Arusha kupumzika/kuenjoy

Wapendwa nahisi dunia imesimama, nina mawazo sana nahisi kila kitu kimesimama, nataka nije Arusha kupumzika....

Nipo jij la chalamila
Niandae bajeti ya shingap
Nishakuja huko zamani sana...
Sihitaj kwenda mbugani,nahitaji kukaa hapo hapo mjini.
Inategemea na mahitaji yako mkuu.
Lodge/hotel kwa 60k ni sehemu sio mbaya.
Matumizi au matanuzi kwa siku ukijiwekea 60k yaani transport na chakula pia sio mbaya.
120k/day nafikiri utafurahia
 
Wapendwa nahisi dunia imesimama, nina mawazo sana nahisi kila kitu kimesimama, nataka nije Arusha kupumzika....

Nipo jij la Chalamila
Niandae bajeti ya shingap
Nishakuja huko zamani sana...
Sihitaj kwenda mbugani, nahitaji kukaa hapo hapo mjini.
kwa muda gani?
una mwenyeji au unafikia hotel/logde
Umeandaa bajeti ya shilingi ngapi tukuelekeze machimbo kulingana na bajeti yako
NB: Nmeishi Ar ila kwa sasa siishi huko japo naendaga maraa kwa mara kutembelea makoloni yangu
 
Back
Top Bottom