arusha

  1. JamiiForums Tanzania Namtafuta mwalimu wa kunifundisha kupiga Kinanda Arusha

    Habari za muda huu ndugu zangu, namtafuta mwalimu wa kunifundisha kupiga kinanda Arusha, akiwa maeneo ya mjini itakuwa vizuri zaidi, lakini pia akiwa nje ya mji sio mbaya. Kama upo au kuna shule maalum kwa ajili ya kufundisha kupiga vyombo vya muziki, naombeni mniunganishe na muhusika au...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Arusha bado kuna vibaraka wa Mkurugenzi Pima, mkinyamaza Arusha bado si salama

    Licha ya Kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr John Pima na Wenzake wanne amefikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi bado kuna baadhi ya vishoka ambao wamesalia ambao wakiendelea kuachwa wataharibu kabisa jiji la Arusha Na hili nakuomba sana viongozi wa Chama cha mapinduzi na...
  3. JamiiForums Tanzania Arusha: Mwandishi wa habari mwingine adaiwa kupelekwa kusikojulikana

    Breaking News: Mwandishi wa Habari Mkoani Arusha, Lilian Oddo ambaye anafanya kazi na mwandishi wa Wasafi tv Bw. profit Mmanga, na yeye amekamatwa akiwa maeneo ya darajani/vibandani njia ya kwenda Kwa Morombo Jijini Arusha, na amepakiwa kwenye gari nyeusi ambayo ndani yake yupo Profit, bado...
  4. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari wa Wasafi Media - Arusha, Potte Mmanga adaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana

    Mwandishi wa habari wa Wasafi Media Arusha, Potte Mmanga anadaiwa kukamatwa mchana huu nyuma ya Chuo cha Technical College na watu waliojitambulisha kwake kama askari polisi wakidai wanampeleka ofisi ya RCO kwa mahojiano. Ofisi ya RCO Arusha imesema haina taarifa za kukamatwa kwake. Chanzo...
  5. JamiiForums Tanzania Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema wakazi wa Ngorongoro wanabomoa makazi yao kwa hiyari, Wakazi 296 wajiandikisha kuhamia Tanga

    Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kueleza kuwa imekamilisha maandalizi ya msingi katika makazi mapya yaliyopo Handeni Mkoani Tanga, ambapo yanatarajiwa kutumiwa na Wananchi watakaohamishiwa hapo hivi karibuni, Serikali imezungumzia jinsi Wakazi wa Ngorongoro wanavyoboa...
  6. JamiiForums Tanzania RPC Arusha tuoneshe homicide scene evidence ya askari aliyeuawa

    Ma RPC wana kawaida ya kuja kwenye press conference kuonyesha mabunduki ya majambazi, masimu yaliobiwa, ma cash money, mikuki, mapanga, na kuyabwaga mezani pwaaaaa..... Sasa kuna polisi kauliwa Ngorongoro, allegedly. KABLA hujagusa maiti na kuibeba polisi na wachunguzi duniani kote...
  7. JamiiForums Tanzania RECTOR - 1 POST at Institute of Accountancy Arusha (IAA)

    POST RECTOR – 1 POST EMPLOYER: Institute of Accountancy Arusha (IAA) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-10 2022-06-23 JOB SUMMARY The Rector must have proven experience to develop and coordinate the implementation of academic vision for an institution of higher learning coupled with possession of...
  8. JamiiForums Tanzania RPC wa Arusha hii nguvu unayoitumia kutafuta waliomuua Askari Ngorongoro kwanini hukuitumia mwanzoni kuzuia kuibuka kwa huo mzozo?

    Kwahiyo ukishawapata ndiyo wataenda kuirudisha pumzi na uhai wa huyo Askari Polisi wenu aliyeuwawa? Na wala GENTAMYCINE hapa sitetei au sifurahii huko kuuawa kwake na nimesikitika kuuliwa ila nimesikitika zaidi kuona leo hii Jeshi la Polisi Arusha linatumia nguvu kubwa ya Kijeshi katika...
  9. JamiiForums Tanzania Hali ya hewa Arusha ni baridi sana leo

    Nimekuja jana ila leo hali inatisha sana. Yaani kuna baridi kiasi cha kwamba unatamani usitoke room katika hotel niliyofikia. Wenyeji huwa mnakabiliana na hali hii kwa mbinu zipi wazee?
  10. JamiiForums Tanzania Arusha Jiji msipowaondoa chawa wa Pima, mtaendelea kuumia

    Arusha kuna mambo Sana Baada ya PM kumpiga chini Mkurugenzi Wa Jiji la Arusha John Pima, kwa tuhuma za upigaji akishirikiana na Wachumi 3 na mweka hazina ambao wamehamishiwa Arusha hivi karibuni kimkakati, kumeibuka kikundi Cha CHAWA wake Pima ambao kila kukicha ni kuchafua viongozi wengine...
  11. JamiiForums Tanzania Taarifa za Rushwa zakithiri Arusha, nini kinapelekea vitendo hivyo kushika kasi Mkoani humo?

