...
  6. M

    Barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha dhidi ya Mtumishi wa TRA anayekula rushwa wazi

    Wanabodi salaam Hii ni barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha wakilalamika bwana mmoja, huyu jamaa bado yupo enzi zile za pontio plato za kutishia watu ili ajipatie fedha, anakufanyia upepelezi feki ili iwe rahisi kukufanya utoe fedha Taarifa za uhakika huyu bwana ana ukwasi mkubwa na...
  7. Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni

    Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni isiwe porini ukubwa uwe 10x15 au 15x15 bajeti yangu kwa kila kiwanja ni sh mil 2 kushuka chini. Kama unamfahamu aliye nacho njoo DM au nishtue. viwanja hivyo vinatakiwa mpaka wmezi wa 7 viwe vimepatikana.
  8. F

    Natafuta kazi yoyote halali kwa Arusha

    Mimi ni Civil technician kutokana na uhaba wa contract za ujenzi kwa sasa niko mtaani naombeni kwa yoyote anayeweza kunisaidia kazi yoyote halali. Note sichagui kazi hata kama unataka kazi ya kibarua sehemu niko tayari kufanya.
  9. T

    TARURA Arusha (Wrong Parking) Wala Rushwa

    Hawa jamaa wakikukamata kwa kosa la kupaki gari vibaya (wrong parking) ukienda kulipa ofisini kwao (zilipo ofisi za TEMESA/UJENZI), wanaomba rushwa waziwazi bila kificho wala aibu. Dau lao ni 30k (faini ni 50k). Mpokeaji ni mama mmoja anaye-register magari yanayoingia kwao.
  10. Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

    Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi Jaji Mkuu: DPP ni chujio la kwanza la haki Prof. Ibrahim Juma...
  11. Mfanyabiashara Monaban ashikiliwa na Polisi kisa ugomvi wa ardhi

    Mfanyabiashara maarufu jiji la Arusha Philemon Mollel (Monaban)anashikikiwa na polisi kutokana na ugomvi wa kugombea eneo lililoamuriwa na mahakama. Monaban alilazimika kufyatua Risasi hewani akipinga kunyang'anywa eneo alilowekeza kituo cha Mafuta baada ya mahakama kutoa hukumu kwamba si...
  12. CHADEMA tayari kuuwasha moto. Arusha mpo?

    Kilimanjaro na Manyara mkae tayari, the game is about to start, Mama waamshe wanao waambie Makamanda wameingia Mjini tayari kukiwasha, hii haifi ina tabia ya kusinyaa tu ikimwagiliwa kidogo inakuwa mbuyu.
  13. Arusha: Mrisho Gambo awapatia msaada wa vyakula Wajane 160 kwa ajili ya sikukuu ya Eid-el-Fitr

    Kina mama wajane wapatao 160 kutoka kata nne za jiji la Arusha wamepatiwa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Iddy. Msaada huo umetolewa na Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mrisho Gambo baada ya kutambua uhitaji wa kina mama hao ambao wengi wao wanaumri mkubwa na...
  14. M

    Hili suala la wastaafu kupeana Mahekalu, Mwalimu alisema ipo siku Watanzania watalidai Azimio la Arusha

    Katika kizungumkuti hiki kinachoendelea leo, Wakubwa wanapeana Mahekalu na Mabenzi wakati wanananchi mamilioni kwa mamilioni wanatopea kwenye lindi la umasikini, Imenikumbusha kauli ya mwalimu Nyerere kuwa ipo siku wananchi Watasimama na kulidai tena Azimio la Arusha! Binafsi ninajua kuwa...
  15. ARUSHA: Wafanyakazi Naura Hotel na Impala waandamana kwa Mabango kuilalamikia Mahakama

    Wafanyakazi zaidi ya 200 wa hotel za Naura Spring na Impala za jijini Arusha wameandamana katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakilalamikia mwenendo mbaya wa mashauri yao ya madai yaliyopo mahakamani unaolenga kuchelewesha haki ya kulipwa Madai yao yanayofikia kiasi cha sh,milioni 700...
  16. Ndoa ya binti wa TB Joshua yafungwa Arusha, tarehe 08/05/20202

    Mtoto wa Muhubiri maarufu TB Joshua, Serah Joshua leo anafunga ndoa na Brian Moshi wa Sinoni mkoani Arusha. Picha wakiwa wanatoka katika nyumba ya Mapadri wa Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria Unga Limited, wakijiandaa kuingia kanisani. Picha na Daniel Sabuni. Mtoto wa TB Joshua, Serah...
  17. Kumbukizi ya miaka 4 ya ajali ya watoto wa Lucky Vincent iliyotokea Arusha mwaka 2017

    Simanzi na majonzi kutoka kwa wazazi, walimu na wanafunzi wa St Lucky Vincent katika kumbukumbu ya ajali iliyouwa watoto 32, walimu wawili na dereva mmoja mnamo Mei 6 2017. Mamia ya watu walihudhuria katika ajali hiyo iliyo tokea mei 6,2017 katika wilaya ya Karatu mkoani Arusha ambayo iliibua...
  18. Nanunua mahindi bei 350/kg nipo Arusha

    Habari wadau wa nafaka nanunua mahindi yawe yamekauka vizuri sana yasiwe na uchafu bei ni 350/kg malipo ni baada ya kushusha mzigo. Tupo Arusha tunanunua kuanzia tani 10, mahitaji yetu ni tani 100. Mawasiliano 0622115570/0784418789
  19. Urgently Sales people Needed (Mbeya, Mtwara and Arusha)

    Habarini Wakuu, Urgently Sales people Needed as specified Location above, Please forwards your CV to mkisidamalizi@gmail.com before 8/05/2021 . Please specify your currently location on your Mail. Company; Keeway Motor Tanzania Ltd. Location; Mbeya, Mtwara and Arusha. Position: Sales Personal
  20. B

    Bila rushwa hupati cheti cha Kifo au Kuzaliwa RITA mkoani Arusha

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba kupata cheti cha kuzaliwa au kifo kutoka ofisi ya kutoa vyeti hivyo (RITA) Mkoani Arusha ni shughuli kubwa sana. Ukifika mara ya kwanza unakuta foleni ndefu ya ajabu. Ukifanikiwa kuwakuta watendaji unapewa namba ya kulipia (Kontro namba) ukisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…