arusha

  1. JamiiForums Tanzania Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

    Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024. PIA, SOMA: Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri Matukio baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Paul Makonda aingia Arusha, akabidhiwa ofisi na kuzungumza na Wananchi

    https://www.youtube.com/watch?v=p3adH5D00yU Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, John Mongela akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda katika hafla ya kukabidhiana ofisi Leo April 8, 2024 katika ukumbiwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Pia viongozi mbali mbali wamehudhulia hafla hiyo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kupokelewa kishujaa Arusha, Magari ya msafara yafurika uwanja wa ndege kumsubiri atue

    Ndugu zangu Watanzania, Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara. Imeshuhudiwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Arusha ijiandae kwa utekaji na matumizi ya nguvu kudhibiti wanaompinga Rais

    Arusha inakwenda kushuhudia kile alichoacha Magu. Wamasai wanakwenda kushughulikiwa watakapotaka kufungua mdomo kutafuta haki yao katika hifadhi. Wananchi wanakwenda kufurushwa kwenye maeneo yao huku kikundi cha wanasiasa wachache wakishika sekta zote muhimu za uchumi. Wabunge waliopo sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

    Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani. Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda, Arusha hatuhitaji sifa, suala la wewe kukabidhiwa ofisi sisi halituhusu

    Habari za jioni ndugu wanajukwaa. Naripoti kutokea huku Arusha. Naomba nikupe Taarifa ndugu Makonda sisi watu wa Arusha tuko Busy na utafutaji. Acha sifaa za kijingaa. Nimeona tangazo la makabidhianobya ofisi kati yako na Ndugu Mhe sana Mongela. Swali wewe kukabidhiwa ofisi sisi linatuhusu...
  7. JamiiForums Tanzania Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

    Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda? Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else? Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma kutokana na ubovu wa Stendi ya Bomang'ombe

    Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa barabara. Barabara ya eneo hili lililopo Hai Wilayani Kilimanjaro limetawaliwa na mashimo mengi na...
  9. JamiiForums Tanzania Makonda atafuta staili ya kuingilia Arusha!

    Paul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana anatafuta staili ya kuingia Arusha baada ya kushushwa cheo na kupewa ukuu wa mkoa. Inasemekana kushushwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ni Arusha tu ilikuwa inavuruga kukubalika kwa mwamba 2025 kuwa kama mgombea Mwenza wa Samia, hii ni Season 2, episode 1

    Makonda anakubalika nchi nzima Sema sasa kwa Arusha kidogo kuna wapinzani walikuwa wanamchafua Sana Sasa mama anataka atembelee nyota ya Makonda 2025. Lakini walikaa wakagundua mwamba anakubalika mikoa yote ya Tanzania bara isipokuwa Arusha, Mbeya na Mara Sana Sana Arusha amepelekwa kwenda...
  11. JamiiForums Tanzania Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti kundi kubwa la watu litahamia Arusha sasa

    Watu wa Arusha popote mlipo chuma hiki hapa wakuu. Wakati wenu kupata maendeleo ndio huu. Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti. Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa. Anajua kucheza na nafasi yake. Kiukweli Arusha inakwenda kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

    Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.
  13. JamiiForums Tanzania Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha. Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
  14. JamiiForums Tanzania Makonda Tunyooshee tatu mzuka (wadudu) Arusha

    Habari wakuu. Mh. Makonda ujapo Arusha kuanza kazi rasmi tunaomba uanze na tatu mzuka. Hawa vijana wameharibu sifa ya mkoa wa Arusha. Mitaa ya uwanja wa ndege mpaka kisongo hakufai wanakupiga tukio mpaka mchana kweupe. Tafadhali sana nusuru sifa njema ya mkoa huu. Nawasilisha. Asante
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Lema kwa kuiacha familia yako Canada maana Arusha sasa iko moto

    Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya. Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako halafu hapo hapo unatangaza kugombea tena kama sio uchizi ni nini. Unawaambia watu huwezi kwenda...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi kutoka US, UK nk. wakitembelea Arusha watapokewa na RC Makonda?

    Makonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?
  17. JamiiForums Tanzania Nape na January, sasa ndio nini kwenda kuchekea nyuma ya nyumba? Andaeni ziara za Arusha, atawapokea, atake asitake

    Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics. Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
  18. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda Vs Lema Arusha 2025?

    Mhe Makonda karibu jimboni Arusha utuwekee mazingira mazuri ya CCM kushinda 2025. Mhe Lema uchaguzi 2025 haitakua rahisi jiandae kisaikolojia.
  19. JamiiForums Tanzania Godbless Lemma, umeletewa kete ya kisiasa Arusha, cheza draft mpaka na huko afukuzwe, maana amekaribia mahali kitovu cha Ben Saanane kilizikwa

    Nina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori. Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of the biggest mission ya kisiasa, kumuangusha huyu kada wa kuteka na mauaji. Yaani amesogea karibu na...
  20. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, ngome ya Chadema yaingiliwa

    Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar. Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…