    Matukio ya Rushwa yanaripotiwa kwa wingi Mkoani humo, na takwimu za Januari - Machi 2022 zinaonesha kati ya Taarifa 114 zilizopokelewa na Mamlaka, 91 zilihusu Rushwa Katika Taarifa hizo, Uchunguzi wa Majalada 63 unaendelea na mengine 28 Uchunguzi wake umekamilika. Taarifa nyingine 23...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Matairi Arusha tuliambiwa kingeanza kufanya kazi, nini kinaendelea?

    Bajeti ya 2020/2021 tuliaminishwa kuwa kiwanda cha General Tyre cha Arusha kingekarabatiwa ili kiwanda kianze kuzalisha matairi. Mpaka sasa ni kimya na sisi wananchi hatuji kinachoendelea.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Binafsi vinalipa mishahara midogo sana

    Kichwa cha habari chahusika. Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato...
  14. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo, anza ziara ya kuaga wana Arusha, hakuna namna 2025 utarudi katika Ubunge

    Buriani Mrisho Gambo! Hiyo ndio kauli pekee inayomstahili Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Baada ya "kukusoma" upepo wa SSH kwamba 2025 hakuna mbeleko, ameanza kutapatapa na kumlaumu Kila anayemuona mbele yake. Sasa analaumu hata maafisa wa chama ambao walikesha usiku na mchana kumpigia...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ivunje Baraza la Madiwani Jiji la Arusha

    Sakata la Mkurugenzi Jiji la Arusha, Halmashauri inapaswa kuvunjwa Jana Mbunge wa Michongo wa Arusha mjini alisikika akilalamika mbele ya Waziri Mkuu kuhusu tuhuma kadhaa ambazo zinamkabili Mkurugenzi wa Jiji! Mosi huyu Mbunge akumbuke kuwa hana uadilifu wa kukemea ufisadi wa aina yoyote maana...
  16. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo ni Kirusi hatari anayetafuna viongozi Arusha

    Mkurugenzi wa jiji Dkt John Pima ni miongoni mwa viongozi 9 walioangukia mikononi mwa Gambo katika vita wasioshinda. Viongozi wengine ambao Gambo aliowatengenezea ajali na kuondolewa Arusha ni pamoja ,Mpanda aliyekuwa katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha, Ntibenda aliyekuwa Arusha,Daqaro aliyekuwa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, ukistaajabu ya Arusha wanaojua ya Tanga wanakushangaa

    Huko jijini Arusha waziri mkuu Kasim Majaliwa amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wapishe uchunguzi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi. Baadhi ya tuhuma hizo zilizoelekezwa kwa mkurugenzi na timu yake ni kugawana fedha za umma na kuingizia fedha hizo kwenye akaunti binafsi za watumishi...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yaombwa kumchunguza Mrisho Gambo juu ya utata wa Ufisadi wa kutisha alioufanya Arusha

    Mradi wa bodaboda 2017 - 2020 pesa za wadau wa maendeleo gambo na genge lake walikusanya bila kamati pikipiki 200 kila moja 2,100,000. Bila kamati na kwenye kampeni alisema pesa ziko bank kwenye account ya NMB na paka Sasa azipo na hakuna kilicho fanyika mtu uyu aivumiliki na akisema ya watu...
  19. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mrisho Gambo, ufisadi wako tunautambua

    BARUA YA WAZI KWA MRISHO GAMBO Asalaam Aleykum, Mheshimiwa mbunge wangu wa Arusha Mjini, kwanza nikupe pole kwa majukumu ya kututumikia wananchi wa Arusha mjini na pia najua utakua umechoka kwa ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu hapa kwetu Arusha. Mheshimiwa mimi ninayo machache ya kukwambia siku...
  20. JamiiForums Tanzania Mwamposa, Lusekelo na Mitume wengine: Tenda ya kuyaondoa mapepo yanayorusha mawe Arusha!

    Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa. Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli. Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw. Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine. Tenda hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…