arusha

  1. T

    JamiiForums Tanzania Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

    Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi. Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara Swali...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Vifo barabara ya kijenge, nakuomba mkuu wa Mkoa ingilia kati

    Naandika kwa majonzi sana hawa ndugu zetu wa huku Arusha nao wamebahatika kuwekeawa lami mwaka huu japo ni nusu mradi kamili wa kuifikisha lami inapotakiwa kuishia bado aujakamilika. Lami hii sasa imekuwa ikileta huzuni baada ya furaha kwani waendesha bodaboda wa huu mtaa wameigeuza rami hii...
  3. JamiiForums Tanzania Immigrant in Arusha TZ looking for a Business Partner

    First, I want to introduce myself. My name is Emilian, I am eighteen years old, I'm from America and I am currently in Arusha, staying with a friend. The area of Arusha I am staying is North of Usa River and Maji ya Chai, nearby the University of Arusha. I am currently trying to become a...
  4. JamiiForums Tanzania Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

    Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali. Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania. Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika...
  5. JamiiForums Tanzania Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

    Kwa miaka mitatu mfululizo niliamua kufanya utafiti wa kina maeneo ya Arusha, Mbeya na Mara, utafiti huu ulikuwa hasa ukiangalia kwa ukaribu maisha ya Nyokaa, Kenonke na Jombi. Nilikaa maeneo hayo yote kwa miezi 6, kuzungumza na watu waliokaa na hii miamba, wahanga wa matukio ya hawa jamaa nk...
  6. JamiiForums Tanzania Njaa Arusha; watu waanza kuiba hadi ugali Meru

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wananchi wa Meru Arusha wamepigwa na butwaa kwa vitendo vya udokozi na wizi wa vitu mbambali pamoja na vyakula vya aina mbalimbali vilivyoiva au vibichi. Kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kuibiwa hasa jikoni na kuibiwa vyakula kama ugali, ndizi, karoti na...
  7. JamiiForums Tanzania Dar to ARUSHA Leo usiku kurudi J2 usiku

    Wandugu ni nani Ana mpango WA kwenda Arusha na private leo usiku au kesho? Haka ka mda tukaone Familia.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Internship bila malipo kwa wakazi wa Arusha wilaya meru

    Wana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship haina incentives au malipo yoyote ni kazi ya kujitolea kwa wanaotaka kujifunza kazi. tumeni c.v...
  9. JamiiForums Tanzania Wale Chinja Chinja wa Arusha wasiojulikana, Waanza kujitaja. Albadiri inafanya kazi

    Salaam Wakuu, Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja. Je, Polisi watachukua hatua yoyote? Pia soma: - Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa - Kada...
  10. JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu Dkt. Geordavie kuwashika mkono wafanyabiashara zaidi ya 5000 soko la Samunge, Arusha

    . Zaidi ya wafanyabiashara 5,000 wanaofanya biashara katika soko la Samunge jijini Arusha wanataraji kupatiwa mitaji ya kuendesha biashara zao na mhubiri maarufu nchini Nabii Mkuu Dkt GeorDavie. Mbali na kupatiwa mitaji hiyo pia mhubiri huyo anataraji kutoa msaada wa kukarabati miundombinu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Marasta Arusha kuvuliwa ubingwa na Wazungu watalii

    Hii ni fedheha kubwa kwa vijana Marasta wa Arusha kuutweza utu wao kwa ujira kiduchu wa Dola toka kwa watalii. Inakuaje kijana unajidhalilisha kisa pesa/pombe? NB: kazi (Halali) kipimo cha utu Kuliwa KANDE si ujanja
  12. JamiiForums Tanzania Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

    .
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha la kumbwa na hitilafu ya maji

    Mpaka sasa mamlaka ya maji “AUWSA” hawajatoa tamko lolote lile hali inayopelekea wakazi wa jijini hapo kubaki na sintofahamu. 1. Maji yamekuwa na mgao kama ambavyo imekuwa kwenye umeme. Bila shaka hawana jenereta. Utegemezi kwa Tanesco. 2. Hata pale maji yanapotoka yamekuwa na chumvi isivyo...
  14. JamiiForums Tanzania ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

    Hakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu. Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele...
  15. P

    JamiiForums Tanzania English course Arusha

  16. JamiiForums Tanzania Serikali: Mikoa ya Tanga, Arusha, Mwanza, Pwani na Geita ina viashiria vya Ugaidi

    Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani. Pia, kuna dalili ya kuenea kwa itikadi za msimamo mkali zinazopelekea watu kuhamasika na kujiunga na...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi Arusha watimua Askari watatu kwa utovu wa nidhamu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewafukuza kazi askari wake watatu kwa kosa la kwenda kinyume na maadili ya jeshi hilo. Aidha, limewatahadharisha wengine wenye tabia kama hizo kuziacha. Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Septemba 15, 2022 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa simu za Samsung Arusha

    Habari za mchana ndugu zangu, Nina Samsung S9 Plus imeharibika kioo sasa ninataka aidha kurudishia kioo au kupata fundi wa kurecover contact zangu zilizopo kwenye hiyo simu. Niliisajili online na nilikuwa nafanya backup online ila sijui kama kuna jinsi ya kurestore hiyo backup bila kutyumia...
  19. JamiiForums Tanzania Wapi wanafanya Diagnosis ya Magari Arusha Mjini

    Wakuu Salaam Kama heading inavojieleza , ni wapi hapa Arusha mjini wanafanya Diagnosis ya Magari
  20. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi wakamata Kilo 390 za Mirungi, 70 za Bangi na Pikipiki 11 za wizi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…