arusha

  1. JamiiForums Tanzania Arusha: Hekari 101 na Magunia 482 za Bangi zateketezwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na dawa za kulevya imeteketeza jumla ya hekari 101 za mashamba ya bangi sawa na kiasi ya kilo 550 za bangi mbichi pamoja na magunia 482 ya aina hiyo ya dawa za kulevya katika eneo la Kisimiri juu kata ya Uwalu, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Ukamataji huo...
  2. JamiiForums Tanzania Arusha: Aliyejeruhi mke anyimwa dhamana

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limemfikisha mahakamani mtuhumiwa Isaack Mnyangi (45)Mkazi wa Sombetini Jijini Arusha na kusomewa shtaka moja la shambulio la Kudhulu Mwili. Mbele ya Hakimu ,Jenifa Edward wa mahakama ya wilaya Arusha,katika kesi namba 80 ya mwaka 2023,mwendesha mashtaka wa...
  3. JamiiForums Tanzania RC wa Arusha, Mongella: Aliyemfanyia ukatili Jackline atashughulikiwa haijalishi ni Mwana-CCM

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo wamefika nyumbani kwa mwanamke aliyedaiwa kupigwa na mume wake kwa kung’olewa jino kwa praizi pamoja na kutobolewa jicho kwa bisibisi. Mongella amesema “Viongozi wote wakuu wa Nchi wameshtushwa na taarifa...
  4. JamiiForums Tanzania Arusha: Aliyemng'oa jino na kumjeruhi mke wake akamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha Mei 27, 2023 limefanikiwa kumtamata mtuhumiwa aitwaye Isack Robertson (45) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi mke wake aitwaye Jackline Mkonyi (38) mkazi wa Sombetini jijini humo. Akitoa taarifa hiyo leo Mei 28, 2023 Kamanda wa...
  5. JamiiForums Tanzania Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

    Mwanamke Mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Jackline Mnkonyi mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa Sombetini Jijini Arusha mei 23 mwaka huu majira ya saa 5 usiku alipata kipigo kikali kutoka kwa mume wake ikiwa ni pamoja na kung’olewa meno mawili na kutobolewa jicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Arusha kupumzika/kuenjoy

    Wapendwa nahisi dunia imesimama, nina mawazo sana nahisi kila kitu kimesimama, nataka nije Arusha kupumzika.... Nipo jij la Chalamila Niandae bajeti ya shingap Nishakuja huko zamani sana... Sihitaj kwenda mbugani, nahitaji kukaa hapo hapo mjini.
  7. JamiiForums Tanzania Ni miaka saba imepita tangu niage Arusha 2016, kipi kimebadilika hadi sasa?

    Nilikuwepo Atown 2011 hadi 2016 - Maendeo niliyoishi ni Njiro mitaa ya double B karibu na kituo cha polisi, Lemara, Relini karibu na bwawa la maji taka na Njiro Tanesco. hali ya usafiri imeboreshw ? Muda huo wote nilikuwa napanda vifodi na hiace, sikuhizi kuna mabadiliko ? ile stendi kuu ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna Barber shop nzuri Arusha mjini

    Naomba kufahamu Barber shop nzuri Arusha mjini.( Wanaozingatia usafi wa hali ya juu, wenye customer care nzuri na wanaonyoa vizuri)
  9. JamiiForums Tanzania Arusha: Kuvuka daraja hili utalazimika kulipia shilingi 400

    Daraja hili limejengwa na vijana wawili wa kata ya Sinoni katika halmashauri ya Arusha mjini, baada ya eneo hilo Kukosekana daraja kwa miaka mingi. Daraja hilo hulipiwa kiasi cha shilingi 200 kila avukapo mtu. Hivyo basi wananchi hulazimika kutumia kiasi cha shilingi 400 kila siku kupita juu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aipongeza CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha usalama kwa watalii Arusha

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie jicho mkoa wa Arusha, kuna tatizo kubwa!!!

    Kwanza vuta picha ya tukio lenyewe kisha sikilizeni hawa vijana, wote hao; wanaoongea na mwandishi na hao wengine wanaoreact! Mkishamaliza poromosheni matusi kama kawaida yenu, nimekaa paleeeeee nayasubiri!
  12. JamiiForums Tanzania Ndoto ya Watanzania wengi ni kufika Arusha

    Najua hapa wengi mtabisha but ukiacha watu wa mataifa mengine, watanzania wengi wanatamani wafike Mkoani Arusha tofauti na mikoa mingine. sio kwa sababu ni kuzuri sana but kuona kile kinachozungumziwa., watu wa aina yake, mandhari nzuri na ya kuvutia.. mji wenye idadi kubwa ya wageni...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Cassian Nyandindi: Arusha na Mara zinaongoza kwa bangi

    Dkt. Cassian Nyandindi, Kamishna Msaidizi wa Tiba na Huduma za Utengamao akiwa kwenye mahojiano East Afrika Radio amegusia mambo mengi kuhusu madawa ya kulevya. Akifafanua kuhusu kukithiri kwa matumizi ya bangi katika baadhi ya mikoa nchini Tanzania amesema "Kutokana na ukamataji na jinsi...
  14. JamiiForums Tanzania Arusha: Wanawake wawili watuhumiwa kwa kutapeli pesa za Halmashauri

    .
  15. T

    JamiiForums Tanzania Je, kinachoendelea jiji la Arusha ni hujuma kwa serikali ya Mama Samia?

    Wanabodi habari ya muda huu? Nimekua nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea katika Jiji la Arusha kwakweli hakina Afya sana kwa siasa za awamu ya sita. Ikimbukwe kihistoria jimbo hili ni la upinzani na CCM imetumia nguvu kubwa sana kulirudisha, lakini kinachoendelea ni kama kuchezea shilingi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Upo Arusha na unatafuta kazi yoyote halali? Njoo tufanye ujasiriamali

    Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kunipata Kwa Whatsapp 0656388678
  17. R

    JamiiForums Tanzania Upo Arusha na unatafuta kazi yoyote halali? Njoo tufanye ujasiriamali

    Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kupata Kwa Whatsapp 0656388678
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha

    Habari wakuu. Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha. Mzigo wa tani Moja ukiwa kwenye magunia au viroba. Naomba price quote. Ni biashara endelevu.
  19. JamiiForums Tanzania LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

    Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu. Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu. Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha: Mkuu wa wilaya amtuhumu Mbunge kuhamasisha maandamano

    Mkuu wa wilaya ya Arusha Felisian Mtehengerwa amesema kitendo cha wafanyabiashara wadogo (Machinga) katika jiji la Arusha kuandamana usiku kinachochewa na wanasiasa wenye nia ovu ya kuihujumu serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na amemtuhumu mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo kuwa kinara wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…